donda

DONDA is a creative content company founded by American rapper and fashion designer Kanye West. The company is named after West's mother, Donda West, and shares the name with his tenth studio album, set to be released in 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Pugu wanaopakana na pori linalodaiwa ni eneo la Jeshi, tunakabiliwa na vitendo vya kunyanyaswa

    Maeneo ya Pugu, wananchi wanaopakana na pori linalodaiwa kuwa ni eneo la Jeshi, tumekuwa tukikabiliwa na vitendo vya kunyanyaswa, ikiwemo kuvunjiwa nyumba na kuzuiwa kutoa maoni au kuzungumza kuhusu suala hili. Tatizo hili linadaiwa kusababishwa na watu wanaodai kuwa wamiliki wa eneo hilo...
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo la Kuvimba Miguu na kua na Donda NDUGU Kidonda ambacho hakiponi hata kwa Dawa Gani, Sababu huwa ni Nini?

    Wakuu, najua humu jukwaani hususani kwenye hili jukwaa la Afya kuna watu wengi wenye maarifa mbalimbali yahusuyo afya, magonjwa na tiba. Sasa kuna hili tatizo nimekua nikiliona nimeona kwa mtu wa kwanza sasa nimeliona kwa mtu wa pili. Mtu wa kwanza yeye kazi yake ni ulinzi. Huyu yeye tatizo...
  3. JamiiForums Tanzania Wahhabi: Dini au Donda? Chanzo cha makundi ya fujo Duniani

    Wewe shika stuli, kaa vizuri. Leo nakusimulia stori ya jamaa mmoja aliyewasha moto hadi leo dunia inachoma. Sio moto wa kuni, ni moto wa akili, damu, mabomu, na msimamo mkavu. Jamaa anaitwa Muhammad ibn Abdul Wahhab. --- 📍 Najd, Saudia – Karne ya 18 (Miaka ya 1700s) Najd ilikuwa pori tupu...
  4. JamiiForums Tanzania KERO TAZARA (Mfugale FLYOVER) kutofatwa sheria na utaratibu wa barabarani hasa wakati wa usiku imekuwa donda sugu

    Wanajamvi salaam, kwa kipindi nmekuwa mtumiaji wa barabara ya nyerere road inayopita Tazara hasa pale flyover ,wakati wa usiku kumekuwa na changamoto kubwa ya kutofata utaratibu wa sheria barabarani pale kwenye Junction ya kutokea airpot, taifa , au mjini na yale magar yanayotoka buguruni kila...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Album ya 'Donda' ya rapa Kanye West imeshika nafasi ya #1 katika chati za mauzo

    Album ya 'Donda' ya rapa Kanye West imeshika nafasi ya #1 katika chati za mauzo ya album nchini Uingereza baada ya kuuza kopi 20000 ktk wiki ya kwanza sokoni, asilimia 91 ni mauzo ya mtandaoni na asilimia 9 ni Downloads. - Ktk wiki ya kwanza Donda imesikilizwa mara milioni 33.4, hii ni album ya...
  6. JamiiForums Tanzania SoC01 Migogoro ya Wafugaji na Wakulima, kweli ni Donda ndugu lisilopona mbele ya Serikali na wasomi?

    Athari za Migogoro ya Wafugaji na Wakulima. Migogro hii imekuwa ikisababisha upotevu wa rasilimali kwa raia, jamii na serikali kwa ujumla, uharibifu wa mali, uhai wa raia na mifugo kwa ujumla. Kwa miaka mingi katika nchi yetu tumekuwa tukiishi na jamii za kifugaji (pastoralists) kama wamasai na...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu yaliyojiri kwenye Album ya Kanye West "Donda"

    Ikiwa imepita miaka toka mkali wa mitindo na mtayarishaji wa muziki nguli wa mitindo ya kufoka foka Kanye West siku ya Alhamis aliweza kuachia EP yake inayoitwa "DONDA" ikiwa ni jina la Hayati marehemu mama yake na Kanye West. Mkali huyo mzaliwa wa Atlanta aliweza kuandaa sherehe ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…