Habari wana JF. Mimi ni mchimbaji mdogo, nimepata site nzuri ya kuchimba na kutengeneza ore ya madini ya dhahabu kwa ajili ya uchenjuaji, mtambo wa kusagia mawe kwa maana ya crusher machine ninao, na eneo linasoma ppm nzuri kwa ajili ya kupata ore nzuri ila nimekwamishwa na kitendea kazi kimoja...