Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna mtu mnapaswa kumpuuza ,kutokumsikiliza na kumkemea vikali wakati huu ni Dkt Slaa. Huyu Mzee ni Muongo sana ,Mchonganishi sana ,kigeugeu sana na anayebadilika kama kinyonga.
Embu jaribuni kufuatilia kauli zake za siku ya nyuma ndio muelewe nayoyazungumza hii...