dkt mwigulu nchemba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mwigulu: Muuguzi Tabora aliyemfanyia mgonjwa upasuaji nyumbani kwake afukuzwe kazi, afikishwe kwenye mkono wa sheria na kufutiwa leseni

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, Leo Machi 04, 2026 akizungumza na wafanyabiashara wa Soko la Machinga, Jijini Dodoma, ametoa maelekezo kwa mamlaka husika kumfukuza kazi muuguzi wa mkoani Tabora aliyedaiwa kumfanyia mgonjwa upasuaji wa tumbo nyumbani kwake badala ya hospitalini. Mbali...
  2. H

    Waziri Mkuu aagiza jedwali la utekelezaji wa utatuzi wa kero za wananchi

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Serikali kuandaa jedwali la kuonesha namna walivyotatua kero za wananchi katika kila wiki ya mwisho wa mwezi. Amesema hayo leo Jumapili (Machi 01, 2026) katika mkutano wa hadhara uliofanyika Stendi za Zamani, Babati Mjini mkoani Manyara...
  3. H

    Waziri Mkuu: Serikali kuangalia upya migogoro ya ardhi nchini

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaangalia upya suala la changamoto ya ardhi nchini. Amesema kuwa haiwezekani kuwepo na migogoro ya ardhi ya muda mrefu ambayo haiishi hadi kufikia hatua ya kutishia undugu...
  4. H

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba azindua stendi ya mabasi ya Dkt. Samia wilayani Hanang

    Ataka fedha zitafutwe kujenga barabara ya Katesh - Babati. Akataza watendaji kuchukua bidhaa za wajasiriamali wadogo WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezindua Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara ambayo imejengwa kwa gharama ya sh...
  5. L

    Hii Ndio Namba Ya Simu ya Kumpigia Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba kwa wenye shida na kero yoyote ile sugu. Ameitoa mwenyewe hadharani

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Au waweza Kumwita Mr Clean kama ambavyo wengi hupenda kumwita . Au waweza Kumwita Mr First Class Hii ni kutokana na kupiga First Class alipokuwa chuo kikuu cha Dar es salaam...
  6. L

    Mwigulu atoa Hotuba ya Kufungia Mwaka Wilayani Mbozi. Wananchi Wamng'ang'ania ili Asiondoke

    Ndugu Zangu watanzania, Kiukweli na kwa hakika Waziri Mkuu Wetu Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean Ameiva kwelikweli. Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Hakukosea hata kidogo kumpendekeza au kupendekeza jina lake kuwa Waziri Mkuu wetu...
  7. R

    PostGE2025 Mwigulu: Yeyote atakayevunja sheria akamatwe na hatua zichukuliwe kwa usawa

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameonya vikali kuhusu utekelezaji wa sheria kwa upendeleo, akisema tabia ya kuogopwa kwa baadhi ya watu na kuwawajibisha wengine pekee imeendelea kudhoofisha haki na uwajibikaji nchini. Amesema haiwezekani baadhi ya wakosaji...
  8. N

    PostGE2025 Mwigulu, fikiri kabla ya kuzungumza. Kusema kulikuwa na watu wasiozungumza kiswahili wakati wa maandamano ni kuivua nguo Serikali yako mwenyewe

    Sijajua kama Mwigulu anafikiria kabla ya kuzungumza. Jana Novemba 24, 2025 na leo pia wakati anazungumza na wahariri amesema kulikuwa na watu wamezamia maandamano ambapo walikuwa hawajui hata kiswahili. Wawe waliandamana au walibeba silaha kuua watu, huu ni udhaifu mkubwa sana kwa serikali hii...
  9. N

    PostGE2025 Mwigulu propaganda zako tumezikataa, watanzania wa leo si wajinga kama unavyofikiria

    Cheki hii orodha iliyotolewa na Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu idadi ya vitu vilivyochomwa moto wakati wa Maandamano ya Oktoba 29, 2025. 1. Ofisi za Serikali 756 2. Vituo vya mwendokasi 26 3. Vituo vya Polisi 159 4. Vituo vya mafuta 672 5. Magari Binafsi 1642 6. Pikipiki binafsi 2268 7...
  10. L

    Hii ndio CV nzito na ya kutetemesha ya Dkt Mwigulu Nchemba Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwaleteeni Wasifu mzito na wa Kutetemesha Wa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba au waweza kumwita Mr Clean ikiwa na Maana ya mtu safi ,muadilifu asiye na makandokando wala kashifa ya aina yoyote ile. Au...
  11. L

