dkt. godwin mollel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 Dkt. Godwin Mollel: Wanaovuruga amani wanataka kutusahaulisha makubwa aliyofanya Rais Samia

    Dkt Mollel ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo ameleleza kuwa watu wanaotaka kuvuruga Amani wanataka kutusahaulisha mambo matatu muhimu makubwa ikiwemo kazi kubwa iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu ndani ya miaka minne ya...
  2. tonicimmobility

    Mollel ashambuliwa mtandaoni baada ya kupost clip akimkashifu Gwajima kuwa kanisa lake limefungwa na yeye mwenyewe na wala si Rais Samia

    Wananchi wamemtiririshia majibu ya kumkashifu na kumshambulia baada ya kupost clip video inayoonyesha kuwa Rais Samia hajahusika na ufungwaji wa kanisa la Ufufuo na uzima lililo chini ya Askofu Gwajima. Godwin Mollel aliandika hivi ''Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe...
  3. DodomaTZ

    Mwananchi asema "Unayeshindana na Dkt. Godwin Mollel nakusanua usitumie hela"

  4. Ex Spy

    GE2025 Dkt. Godwin Mollel: Watu wa Usalama acheni bhangi! Nguvu mnayotumia kwenye siasa itumike kuzuia wizi kwenye miradi

    Hebu msikilizeni hapa chini:
  5. DodomaTZ

    PreGE2025 Dkt. Godwin Mollel achukua fomu ya kutetea Ubunge wa Jimbo la Siha, Mkoani Kilimanjaro

    Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel, amechukua fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fomu hiyo imekabidhiwa kwake na Katibu wa CCM Wilaya ya Siha.
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wananchi wa Siha "wadaiwa kuridhia" Dkt. Godwin Mollel kuendelea kuwa mbunge kwa kipindi kingine

    Wananchi wa Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro wamemuidhinisha Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Godwin Mollel, kuendelea kugombea nafasi hiyo kwa awamu nyingine. Tukio hilo limetokea wakati wa hafla ya kimila iliyowakutanisha wanajamii wa Kimaasai wilayani Siha, ambapo Dkt...
  7. Waufukweni

    Dkt. Godwin Mollel: Wana CCM wenzetu wameanza kuugua kifafa, ukivaa kola madhabauni na ukafanya ushetani tunakufuata huko huko

    Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.
  8. JanguKamaJangu

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel: CHADEMA wanajua Lissu hataweza kushindana na Rais Samia katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel akizungumzia kuhusu ushiriki wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu katika siasa ya sasa pamoja na kudai kuwa hana uwezo wa kushindana na Rais Samia katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
  9. JanguKamaJangu

    Dkt. Godwin Mollel: Watanzania wana akili, CHADEMA wakiendelea hivi Chama kitakufa, watakumbuka busara za Mbowe

    Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu: "Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili ...
  10. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Dkt. Godwin Mollel Awapatanisha Viongozi wa Kimasai kwa Ajili ya Umoja na Mshikamano

    Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewapatanisha viongozi wa Kijamii wa Kimasai, Ole Paserian na Ole Kisongo, na kuimarisha mshikamano ndani ya jamii hiyo. Hafla hiyo imefanyika wakati wa ibada ya kubariki "Malaiyoni"...
  11. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Dkt. Godwin Mollel Aungana na Wananchi wa Siha katika Shughuli za Uchimbaji Mitaro kwa Ajili ya Mabomba ya Maji

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amejumuika na wananchi wa Wilaya ya Siha katika kata za Mung’e na Miti Mirefu kwa shughuli za uchimbaji mitaro kwa ajili ya kusimika mabomba ya maji. Sambamba na hilo, amezindua mradi wa maji katika kata ya Miti Mirefu, mradi ambao unatarajiwa kunufaisha...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Godwin Mollel: Amuomba Lissu kuhakikisha Conchesta Rwamlaza anarudi Bungeni tena

    Akijibu swali la nyongeza Bungeni leo Feb. 7, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya ampigia debe Conchesta Rwamlaza, Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu kuwa angetamani kumwona Bungeni kwa mara nyingine tena
  13. Waufukweni

    Dkt. Godwin Mollel: Watanzania tufuatilie anachokisema Profesa Janabi

    Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya amesema: "Nimekuwa nikiwasisitiza wabunge na Watanzania kwamba elimu mbalimbali zinazotolewa na wataalam wa afya, lakini elimu anayotoa Profesa Janabi na madaktari wangu wengine wote, tuhakikishe tunasikiliza na kufuatilia ili tuweze kuishi maisha ya afya."
  14. Waufukweni

    Dkt. Godwin Mollel na Diamond Platnumz wakionyeshana uwezo kupiga Push Up

    Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel (katikati) pamoja na msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz walivyopiga Push Up huku Hamis Mwinjuma (Mwana FA) akiwatazama. Soma pia: Wananchi jimbo la Siha wambeba juu kwa juu Mbunge Dkt. Godwin Mollel
  15. JanguKamaJangu

    Ilivyokuwa uzinduzi wa Profesa Jay Foundation, Desemba 10, 2023

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Desemba 10, 2023 alimuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa katika hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Profesa Jay na Kampeni Mahususi ya Kuchangia Wagonjwa wa Figo nchini inayofanyika Jijini Dar es Salaam.
  16. Roving Journalist

    Hussein Bashe: Wakulima wa Katavi, Kiteto na Sumbawanga wasiuze Mahindi chini ya Tsh. 800 kwa kilo

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 54, leo Juni 23, 2023. Tanzania kutokomeza Ugonjwa wa Malaria ifikiapo mwaka 20230 Naibu Waziri wa Afya Dr. Godwin Mollel amesema hadi sasa kuna mikoa zaidi ya 9 nchini iliyo na kiwango cha Maambukizi ya Ugonjwa wa Malaria chini...
Back
Top Bottom