dkt. mwinyi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    PostGE2025 Rais Dkt. Mwinyi amteua Hemed Abdulla kuwa makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua tena Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kuwa MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR. Uteuzi huo unaanza tarehe 06 Novemba, 2025. Mheshimiwa Makamu wa Pili wa Rais ataapishwa...
  2. Just Pray

    GE2025 Dkt. Mwinyi azindua huduma ya Water Taxi Zanzibar

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema huduma za Water Taxi zimeanza rasmi visiwani Zanzibar, ikiwa ni hatua ya kuboresha usafiri wa baharini, kuvutia watalii na kuongeza ajira kwa wananchi. Akizungumza alipowasili katika Bustani ya...
  3. R

    GE2025 Sadifa Hamisi: Samia na Dkt. Mwinyi wanafaa kuendelea Miaka isiyopungua 20 huo ndio ukweli

    Mgombea Ubunge Jimbo la Donge Zanzibar kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Sadifa Juma Hamisi akizungumza na wananchi kwenye Kampeni inayofanyika Septemba 18, 2025, katika Jimbo la Nungwi, visiwani Zanzibar, amesema kuwa Wagombea Urais Samia Suluhu Hassan na Dkt. Hussein Mwinyi wanafaa kuendelea...
  4. Waufukweni

    GE2025 Wanu Ameir: Tumeshuhudia ongezeko la ajira chini ya uongozi wa Dkt. Samia na Dkt. Mwinyi

    Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ameir, ambaye pia ni mgombea Ubunge Makunduchi, amesema, "Tumeshuhudia ongezeko la ajira kwa vijana katika sekta tofauti, hasa kwenye sekta ya uchumi wa bluu. Pia, tumeshuhudia mapinduzi ya uchumi wa watu, hasa kwa mtu mmoja mmoja."
  5. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wanachama 453 ACT Wazalendo Zanzibar Wahamia CCM, Wavutiwa na Uongozi wa Dkt. Mwinyi

    Wanachama 453 wa Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Septemba 15, 2025 wakibainisha kuvutiwa na uongozi wa mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Mwakilishi wa wanachama hao Faki Ali Juma amesema wameamua kujiunga na CCM...
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wagombea urais Zanzibar wamnadi Dkt. Mwinyi, baada ya kukabidhiwa magari ya kufanyia kampeni

    Yani! Kupewa magari ya kisasa wanasahahu kijipambania wenyewe, wananza kumnadi mgombe urais wa CCM Wagombea urais Zanzibar wamnadi Dkt. Mwinyi, baada ya kukabidhiwa magari ya kufanyia kampeni
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mgombea Urais ADA TADEA ampongeza Dkt. Mwinyi, asema anastahili kuendelea kuongoza Zanzibar

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADA TADEA, Juma Ali Khatib amesema Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amefanya mambo kubwa hivyo anafaa kuendelee kuiongoza Zanzibar.
  8. Waufukweni

    GE2025 Dkt. Mwinyi: Yeyote atakayezungumza jambo lolote lenye viashiria vya uvunjifu wa Amani huyo hatufai

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amefungua rasmi Soko na Kituo cha Mabasi cha Kisasa Chuini, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi. Katika hotuba yake, Rais Dkt. Mwinyi ameagiza kuimarishwa kwa usafi, kuzuia biashara nje ya maeneo...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi atoa mkono wa Eid kwa wenye mahitaji maalum Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametoa mkono wa Eid El Fitr kwa Wananchi wenye mahitaji Maalum wakiwemo Yatima, Wajane, Wazee na watu wenye ulemavu katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar, tarehe 31 Machi 2025. Aidha, Rais Dkt.Mwinyi baada ya kutoka...
  10. Mkalukungone Mwamba

    Rais Dkt. Mwinyi aishukuru Benki ya Dunia kwa Dola Milioni 100 Kuboresha Sekta ya Afya

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Benki ya Dunia kwa Msaada wa kiasi cha Dola Milioni 100 kwa ajili kuimarisha Miundombinu ya Sekta ya Afya hapa nchini. Rais Dkt.Mwinyi ameyasema hayo alipozungumza na Mkurugenzi Muendeshaji wa Benki hiyo...
  11. Just Pray

