Mbunge wa Jimbo la Uyole na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amegawa chakula na msaada wa fedha kwa kaya zisizo na uwezo zipatazo 130 kutoka kata 13 za Jimbo la Uyole, ikiwa ni sehemu ya kuwawezesha wananchi hao kusherehekea Sikukuu ya Krismasi kwa furaha na heshima...
Akiwa katika Muendelezo wa kampeni za Ubunge katika Jimbo la Uyole, Mgombea ubunge wa jimbo hilo dkt Tulia Ackson ameahidi kuboresha Elimu pamoja na Miundombinu ya barabara kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya Uchaguzi Ya CCM
Akihutubia Mkutano wa Kampeni katika kata ya Iduda, Dkt Tulia amesema...
Mgombea wa Nafasi ya Udiwani Kata ya Ilomba Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Noah Mwakisu awasisitiza wakazi wa Jimbo la Uyole kumuunga Mkono na Kumpa kura za heshima Dkt. Tulia kwani ni bidhaa adimu.
Akizungumza Katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia...
Mgombea Ubunge wa jimbo la Uyole kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt Tulia Ackson ameendelea Na kampeni zake katika Kata Ya Ilomba na Kuahidi Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara,Afya,Elimu na Umeme
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole Kupitia Ccm Dkt Tulia Ackson ameahidi kuendelea Kuwezesha wananchi kiuchumi pamoja na kujenga Shule katika kata ya Mwansanga jimboni humo
Akiwa katika Mwendelezo wa Kampeni zake, wananchi wa kata ya Mwansanga walimueleza kuwa wanahitaji Kupata shule ambayo...
Naibu Mkurugenzi Habari Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Mwandishi wa Habari wa Mawio Online TV, Ipyana Samson Umetuliwa na Chama hicho kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Uyole Jijini Mbeya Katika Uchaguzi Mkuu wa Rais Ubunge wa Diwani Utakaofanyika Oktoba...
Wakuu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson ameyataka Mabenki yanayotoa mikopo ya Asilimia 10 kuacha mara moja kutoa masharti magumu ya pesa hizo ikiwemo kuvitaka vikundi kuwa na Hati Miliki, akisema hazina masharti hayo zaidi ya kuunda vikundi.
Dkt.Tulia ameyasema...
Dar es Salaam, 17 Agosti 2025 - Maelfu ya wakimbiaji na wapenda michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania wamejitokeza leo katika viwanja vya The Green, Oysterbay, kushiriki CRDB Bank Marathon 2025, mbio za hisani ambazo mwaka huu zimekusanya Shilingi Bilioni 2 ili kusaidia matibabu ya watoto...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, ameongoza majadiliano muhimu yaliyoandaliwa na UN Women kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, yaliyolenga kutafuta suluhisho la kudumu kwa changamoto zinazowakabili wanawake na...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, tarehe 22 Julai 2025, amefungua rasmi Kikao cha Jukwaa la Kibunge katika Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Umoja wa Mataifa wa Mwaka 2025 kuhusu Maendeleo Endelevu (Parliamentary Forum at the...
Wakuu kumbe jambo lipo lipo serious, Jumatano Waziri Bashe akiwasilisha hotuba ya bajeti wizara ya kilimo alimuomba alimuomba Spika Tulia kugombea jimbo la Uyole na siyo Mbeya mjini hatimaye baadhi wananchi kutoka Uyole wameanza kumchangia fomu
Cc Stuxnet
=====
Wakati vuguvugu la kisiasa...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa ni wajibu wa kila mtanzania kuhakikisha anailinda kwa wivu wote tunu ya Muungano iliyoanzishwa na waasisi wa taifa hilo.
Dkt. Tulia ameyasema hayo leo tarehe 25...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 19 Aprili 2025, amezindua gari la kubebea wagonjwa (ambulance) lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya. Uzinduzi huo unalenga...
Bibi wa miaka 72 mkazi wa mtaa wa Mwanyanje, kata ya Igawilo jijini Mbeya ambaye aliingiliwa na watu wasiofahamika nyumbani kwake anategemewa kujengewa nyumba na Dkt. Tulia Ackson
Ikumbukwe bibi huyo ni moja ya watu wanaoishi katika mazingira magumu ambao walifikiwa na bendera ya Upendo...
Kwa niaba ya Dkt. Tulia, tuzo hiyo imepokelewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zainab Katimba.
Alizaliwa Novemba 23, 1976 kijijini Mabonde Tukuyu Mkoani Mbeya na kupata elimu ya msingi katika Shule ya Mabonde na baadaye kupata elimu ya...
Uchaguzi mkuu wa Mwaka 2020 Dkt. Tulia Ackson, kupitia CCM alitangazwa kuwa mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 75,225 akimshinda aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi (Sugu) akipata kura 37,591.
Baada ya Dkt. Tulia kuwa mbunge wanaCCM wamekuwa wakijitapa...
Obeid Mwalopale Mkazi wa kijiji cha Matema kata ya Matema wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya aliyemuomba Rais Samia Suluhu Hassan amsaidie kumjengea nyumba ya kuishi yeye pamoja na familia yake hatimaye amefikiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson baada ya taasisi...
Taasisi ya Tulia Trust Chini ya Mkurugenzi wake ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson yapeleka Tabasamu kwa Familia ya Obed Ambonisye Mwalopale.
Nyumba ya Familia ya Obed...
Taifa lina utani sana hili yani watu wenye matatizo wananmchangia mtu mwenye pesa akaendelee kuzichota pesa. Na hawa wamefanya hivi kwa sababu hiyo maboboda yenyewe wamepewa na Tulia huyo huyo
===
Leo tarehe 4 Machi, 2025 Umoja wa Madereva wa bodaboda Mbeya Mjini umemwomba Mbunge wa jimbo hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.