dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Jeshi la ufaransa lafanya mashambulizi makubwa kwa kutumia makombora ya masafa marefu syria wakilenga waasi wa Dola la Kiislamu

    Wadau hamjamboni nyote? Msako magaidi duniani kote unaendelea Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: December 31, 2024 France says it carried out missile strikes against Islamic State in Syria By Reuters Today, 12:19 pm France carried out missile strikes in Syria, targeting Islamic State...
  2. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti BAWACHA Pwani: Sioni sababu ya kumwondoa Mbowe.Tunataka aendelee hadi tutakapokamata dola!

    Wakuu, Viongozi mbalimbali wa CHADEMA wameendelea kutoa matamko yao wakati wakiwa wanaelekea kwenye Uchaguzi Haya ni maneno ya Rose Moshi, Mwenyekiti BAWACHA Kanda ya Pwani "Sioni sababu za kumbadilisha na kumuondoa tunatakiwa kumuombea ili aendelee na moyo huo huo wa ujasiri mpaka hapo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kupitia kinachoendelea ndani ya CHADEMA ni dhahiri CCM itaendelea kuwa chama dola kwa muda wa miaka mingi ijayo

    Ndugu wana JF, Ni ukweli usiofichika mpaka sasa CHADEMA imeshaingia kwenye mtego wa CCM na kazi nzuri iliyofanywa na watu ambao ni very smart na kwa uangalifu mkubwa ni kama imeshamalizika ikiwa na athari hasi kwa miaka mingi sana ijayo kwa CHADEMA na athari chanya kwa CCM. Kete muhimu za...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Lissu jifunze, Huwezi kushika dola kwa kupambana na dola, Never

    Lissu sio mwanasiasa haijui siasa kaingia kwenye siasa ili kufanikisha malengo yake ya uanaharakati. Lengo la mwanaharakati sio kushika dola ni kutetea haki na kuleta mageuzi, tofauti na lengo la mwanasiasa ambalo ni kushika dola. Mbowe ni mwanasiasa, mwanasiasa makini hutumia hoja, dialogue...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Kushuka kwa Dola Kutapunguza Bei za Bidhaa

    RAIS MWINYI: KUSHUKA KWA DOLA KUTAPUNGUZA BEI ZA BIDHAA. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kushuka kwa thamani ya dola nchini ni faraja kubwa kwa Uchumi kwani kutapunguza ugumu wa gharama za maisha kwa wananchi. Rais Dk. Mwinyi ameyasema...
  6. JamiiForums Tanzania Labda miaka 40 mbele ndio upinzani wanaweza kupata mpenyo wa kuchukua Dola kama ilivyotaka kutokea 2015

    Wengine hapa nchini hatuna majina lakini tuna macho ya rohoni (third eye) . Tangu nipate akili timamu za kiutu uzima na kujitegemea Mimi sijawahi kuwa mdau wa CCM. Nina kadi ya CCM na CHADEMA ndani. Ya CHADEMA niliikata mwenyewe 2015 na CCM nimeletewa tu mwaka huu. Kwa ufupi Mimi sina chama...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa sasa mabenki yanatafuta shilingi na sio dola tena

    Wakuu Hapa katikati dola ilipaa sana na hata Rais Samia alikiri wazi kuwa shilingi imeadimika wakatika wa msiba wa Lawrence Mafuru == "Miezi michache iliyopita kuanzia mwezi wa pili mpaka wa saba na wanane dola ilikuwa inatafutwa kwa tochi Tanzania hata ukienda benki watakupa kiasi fulani cha...
  8. JamiiForums Tanzania Lissu hatoshinda nafasi ya uenyekiti kwa sababu za usalama na nguvu ya Dola

    Miongo 4 iliyopita Tanzania imeshuhudia vyama vya siasa vyenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya nchi,vikiongozwa na viongozi wasomi Mfano TLP chini ya Mrema Na CuF chini ya Mwenyekiti Prof Lipumba lakini havikuweza kitimiza azima ya chama cha siasa kwa sababu za kiusalama au uoga. Tumeshuhudia...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA isanuke, Mbowe ni pandikizi la system, kazi yake kubwa ni kuhakikisha Dola inabaki mikononi mwa CCM daima

    2015 ndio ulikuwa mwaka pekee wa upinzani kuingia Ikulu na CCM kuwekwa pembeni huku mafisadi yakisubiri kuburuzwa Mahakamani. Lakini kinyume chake ni kwamba mafisadi walizidi kung'ara na wanaendelea kuitafuna nchi . Mbowe ndiye aliyehakikisha kuwa mwana CCM machachari Mh. Lowasa anapeperusha...
  10. JamiiForums Tanzania Wataalamu wanadai hizi ndiyo sababu za Tsh kuimarika dhidi ya Dola

