doto biteko

Doto Mashaka Biteko (born December 30, 1978) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Bukombe in 2015.He was appointed as the Minister of Minerals on 9 January 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Dkt. Biteko akabidhi rasmi ofisi kwa Waziri Ndejembi

    Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi leo 20 Novemba, 2025 amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko kwenye ofisi za wizara zilizoko mtumba mkoani Dodoma, na kumshukuru Mhe. Biteko kwa utendaji wake wa kazi katika kipindi...
  2. N

    Dotto Biteko na Hussen Bashe mbona umewaacha kwenye Baraza la Mawaziri?

    1. Rais Samia ulivyomteua kumpa ubunge wa kuteuliwa yule bwana kutoka sekta binafsi ya fedha , mtaalm, msomi na mchapa kazi tulijua tunamfanya waziri wa fedha na nchi ingefurahi lakini imekuwa kinyume 2. Dr Biteko alikuwa kiongozi mstaarabu sana na mchapa kazi umekosea sana kumwacha alistahili...
  3. Roving Journalist

    Mkutano wa Wadau kujadili Mchango wa Sekta ya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, leo Julai 9, 2025

    Mkutano wa kujadili mchango wa Sekta ya Habari katika kufanikisha Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 2025, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano huo unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, leo Julai 9...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Doto Biteko: Wananchi msikubali kugawanyika Uchaguzi ujao

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Tabora kutogawanyika kwa sababu yoyote ile kisa uchaguzi mkuu mwa mwaka 2025 huku akiwahimiza kumuunga mkono Rais Samia kutokana na juhudi zake za kuwaletea wananchi maendeleo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
  5. Seven77

    PreGE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

    Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana. Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50. Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia...
  6. Just Pray

    Dkt. Doto Biteko amwakilisha Rais Samia Uwekwaji Wakfu Askofu mteule wa jimbo katoliki Iringa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali iliyofanyika katika Viwanja vya Kichangani, Mjini Iringa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Dk Doto Biteko: Tujitokeze ili tuweze kugombea kwa ajili ya kuhudumia nchi yetu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewaasa Wakristo kuliombea Taifa amani, utulivu, umoja na mshikamano uendelee katika kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu imeeleza, Dk Biteko amesema hayo leo Jumapili, Aprili 20, 2025...
  8. JanguKamaJangu

    Dkt. Doto Biteko: Bwawa la Mwalimu Nyerere lina uwezo wa kuilisha Nchi hii umeme peke yake

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Mashine ya tisa ya mtambo wa kuzalisha umeme katika Bwawa la Julius Nyerere Machi 22, 2025 imekabidhiwa na kuunganishwa kwenye Grid ya Taifa. Amesisitiza kuwa kutokana na ongezeko hilo la megawati za umeme Bwawa la Kuzalisha...
  9. Blasio Kachuchu

    Dkt. Doto Biteko awapongeza Benki ya Exim Kuzindua Tawi Wilayani Kahama

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko (wa tatu kutoka kulia), akiwa katika uzinduzi Rasmi wa tawi la benki ya Exim Tanzania wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Kulia kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Exim Bank, Bw. Jaffari Matundu wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi...
  10. U

    Naibu Waziri Mkuu Mhe. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa mamaono ya kujenga Kanisa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa maono ya kujenga Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki la Rulenge - Ngara mkoani Kagera. “ Nakupongeza Baba Askofu kwa kuwa na maono makubwa ya kujenga...
  11. Cute Wife

    PreGE2025 Mwenyekiti NCCR Mageuzi: Doto Biteko apite bila kupingwa nafasi ya ubunge ndani ya CCM, kwenye udiwani tutapambana

    Wakuu, Mwakilishi wa vyama rafiki vya CCM, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Bukombe ameanza kwa kuwakushuru CCM kuwaalika maana waliomba makusudi waalikwe kwenye mkutano huo:BearLaugh::BearLaugh: anasema eti amekuja kuona utekelezaji wa Irani ya CCM na mbunge ametende kweli kweli na kwamba hana...
  12. Mkalukungone Mwamba

