dse

Deep Space Expedition Alpha (DSE-Alpha), is the name given to the mission proposed in 2005 to take the first space tourists to fly around the Moon. The mission is organized by Space Adventures Ltd., a commercial spaceflight company. The plans involve a modified Soyuz capsule docking with a booster rocket in Earth orbit which then sends the spacecraft on a free return circumlunar trajectory that circles around the Moon once. While the price was originally announced in August 2005 to cost US$100 million per seat, Space Adventures founder Eric Anderson announced in January 2011 that one of the two available seats had been sold for $150 million.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DSE 1,2,3 : "Ninunue hisa za kampuni ipi ?"

    "Ninunue hisa za kampuni ipi ?" Hili ni moja ya swali ambalo kila Mwanahisa alishawahi kujiuliza au huwa anajiuliza. Leo nitatoa njia nyepesi ambazo utatumia katika kuchagua kampuni utakayoenda nunua hisa zake NJIA hizo ni 1. Bei ya hisa : Unapofika sokoni,bei huwa ni moja ya kipimo kizuri...
  2. JamiiForums Tanzania DSE 1,2,3.. : Kampuni zenye thamani kubwa katika Soko la Hisa

    Ushawahi kujiuliza ipi ni kampuni kubwa hapa nchini...? Japo msemo "Kampuni kubwa ni tungo tata" lakini mara nyingi huangazia ukubwa wa Thamani ya kampuni katika soko la hisa Thamani ya Kampuni/Market value hupatikana kwa kuzidisha idadi ya hisazilizopo sokoni za kampuni husika kwa bei ya hisa...
  3. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata API ya DSE kwa ajili ya App yangu ya data analysis

    Natengeneza App ya AI ya kuchambua taarifa, kutoa ripoti na kutoa ushauri katika maswala ya fedha na uwekezaji., moja ya ya features zitakuwepo nahitaji App iwe inachambua maswala ya hisa za mtumiaji ambae amewekeza kwenye dse Shida nimetafuta namna ya kupata API ya dse sioni . Naomba mwenye...
  4. JamiiForums Tanzania HISA : Karibuni tuchambue makampuni yaliyopo soko la hisa DSE

    Nipo katika wiki mbili za mapumziko,natumia mda huu katika kuchambua ripoti za makampuni yaliyopo DSE.. Karibuni tushirikiane kwa hili. Tunaweza fanya kwa kuunda group la WhatsApp au tukakutana... Ili tujue kampuni lipi 1. Zuri kuwekeza kwa mda mrefu 2.zuri kuwekeza mda mfupi 3. Hali nzima...
  5. JamiiForums Tanzania BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA (CMSA, DSE, WIZARA YA FEDHA)

    BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA Kwenda kwa: Capital Markets and Securities Authority (CMSA) Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) Wizara ya Fedha Tanzania YAH: Maboresho ya Sheria, Teknolojia ya Trading, na Vigezo vya Uandikishaji ili Kukuza Soko la Mitaji Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Hisa za CRDB PLC on DSE

    UCHAMBUZI WA CRDB BANK PLC (DSE) 1. Overview ya Kampuni (Business Position) CRDB Bank ni moja ya benki kubwa zaidi nchini Tanzania, ikiwa listed kwenye Dar es Salaam Stock Exchange. CRDB is a tier-1 commercial bank with strong presence in: Retail banking Corporate banking SME financing...
  7. JamiiForums Tanzania Elimu ya Fedha: Kwanini uwekeze kwenye hisa DSE

    Wadau wa fedha na uwekezaji, Kuna kitu muhimu sana ambacho mara nyingi tunakisoma kwenye vitabu vya Rich Dad Poor Dad na vingine vya personal development, lakini wengi wetu hatuchukui hatua — financial intelligence. Reading is powerful, yes. Lakini knowledge bila application ni sawa na theory...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini ununue hisa za DSE plc(Dar es Salaam stock exchange)

    Watu wengi wakisikia “DSE” wanafikiria ni sehemu ya kununua hisa tu. Lakini wachache wanaelewa kuwa DSE yenyewe ni biashara inayouza huduma za soko la mitaji. Huu ni uchambuzi wangu unaolenga kutoa insights za DSE plc shares. Ukiniuliza kama ni sawa kununua hisa za DSE? Nitakujibu ndio, kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kukua kwa DSE pamoja na ununuzi wa hisa za CRDB aka Tembo