    PreGE2025 Dkt. Mwinyi awahimiza WanaCCM na wananchi wengine wote kutokuacha kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu

    "Napenda nichukue fursa hii kutoa wito kwa ndugu zetu nyote mliopo hapa, wananchi wote, wanaCCM, wapenzi, wakereketwa kuna jambo moja bado hatujalifanya vizuri nalo ni kujitokeza kwenda kuga kura siku yenyewe ya uchaguzi, tumefanya uandikishaji haitoshi sasa tuna kazi ya kwenda kuwatoa watu...
  12. Just Pray

    PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi asema Fitina zilikuwa zimeshaanza kuingia wagombea urais CCM, Mkutano mkuu ulimaliza kazi yake akisisitiza vyama vingine hayawahusu

    "Tumekuja mbele yenu kutoa shukrani kwa wajumbe wa mkutano mkuu kwa uamuzi ule ambao ulikuwa ni wa busara sana, sasa wapo wa vyama vingine ambao kwakweli wao hayawahusu wanaingilia utaratibu wa chama cha mapinduzi, tunasema haya hayawahusu wanaCCM waliamua kwa makusudi na walikuwa na sababu za...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Mwinyi kupewa zawadi ya Wanachama wapya kutoka ACT-Wazalendo Visiwani Pemba

    Maandalizi yanaendelea kwa ajili ya mapokezi na utambulisho wa mgombea pekee wa urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, yatakayofanyika Februari 15, 2025, visiwani Pemba. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 CCM Ruvuma waandamana kuunga mkono uteuzi wa Dkt. Samia, Dkt. Nchimbi na Dkt. Mwinyi

    Wakuu Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma kikiongozwa na Mwenyekiti wake Comrade Oddo Mwisho kimefanya Maandamano ya amani yenye lengo la Kupongeza na kuunga mkono Azimio la mkutano mkuu Maalum wa CCM Taifa ambalo liliwachagua na kuwapitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa Jamhuri...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Toufiq Turky awataka vijana na Wanahabari kuitangaza miradi mikubwa iliyotekelezwa na Serikali ya Rais Dkt. Mwinyi, Zanzibar

    "Mimi nimesoma Skuli ya Kajificheni darasa la kwanza na tulikuwa tunakaa kwenye boksi, darasa la pili tulipewa mabao tukakaa bao moja tunakaa watu watatu. Siyo mbali na miaka iliyopita lakini leo mtoto wa Skuli binafsi na mtoto wa Skuli ya Serikali wanakaa sawa na baadhi ya Skuli binafsi ziko...
  16. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 CCM Iringa yatoa onyo kwa wanaobeza Rais Samia na Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Naona mambo yanazidi kunoga tu! =============== Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimeonya vikali watu wanaobeza maamuzi ya Mkutano Mkuu wa chama hicho ya kuwateua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kupeperusha bendera ya urais katika Uchaguzi Mkuu...
  17. Mkalukungone Mwamba

    CCM Zanzibar kusimamisha shughuli mapokezi ya Dkt. Mwinyi

    Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar kimewataka wanachama na wananchi kujitokeza kwa wingi kumpokea Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiket ya chama hicho Dkt Hussein Ali Mwinyi ambae atawasili kesho Januari 22, 2025 mchana katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Katibu wa...
  18. Ojuolegbha

    Dkt. Mwinyi ahitimisha ziara yake ya kikazi Zimbabwe

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ally Mwinyi amehitimisha ziara yake ya Kikazi nchini Zimbabwe na kuagwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Zimbabwe Mhe. Virginia Mabhiza, Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania Mhe. Hellen Bangawe pamoja na viongozi mbalimbali wa...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi azindua Soko jipya la Jumbi, Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi, jana tarehe 27 Oktoba 2024, amezindua soko jipya la Jumbi katika wilaya ya Magharibi B, mkoa wa Mjini Magharibi. Hafla hiyo pia imehudhuriwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi achangia milioni 100 ukarabati wa Kanisa Katoliki Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuimarisha Uhuru wa Kuabudu na kuziagiza Taasisi za Kidini kuendelea kuiombea Nchi amani na umoja. Rais Dk, Mwinyi amefahamisha kuwa Taasisi za kidini zina wajibu mkubwa wa kushirikiana na...
Back
Top Bottom