    Nimeona huko mtandaoni wataalamu wakielezea sababu za Tsh kuimarika dhidi ya dola. 1. Wanadai kuwa kwa sasa ada zote za utalii zinalipwa kwa Tsh. Kwa hiyo watalii hao wanatakiwa kutumia dola kununua Tsh ili waweze kulipa ada mbalimbali. Zamani watalii walikuwa wanalipa moja kwa moja kwa dola...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe hakuitengeneza CHADEMA kama chama Cha kushika Dola Bali kama taasisi ya kutengeneza fedha haina budi wengine wampokee

    Tar. 28 mei 1992 wazee kadhaa wa kichaga wakiongozwa na Edwin Mtei na Fillimon Ndesamburo walisajili chama Cha siasa kikipewa jina la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kiligombea nafasi ya 2005 mgombea akiwa Freeman akipata asilimia 5.88 na poit hivi Mwaka 2010 mgombea akiwa Dr...
  12. JamiiForums Tanzania Nataka nichukue mkopo bank ninunue Dola ya marekani

    Wakuu hiv karibuni Shilingi ya Tanzania inaimarika Sana dhidi ya Dola. Leo jion ilikuwa USD 1 = Tsh 2375 Lakin Kwa nionavyo kuimarika huku ni Kwa muda Tu na January mwishon au February USD 1 yaweza kuwa Tsh. 2800 huko. Nataka nitumie fursa hii ninunue angalau USD 2000 ili nije niziuze baada ya...
  13. JamiiForums Tanzania US dola imejaa mpaka inamwagika, hongera sana Samia, hongera mwigulu

    Hakuna rais wala waziri wa fedha hata mmoja aliyewahi kuishusha us dola namna hii, Hongereni sana, kutoka 2850/= mpaka 2400/=? Hakuna kama Mama, kama mitaa tu ni hivi, je uchaguzi mkuu si tutaogelea kwenye asali na maziwa? Mama na akae mpaka achoke NB: Mkijua kulaumu, mjue na kupongeza
  14. JamiiForums Tanzania Bei ya kubadilisha dola leo ni Tsh 2418 kununua na Tsh 2442 kuuza. Je, hii ni dalili ya nini?

    Soma hapa:-
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso atembelea Benki ya EXIM ya Korea ambayo imefadhili utekelezaji wa miradi ya Majitaka nchini ya Dola Milioni 248.3

    WAZIRI AWESO ANADI MIRADI YA MAJI KOREA Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa H. Aweso (Mb) ametembelea na kufanya mazungumzo na Benki ya EXIM ya Korea ambayo imefadhili utekelezaji wa miradi ya Majitaka nchini Tanzania yenye jumla ya Dola za Kimarekani Milioni 248.3 (Mkoa wa Dar es Salaam 90 $US milioni...
  16. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Korea Kusini kuisesha Tanzani Dola za Kimarekani Bilioni 2.5? Tumuombee Samia

    Salaam Wakuu, Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea walishuhudia utiaji saini wa Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi (EPA). Mkataba ambao utaiwezesha Tanzania kupokea mkopo kutoka Korea wa kiasi cha Dola za...
  17. JamiiForums Tanzania Niliwahi kusema ACT Wazalendo hampo salama, msijione kama mmeshika dola

    Pole Abdul Nondo nakumbuka niliwahi kuleta uzi kuwa ACT-WAZALENDO hampo salama, nilizungumza kipindi chadema wameratibu maandamano. Kipindi cha maandamano nilitegemea ACT-WAZALENDO watasema mishap ziara za kichama kuonesha kuwaunga chadema mkono kupinga mauaji na utekaji badala yake wao...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA kushika Dola ni ndoto za mchana

    Hiki Chama wamelenga kushika dola? Lini? Kwa mikakati ipi?
  19. J

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Isihaka Mchinjita na Tundu Lissu, yanaashiria CCM ina magenge ya kihalifu. Je, vyombo vya dola vitathubutu kuyakabili?

    ..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Haya ni makampuni makubwa miongoni mwa 400 yanayowekeza mabilioni ya dola nchini Israel kwajili ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design)

    Update: Nimeleta habari za kisomi nashangaa kuna watu wameanza kuingiza mihemko ya kidini, Tatizo nini ? Katika kampuni za teknolojia, idara ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design) inahusika na kubuni na kuendeleza bidhaa, huduma, au teknolojia mpya kwa kutumia maarifa ya kisayansi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…