diwani

Diwani is a calligraphic variety of Arabic script, a cursive style developed during the reign of the early Ottoman Turks (16th century - early 17th century). It reached its height of popularity under Süleyman I the Magnificent (1520–1566).
It was labeled the Diwani script because it was used in the Ottoman diwan and was one of the secrets of the sultan's palace. The rules of this script were not known to everyone, but confined to its masters and a few bright students. It was used in the writing of all royal decrees, endowments, and resolutions. A Diwani text adorned with a tugrah, a complex calligraphic seal, represented the authority of the Sultan and the Ottoman state.The Diwani script can be divided into two types:

The Riq`a Diwani style, which is devoid of any decorations and whose lines are straight, except for the lower parts of the letters.
The Jeli Diwani or clear style. This kind of handwriting is distinguished by the intertwining of its letters and its straight lines from top to bottom. It is punctuated and decorated to appear as one piece. The Diwani handwriting is known for the intertwining of its letters, which makes it very difficult to read or write, and difficult to forge.

Diwani is marked by beauty and harmony, and accurate small samples are considered more beautiful than larger ones. It is still used in the correspondence of kings, princes, presidents, and in ceremonies and greeting cards. and has a high artistic value.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DIwani Haruna Mushi apongeza serikali kutoa vifaa vya kujifunza kwa vitendo elimu ya watu wazima Kata ya miembeni

    Moshi Manispaa- 18/8/2026 Moshi, Kilimanjaro — Diwani wa Kata ya Miembeni katika Manispaa ya Moshi, Mhe. Haruna Mushi, amepongeza juhudi za Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia katika shule mbalimbali, hatua inayochochea...
  2. JamiiForums Tanzania Diwani kuwadhalilisha watumishi Manispaa ya Moshi ni jambo lisilokubalika

    Agosti 13 mwaka huu kwenye ukumbi wa Manispaa ya moshi kikao cha Baraza la madiwani kiligeuka kama kamati kwa ajili ya kujadili masuala ya kiutumishi hivyo sisi ambao hatukuwa wajumbe kanuni zilituondoa ndani ya ukumbi . Kikao kiliendelea kwa muda na hatimaye kikamalizika na sisi tukaitwa ...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 3 Wakamatwa Kwa Mauaji Ya Aliyekuwa Diwani Nathan Wasama

    Maafisa wa Upelelezi wa Jinai (DCI) wamewakamata watu watatu wanaohusishwa na mauaji ya aliyekuwa Diwani wa Chesikaki, Nathan Masai Wasama, huko Cheptais, Kaunti ya Bungoma. Wasama, ambaye pia alikuwa mfanyabiashara na alikuwa ametangaza nia ya kuwania kiti cha ubunge cha Mt Elgon mwaka 2027...
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Diwani Msemo: Ugonjwa wa Homa ya Ini unaambukiza haraka kuliko hata maambukizi ya UKIMWI

    https://www.youtube.com/live/AhPf5oKLqeA Mgeni wetu ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Ocean Road, Dkt. Diwani Msemo akizungumza na ST BONGO TV.
  5. JamiiForums Tanzania Kiluvya: vitisho na matumizi ya nguvu katika ukusanyaji pesa za ujenzi wa barabara Mh Rais Diwani wa kiluvya anakuchonganisha na wananchi wako

    YAH: OMBI LA UCHUNGUZI WA TUHUMA ZA UKUSANYAJI WA FEDHA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA KITONGOJI CHA MAKURUNGE, KATA YA KILUVYA – WILAYA YA KISARAWE Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kwa heshima kubwa, sisi baadhi ya wananchi wa Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya, Wilaya ya...
  6. JamiiForums Tanzania Diwani Athumani amewekwa detention?

    Aliyekuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa kipindi cha serikali ya awamu ya tano bwana Diwani Athumani inasemekana amekuwa akiishi chini ya ulinzi mkali sana. Diwani Athumani tangu aondoke madarakani haonekani popote na haalikwi kwenye hafla yoyote! Watu wanajiuliza kama amewekwa detention...
  7. JamiiForums Tanzania TANZIA Agnes Nasania Diwani Kata ya Shelui, Wilaya ya Iramba afariki Dunia

    Wakuu nasikitika kutangaza kifo cha diwani huyo na mwana JF mwenzetu. Diwani Kata ya Shelui, Wilaya ya Iramba, Mkoa wa Singida kupitia chama Cha Mapinduzi CCM, Agnes Nasania Amos amefariki dunia ghafla. Mwenyekiti wa Halmashauri Innocent Msengi, Baraza la Madiwani, Menejimenti na Watumishi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi Diwani wa Kariakoo asiye na Ithibati kuwa mtangazaji?