    PostGE2025 Uteuzi wa Dkt Mwigulu Nchemba Kuwa Waziri Mkuu Wawafurahisha na Kuwakosha Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia Amewakosha na kuwafurahisha kwelikweli Watanzania. Amewapa Zawadi Ya kufungia Mwaka. Amewapa kile walichohitaji watanzania. Amekata kiu ya watanzania. Amewapa matumaini ,tabasamu na nyuso za furaha watanzania. Uteuzi na Hatua ya Kumteua Uwaziri...
  12. Waufukweni

    PostGE2025 Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Rais Samia, amelipendekeza jina la Dr. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uteuzi huo unafanyika kufuatia taratibu za kikatiba ambapo jina la mgombea huwasilishwa kwa Bunge la Tanzania ili kupigiwa kura na wabunge. Baada ya pendekezo hilo, wabunge watapiga kura...
  13. w0rM

    Je, Dkt. Nyansaho ndio Waziri wa Fedha ajaye? Mrithi wa Mwingulu Nchemba!

    Dkt. Rhimo Nyansaho, mchumi na aliyewahi kufanya kazi katika sekta ya benki, anatajwa kuwa miongoni mwa majina yanayopewa nafasi ya kuchukua uongozi wa Wizara ya Fedha, kufuatia uteuzi wake kuwa Mbunge na Rais Samia Suluhu Hassan. Taarifa kutoka Ikulu iliyotolewa jana imesema kuwa Dkt. Nyansaho...
  14. L

    China Kufadhili Ujenzi SGR Mwanza -Isaka

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru China kwa kufikia hatua za mwisho za kufadhili ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR ambao unaendelea hivi sasa kwa kipande cha tano cha kuanzia Mwanza hadi Isaka na kuahidi kuyafanyia kazi maombi mengine ya kipande cha sita kinachoanzia Tabora...
  15. L

    Dkt Mwigulu Nchemba Atumia Usafiri Wa Treni ya Mwendokasi kutoka Dar hadi Dodoma

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba,Ambaye ni waziri wetu wa Fedha ametumia usafiri wa Treni ya Mwendo kasi kutoka Dar kuelekea Dodoma.ambapo Mheshimiwa Waziri ameonekana akiwa amejaa Tabasamu na furaha kubwa sana katika uso wake akiwa ndani ya usafiri huo. Ambao...
  16. L

    PreGE2025 Dkt. Mwigulu Nchemba: Ni ushamba kugombana kisa uchaguzi, tuendelee kumuombea Rais Samia

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu amewaasa wananchi kuacha kugombana kwa sababu za siasa kwani kitendo hicho kinasababisha maafa, yatima, wajane na kukosekana kwa amani. Dkt. Nchemba ameyasema hayo kwenye kilele cha Makambi alipokuwa akizungumza na waumini wa Kanisa la...
  17. L

    Naomba Mawaziri Wengine Waige Mfano wa Dkt Mwigulu Nchemba Pamoja na Dkt Dorothy Gwajima wa kuja kutoa ufafanuzi wa Hoja hapa jukwaani

    Ndugu zangu Watanzania, Nimefurahi sana kuona Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri wa Fedha akijitokeza hapa jukwaani kuja kutoa ufafanuzi wa hoja ambayo ilikuwa inagusa wizara yake.Nampongeza sana kwa ujasiri na uthubutu wa hatua hiyo. kwa kuwa hatua hiyo inasaidia kuondoa uzushi ...
  18. Kipenzi Changu

    Tundu Lissu: Timu ya Ihefu ni ya Mwigulu, yeye Mwigulu alikana

    Wakati fulani Mwigulu Nchemba alikana kumiliki timu ya soka na kusema yeye hamiliki hata bajaji. Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amemuumbua na kusema alikuwa anaimiliki Singida BS na kuiuza na sasa anamiliki Ihefu SC. Wadau humu tumekuwa tunauliza, sio dhambi kumiliki mali lakini kwa...
  19. Suley2019

    PreGE2025 Mwigulu Nchemba: Upinzani hawafai kabisa watauvunja Muungano

    "Inawezekana wenzetu hawa kwa tamaa za madaraka hawajatilia maanani suala hili (Muungano) viongozi hao wanafikiri kuwa lugha hizo za kuhatarisha muungano zina mashiko kwa wapiga kura wao na kana kwamba hawajawahi kunufaika na uwepo wa muungano, kuligawa Taifa kwa ajili ya kufanikisha ajenda ya...
Back
Top Bottom