domain

  1. JamiiForums Tanzania .TZ Domain name hatimaye

    Habari wanajamvi, Hapo nyuma, niliuliza swali. Hili hapa: Leo asubuhi nilipata email kutoka Dudumizi, kuwa reservation zimeanza. Nilipiga simu DuHosting, wakaelezea yafuatayo: Sasa hivi wanafanya reservation, kama ulisharegister jina lolote lenye format ya .xx.tz (iwe .co.tz, .ac.tz etc)...
  2. JamiiForums Tanzania Understanding the Domain name System (DNS) and Domain names

    Je unajua kwamba domain name ni mtaji? Unapoona jina kama jamiiforums.com hii ni domain name unapoona jina kama tzhosts.com hii ni domain name.Leo nataka tuzungumzie kidogo maana na umuhimu wa domain na jinsi ambavyo unaweza kuitumia ili kujiongezea pesa. Ngoja niwape mfano.Leo hii unaweza...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi .tz TLD domain ishawekwa wazi kwa ajjili ya watanzania wa kawaida kama mimi?

    Habari wanajamvi. Leo nilikutana na Karibu.TZ | .TZ Domain names registration portal (nafahamu ndo website ya TCRA?) Hivi .tz TLD ishawekwa wazi kwa ajjili ya watanzania wa kawaida kama mimi? Anayefahamu atujuze tafadhali.
  4. JamiiForums Tanzania Maajabu: Kusajili Domain yako kupitia UCC ya UDSM unapaswa ujaze fomu kwenye word document

    Kuna mambo fulani ukiyafikiria unaishia kuhuzunika tu. Ukienda University Computing Center ya University of Dar es Salaam, kama unataka usajili Domain Name kupitia UCC, unapaswa kujaza form iliyoko kwenye word format, kisha uwatumie. Ati hizi ndio taasisi za serikali zinazopaswa kutuondoa...
  5. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata domain name kwa $3

    Wapi nitapata domain name kwa bei cheap ya $3 kwa mwaka ninunue? Nitaka niunganishe blogger
  6. JamiiForums Tanzania Vipi hatma ya wito wa kutumia kikoa cha .com Tanzania?

    Mwaka jana (2020) mwezi wa kwanza TCRA ilitoa wito ya watu wote kutumia .co.tz na ukitumia .com ni kosa ambalo unaweza kulipishwa faili au kifungo. Swali langu ni je, mpaka sasa sheria hiyo ipo? na kama bado ipo kwa nini baadhi ya watu wanaendelea kutumia .com? naomba ufafanuzi kwa wanaofahamu...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Domain ya website yangu inauzwa, nifanyeje

    Wakuu mwaka 2011-2013 nilikuwa na blog website kubwa sana,ambayo ilipata watembeleaji wengi sana kila siku Ilikuwa inahusu marafiki/wachumba Muziki,habari,udaku na vichekesho.. Kiukweli hata kwenye search ingine ikikuwa katika top results Sasa nikanunua domain.name kupitia maddogs domain kwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni wapi naweza nunua domain?

    Habari wakuu, Naomba kujua ni wapi naweza nunua domain ya website na nikaimiliki mwenyewe. Naitaji iwe ya .co.tz Mfano www.dawati.co.tz Nataka ninunue moja kwa moja bila kupitia kwa developer kwa sababu nilishawai kuwa na website/blog lakini mwisho wa siku sikuweza kuwa na access ya moja kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tunatengeneza Website kwa Bei ndogo Kabisa

    Ingia kwenye website kwa Maelezo zaidi >>> www.manzabay.com
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…