dkt. mwigulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU: NDANI YA WIKI MOJA TUTACHUKUA HATUA KUSHUSHA BEI YA SARUJI

    DKT. MWIGULU: NDANI YA WIKI MOJA TUTACHUKUA HATUA KUSHUSHA BEI YA SARUJI WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ndani ya wiki moja, Serikali itachukua hatua ya kuhakikisha bei ya saruji inakuwa himilivu kwa wananchi, baada ya kubaini malalamiko ya kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo katika mikoa...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Ndani ya wiki moja tutachukua hatua kushusha bei ya Saruji

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ndani ya wiki moja, Serikali itachukua hatua ya kuhakikisha bei ya saruji inakuwa himilivu kwa wananchi, baada ya kubaini malalamiko ya kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo katika mikoa mbalimbali nchini ikiwemo Simiyu. Ametoa kauli hiyo jana (Jumanne...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Tutengeneze mabilionea watanzania kupitia madini

    DKT. MWIGULU: TUTENGENEZE MABILIONEA WATANZANIA KUPITIA MADINI ▪️Awataka vijana kuchangamkia fursa ▪️Aagiza leseni zisizoendelezwa zipewe vijana WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka vijana wa Kitanzania wachangamkie fursa zilizopo katika sekta ya madini ili wanufaike na utajiri wa...
  4. JamiiForums Tanzania LIVE: Dkt. Mwigulu Nchemba Bariadi Vijijini

    https://www.youtube.com/live/98jEfK7jGzk?si=bb1XzVr-LAZ-EwRF LIVE: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 15, 2026 anazungumza na wananchi wa Jimbo la Bariadi Vijijini, Mkoani Simiyu. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Simiyu kwa Ziara ya Kikazi.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Mgonjwa mahututi asiombwe hela ya Mafuta ya Ambulance

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekataza tabia ya wagonjwa wanaohitaji huduma ya haraka kuombwa fedha za mafuta ili kuwawahisha hospitalini kwa kutumia magari ya wagonjwa. Akizungumza Septemba 14, 2026, wakati wa ziara mkoani Simiyu, wilayani Itilima, Dkt...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Mfumo mpya wa ununuzi Pamba ujulikane ndani ya mwezi mmoja

    DKT. MWIGULU: MFUMO MPYA WA UNUNUZI PAMBA UJULIKANE NDANI YA MWEZI MMOJA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemuagiza Waziri wa Kilimo kukutana na wadau wa zao la pamba na ndani ya mwezi mmoja kuwasilisha mapendekezo ya mfumo bora wa ununuzi wa pamba utakaowanufaisha wakulima na kuendeleza...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Mfumo mpya wa ununuzi pamba ujulikane ndani ya mwezi mmoja

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemuagiza Waziri wa Kilimo kukutana na wadau wa zao la pamba na ndani ya mwezi mmoja kuwasilisha mapendekezo ya mfumo bora wa ununuzi wa pamba utakaowanufaisha wakulima na kuendeleza uzalishaji wa zao hilo. Ametoa agizo hilo leo, Jumatatu Septemba 14, 2026...
  8. JamiiForums Tanzania LIVE: Dkt. Mwigulu Akihutubia Itilima

    https://www.youtube.com/live/8izDGvhF82E?si=pbg9TRphPWkO8XbD LIVE: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 14, 2026 anazungumza na wananchi wa Itilima, Mkoani Simiyu. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Simiyu kwa Ziara ya Kikazi.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Afrika ijenge uwezo wake wa kusimamia na kuzalisha Huduma za Afya

    DKT. MWIGULU: AFRIKA IJENGE UWEZO WAKE WA KUSIMAMIA NA KUZALISHA HUDUMA ZA AFYA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameitaka Afrika kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Afrika ijenge uwezo wake wa kusimamia na kuzalisha huduma za Afya

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameitaka Afrika kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Jumatano Septemba 09, 2026, wakati akimwakilisha...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu atua Arusha, kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 9, 2026, amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi. Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano...
  12. H

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi.

    DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi. ▪️Aagiza magari ya kubeba wagonjwa yawe na mafuta, aonya wanaowachangisha wagonjwa. ▪️Ampongeza Afisa Elimu aliyesimamia shule kuongoza kitaifa. WAZIRI...
  13. H

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA OFISI ZA HALMASHAURI YA BAHI

    DKT. MWIGULU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA OFISI ZA HALMASHAURI YA BAHI Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumamosi, Septemba 5, 2026, amekagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Bahi na kuweka jiwe la msingi la mradi huo, unaolenga...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 202

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 2026.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 202

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 2026.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu atoa wito wa maandalizi ya mapema kukabili athari za El Niño

    DKT. MWIGULU ATOA WITO WA MAANDALIZI YA MAPEMA KUKABILI ATHARI ZA EL NIÑO ▪️ Atoa rai kwa Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya mafuriko. ▪️ Aagiza ndani ya Septemba kutangazwa zabuni ya ujenzi wa barabara km 11 za Igauri - Ilongero. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu atoa wito wa Maandalizi ya mapema kukabili athari za El Nino

    ▪︎ Atoa rai kwa Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya mafuriko ▪︎ Aagiza ndani ya Septemba kutangazwa zabuni ya ujenzi wa barabara km 11 za Igauri–Ilongero WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa Watanzania na viongozi katika ngazi zote kuchukua tahadhari na kujiandaa mapema...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu aweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la ofisi za halmashauri ya Bahi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumamosi, Septemba 5, 2026, amekagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Bahi na kuweka jiwe la msingi la mradi huo, unaolenga kuboresha mazingira ya utendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi. Akiwasilisha taarifa...
  19. JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU: IFIKAPO 2030 MWANZA–DODOMA KWA SGR

    ▪︎ Aagiza Wizara ya Fedha na Uchukuzi kuharakisha utekelezaji ▪︎ Aelekeza leseni za madini zisizoendelezwa kufutwa ▪︎ Asisitiza kupunguzwa kwa matumizi yasiyo ya lazima WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameiagiza Wizara ya Fedha na Wizara ya Uchukuzi, kwa kushirikiana na Shirika la Reli...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Ifikapo 2030 wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM waje Dodoma wakiwa SGR kutoka Mwanza

    ▪︎ Aagiza Wizara ya Fedha na Uchukuzi kuharakisha utekelezaji. ▪︎ Aelekeza leseni za madini zisizoendelezwa kufutwa. ▪︎ Asisitiza kupunguzwa kwa matumizi yasiyo ya lazima. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameiagiza Wizara ya Fedha na Wizara ya Uchukuzi, kwa kushirikiana na Shirika la Reli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…