    Wadau habari za mida, Nimekuwa nafuatilia sana kuhusu elimu ya uwekezaji kwa muda sasa kuhusu stock au hisa, hatifungani na mifuko ya uwekezaji ya pamojai ila sasa naomba niongelee hisa haswa za CRDB Bank, NMB NICOL, TCC na DSE zenyewe. Hii kasi ya upandaji wa soko la hisa zikiwepo hizo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mifumo ya kidigitali ya DSE inaongeza vikwazo kwa wawekezaji badala ya kupunguza

    Kitendo cha Dar es Salaam stock exchange (DSE), kuondoa option ya wawekezaji kuammend order ya kununua au kuuza wenyewe kwenye MTP na badala yake kuwalazimisha kuwasiliana na broker inaongeza urasimu na haina mantiki yoyote kwenye digitalization. Wajitahidi kuongeza urahisi wa wawekezaji...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini app ya DSE inasumbua sana?

    Hii app inasumbua sana sijui imetengenezwaje -time out -server error -failed to connect to server Unaweza useme kunashida ya internet lakini si kweli app n shida hasa kwen kurefressh na kulog in
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tuambizane: Madalali (stock brokers) wa Soko la Hisa Dar (DSE) ambao wanafaa na wasiofaa

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Kutokana na kuenea kwa elimu ya fedha, kwa sasa Watanzania wengi wamehamasika kuwekeza kwenye soko la hisa la Dar es Salaam Stock Exchange (DSE). Cha kusikitisha ni kuwa wawekezaji wanakwama kwa stockbrokers ambao ndio wanahusika kumnunulia au kumuuzia hisa...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu nini maana ya hii kitu kwenye DSE

    Naomba tafsiri ya hiyo picha. Kwene DSE Lini unaweza toa hela?? Je kama hisa zinashuka unaweza ziuza ili usipate hasara?? Ukiuza hisa ulizo hold inachukua muda gan kupata hela yako?? Je kuna ufanano kati ya liquid acc ya utt na Hisa za DsE kwene mfumo wa kutoa hela? Maana utt siku tatu za kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Nipeni shule ya DSE (Dar es salaam Stock Exchange)

    Kwa muda mrefu nimekua nikitamani kua na hisa kwene makampuni tofauti tofauti kama voda,crdb na nmb sasa nimeona hii DSE,,,, maswali je kununua na kuuza kupitia DSE ni sawa tu na ningeenda manual kuwekeza crdb?? au n tofauti Je DSE ukinunua hisa inachukua muda kuonekana kwene acc yako...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mara ya pili sijapata gawio langu la Vodacom kupitia DSE – msaada tafadhali

    Wakuu, naomba msaada wenu wa uzoefu na ushauri. Mimi ni mwekezaji wa hisa za Vodacom Tanzania (VODA) kupitia DSE/CDS account. Tatizo nililonalo ni kwamba hii ni mara ya pili sasa sijapatiwa gawio langu. Nimejaribu kufuatilia kwa pande husika lakini majibu yamekuwa yanapingana: Nikipiga...
  16. JamiiForums Tanzania UTT AMIS vs DSE – Ni ipi bora kwa uwekezaji? Nisaidiane kufahamu

    Wakuu, Nimekuwa nikijifunza kuhusu njia mbalimbali za uwekezaji hapa Tanzania, na nimekutana na majina mawili makubwa: UTT AMIS na DSE. Ningependa kuelewa tofauti zao, faida, na changamoto kabla sijafanya maamuzi. Nimefahamu haya 1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
  17. JamiiForums Tanzania Dondoo muhimu juu ya soko la hisa DSE

    Imeandaliwa na Smart Finance SW 📚 Uwekezaji katika soko la hisa una faida kubwa na hatari kubwa lakini pia ni njia yenye uwezo mkubwa wa kukuza mtaji kwa muda mrefu. Kwa mtu asiye na uzoefu na maarifa ya kutosha ni vyema kuwasiliana na wataalamu wakusaidie na anza kujifunza taratibu taratibu...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Benki kuu nao waje na app yao ya bonds kiganjani au waiwezeshe app ya DSE hisa kiganjani, ili watu waweze kununua na kuuza bonds za BoT

    Kitu kizuri ambacho kimesaidia kidogo self employment na kupunguza makali ya ukosefu wa ajira, ni the introduction of app ya DSE hisa kiganjani, hii imerahisisha kununua na kuuza hisa za DSE listed companies. Benki kuu nao waje na app yao ya bonds kiganjani au waiwezeshe app ya DSE hisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…