    Dkt. Doto Biteko: Mpaka sasa vijiji vyote vimefikiwa na huduma ya umeme

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Tanzania ipo katika hatua kadhaa mbele kwenye masuala ya nishati ya umeme kwani mpaka sasa vijiji vyote vimefikiwa na huduma ya umeme. Dkt. Biteko amesema hatua hiyo inawawezesha wananchi kuwa na uhakika wa nishati ya umeme na...
  13. Cute Wife

    LGE2024 Geita: Naibu Waziri Doto Biteko ajitokeza kupiga kura uchaguzi serikali za mitaa

    Wakuu, "Uchaguzi huu tuufanye kwa amani na utulivu, aliyeshinda atangazwe na ambaye hajashinda asitangazwe. Niwaombe watu wote waliojiandikisha wasiache kuja kutumia haki yao ya kikatiba kuchagua kiongozi wanaemtaka ili tuweze kusukuma mbele maendeleo yetu. Kupata taarifa na matukio ya...
  14. Cute Wife

    LGE2024 Biteko aimba kilugha na wananchi, awaambia wana Geita wasiiangushe CCM

    Wakuu, Ndio maana Nyerere alikataa makabila makubwa kushika nafasi ya Urais, kuanza kutuimbia vilugha na kubaguana tu! ===== Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Geita kujitokeza wa wingi kesho na kuchagua wagombea wa CCM. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu...
  15. Roving Journalist

    LGE2024 Dkt. Doto Biteko ahimiza Watanzania kupiga Kura Novemba 27, 2024 asema ni Haki ya Kikatiba

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza Watanzania kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Dkt. Biteko ametoa rai hiyo leo Novemba 25,2024 akiwa mkoani Geita ambapo amesema uchaguzi huo ni muhimu hususan kwa ukuzaji wa demokrasia...
  16. Cute Wife

    LGE2024 Naibu Waziri Mkuu Biteko: Uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa tutashinda

    Wakuu, Tambo zinazidi kurushwa, ni kweli watashinda, au mbeleko itasaidia washinde? Lucas Mwashambwa Tlaatlaah johnthebaptist ===== Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari...
  17. Mkalukungone Mwamba

    Dkt. Doto Biteko: Usichukue muda mwingi kulinda cheo, chukua muda mwingi kutoa matokeo katika kazi yako

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka Watumishi wa Wizara yake kutumia muda mwingi kufanya kazi na sio kulinda vyeo vyao. Waziri huyo amebainisha hayo wakati akizungumza kwenye kikao cha Menejimenti ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake jijini Dodoma. “Usichukue...
  18. Gabeji

    Naibu Waziri Mkuu Doto Biteko acha unafiki wewe unaacha lini siasa?

    Tanzania na Afrika kwa ujumla tumekuwa na tabia na tatizo sugu la viongozi wetu kuwa na tabia ya unafiki, ubinafsi, uroho wa madaraka," what they preach is contrary what they are doing" Watanzania tuamka sasa tabia za namna hii tuwe tunazikemea hadhalani, hawezekani kiongozi yeye kaacha taaluma...
  19. Roving Journalist

    Dkt. Doto Biteko azitaka TPDC na ARA Petroleum kutoa kipaumbele kwa wazawa katika ajira

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuvutia wawekezaji katika tafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi nchini ili watanzania wanufaike na rasilimali zilizopo. Dkt. Biteko amesema hayo leo Septemba 10, 2024 wakati wa Hafla ya makabidhiano ya leseni...
  20. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Ameibeba Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia Kimataifa

    RAIS SAMIA AMEIBEBA AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KIMATAIFA Watu Takribani Bilioni 2.4 Duniani Hawatumii Nishati Safi ya Kupikia, Duniani kwasasa kuna Watu Zaidi ya Bilioni Saba (7) Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) katika Msimu wa Kizimkazi Festival tarehe 23 Agosti, 2024...
Back
Top Bottom