dkt. mwigulu nchemba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Serikali yenu haitakuwa na mzaha, hata kidogo, kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    NUKUU ZA WAZIRI MKUU Serikali yenu haitakuwa na mzaha, hata kidogo, kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo. 📍RUKWA-TANZANIA 🗓️MACHI, 2026
  2. H

    Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.📍Songambele (Nsimbo)-Katavi🗓️Machi 15, 2026

    Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Songambele (Nsimbo)-Katavi 🗓️Machi 15, 2026 ———————————— Amesema hayo alipozungumza na wananchi wa kata ya Songambele, Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi kwenye mkutano wa hadhara.
  3. H

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameanza ziara katika mkoa wa Katavi ambapo ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji wa Miji 28

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 ameanza ziara katika mkoa wa Katavi ambapo ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji wa Miji 28 uliopo Manispaa ya Mpanda. Pia, Dkt. Mwigulu ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Kagwira – Karema (Kilometa 112) katika Halmashauri...
  4. H

    Ziara ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba mkoa wa Katavi

    SASA NI KATAVI, ZIARA YA KIKAZI MHE. DKT. MWIGULU NCHEMBA, WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 📆 IJUMAA – MACHI 13, 2026 🕰️ KUANZIA SAA 5 ASUBUHI Lengo la Ziara: 1. Kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji wa Miji 28 – Shanwe. 2. Kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya...
  5. H

    Dkt. Mwigulu amjulia hali Diwani wa Kata ya Kidaru, Ndugu Philipo Manguli wa Iramba, mkoani Singida

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 12, 2026 amemjulia hali Diwani wa Kata ya Kidaru, Ndugu Philipo Manguli wa Iramba, mkoani Singida, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma.
  6. H

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo ameungana na waombolezaji kushiriki Adhimisho la Misa Takatifu ya Mazishi ya Askofu Marehemu Mwadhama Pengo

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Februari 28, 2026 ameungana na waombolezaji kushiriki Adhimisho la Misa Takatifu ya Mazishi ya Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Marehemu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, linalofanyika katika Kanisa la Hija ya Bikira Maria – Pugu...
  7. H

    Ndani ya wiki mbili vifaa viwe vimefungwa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Ndani ya wiki mbili vifaa viwe vimefungwa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ———————————- Amesema hayo leo Februari 13, 2026 alipokagua na kufungua jengo la wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Handeni mkoani Tanga ambalo ujenzi wake umegharimu sh. milioni 426.
  8. H

    Huu uzembe ndio tunasema hatuwezi kuuvumilia, wakatwe mishahara yao kufidia hasara waliyosababisha - Waziri Mkuu Nchemba

    Huu uzembe ndio tunasema hatuwezi kuuvumilia, wakatwe mishahara yao kufidia hasara waliyosababisha - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Amesema hayo leo Ijumaa Februari 13, 2026 wakati akizungumza na wakazi wa Handeni mkoani Tanga ambapo yupo kwenye ziara ya kikazi.
  9. H

    Mwigulu Nchemba: Serikali kununua matrekta 10,000

    SERIKALI KUNUNUA MATREKTA 10,000 - DKT. MWIGULU NCHEMBA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imepanga kununua matrekta 10,000 na kuanzisha vituo jumuishi 1,000 vya huduma za zana za kilimo katika ngazi ya Kata, hatua itakayoongeza tija, kupunguza gharama na kuwapa wakulima muda...
  10. H

    Mwigulu akabidhiwa Tuzo kutambua mchango wake katika kuunga mkono na kutekeleza kwa vitendo maono ya Rais Samia

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekabidhiwa tuzo maalum ya kutambua mchango wake katika kuunga mkono na kutekeleza kwa vitendo maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kukuza na kuimarisha sekta ya utalii nchini. 📍Arusha-Tanzania 🗓️Januari 31, 2026...
  11. H

    Mwigulu Nchemba Januari 31, 2026 ametembelea hifadhi ya Taifa ya Arusha ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Rais Samia

    WAZIRI MKUU ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA Lengo ni kuunga mkono jitihada za Rais Dkt. Samia kuhamasisha utalii WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumamosi, Januari 31, 2026 ametembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  12. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akipiga penati kabla ya kuanza kwa mechi ya Mpira wa Miguu wakati wa Bunge-Azania Bonanza linalofanyika katika Viwan

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akipiga penati kabla ya kuanza kwa mechi ya Mpira wa Miguu wakati wa Bunge-Azania Bonanza linalofanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya John Merlini iliyopo jijini Dodoma leo Januari 31, 2026. Mechi hiyo ilihusisha Wabunge na Watumishi wa Ofisi ya...
  13. H

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 29, 2029 ——————————————— Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
  14. H

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 29, 2029 ——————————————— Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
  15. H

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu alisema: "Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu"
  16. H

    Tunataka kazi za serikali zifanyike makao makuu ya nchi-Dkt. Mwigulu

    TUNATAKA KAZI ZA SERIKALI ZIFANYIKE MAKAO MAKUU YA NCHI-DKT. MWIGULU. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali inataka kazi zote zifanyike makao makuu ya nchi ili kusogeza huduma karibu na Wananchi. 📍Dodoma-Tanzania 🗓️ Januari 22, 2026. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa kauli...
  17. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba afanya mazungumzo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dkt. Maimbo

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 19, 2026 amefanya mazungumzo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dkt. Maimbo Mndolwa na ujumbe wake katika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum, Profesa Palamagamba Kabudi alishiriki...
  18. H

    Dkt. Mwigulu Nchemba: Watanzania tunapaswa kuishi kwa misingi ya upendo, unyenyekevu, haki na uwajibikaji

    Watanzania tunapaswa kuishi kwa misingi ya upendo, unyenyekevu, haki na uwajibikaji-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Dodoma-Tanzania 🗓️18.01.2026 Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa kauli hiyo aliposhiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu Anglikana la Roho Mtakatifu, Dodoma.
  19. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 17, 2026 ameongoza kikao cha kazi kuhusu ujenzi wa miradi ya barabara za haraka (Express Ways) kwa ubia

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 17, 2026 ameongoza kikao cha kazi kuhusu ujenzi wa miradi ya barabara za haraka (Express Ways) kwa ubia kupitia mfumo wa PPP. Kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, kimehudhuriwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri...
  20. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu wamefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 15, 2026 amezungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.
Back
Top Bottom