    Inawezekanaje TCRA na JAB kuruhusu Diwani wa CCM Kata ya Kariakoo Haji Sunday Manara kufanya kazi za utangazaji wakati bado ni mwanasiasa active mwenye nafasi ya uongozi? Je, sheria inaruhusu hali hiyo? Je, kweli anaweza kuwa fair mbele ya hadhira? Tumeshuhudia interview mbili alizofanya kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Kabaney Mojah, Diwani wa ACT Wazalendo kata ya Oldonyo Sambu, atimkia CCM

    Diwani wa Kata ya Oldonyo Sambu, Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha kupitia ACT Wazalendo, Kabaney K. Mojah, ametangaza kujivua udiwani na uanachama wa chama hicho kuanzia leo Jumatano, Aprili 15, 2025, na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mojah ametangaza uamuzi huo jijini Arusha alipokuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Diwani akamatwa na mirungi zaidi ya kilo 100 Arusha

    MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefanikiwa kukamata dawa za kuelevya aina ya mirungi kilo 106.25 katika wilaya ya Longido mkoani Arusha zikiwa zinasafirishwa kwa gari aina ya Toyota Wish yenye namba ya usajili T 889 DPG. Akizungumza Aprili 14,202 jijini Dar es Salaam...
  11. JamiiForums Tanzania Diwani wa Kariakoo Haji Manara hiyo ndiyo kazi uliyotumwa?

    Kuna ufisadi wa kutisha kwenye ujenzi wa barabara za mitaa Kariakoo lakini diwani wa kata hiyo Haji Manara yuko bize kutetea matajiri na kuhamasisha wamachinga wafukuzwe kila kona! Wanachokifanya kwenye ujenzi wa barabara za mitaa ni kumwaga oili na cement kwenye barabara kila wanaposikia kuna...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Chato wamrudishe Diwani Kapembe awe Mwenyekiti wa Halmshauri ya Chato. Alishinda kihalali apewe kiti chake

    Bila ubishi Kapembe anachukua kiti cha uenyekiti. Manunga alitumia pesa tu ambazo zilimpa uenyekiti bila ridhaa ya madiwani. Leo ametimuliwa. Hata uchaguzi ukirudiwa sasa hivi Kapembe anashinda.
  13. JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani Wa CCM Kata Ya Mzimuni Manispaa Ya Kinondoni Afariki Dunia

    Diwani wa CCM Kata ya Mzimuni katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mheshimiwa Manufred C. Lyoto amefariki dunia leo Machi 7, 2026 Taarifa za kifo chake zimetolewa na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mzimini, Abdalah M. Ally, ambaye pia ametoa pole kwa wanachama wa CCM pamoja na wananchi wote...
  14. JamiiForums Tanzania Diwani Jackson Chatanda ametoa msaada wa sahani 300 kwa shule ya msingi Ulonge

    Diwani wa kata ya Igumbilo Manispaa ya Iringa Jackson Chatanda ametoa msaada wa sahani 300 kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Ulonge, hatua iliyolenga kutatua changamoto kubwa ya ulaji iliyokuwa ikiikabili shule hiyo kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka shuleni hapo, wanafunzi wengi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Pesa za Disemba 9 zilienda wapi? Maana kata yangu Haina ofisi ya diwani wala mtendaji zilichomwa zote

    Salaam! Tukio la Oct 29 liliuacha mtaa, kata,ubalozi bila ofisi yeyote. Hakuna kituo Cha polisi, hakuna ofisi ya Diwani feki, ofisi ya mwenyekiti wa mtaa zote zilichomwa na WENYE NCHI. Sasa Kila ukitokea kutoelewana au ugomvi mtaani au tukio la wizi, kesi hiyo hakuna mahala pa kuisuluhishia...
  16. JamiiForums Tanzania DC Kilosa: Kuna Diwani ameingia madarakani ataka kutapeli ardhi akiomba ushirikiano kwa DC

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka amesema wapo baadhi ya Viongozi katika Wilaya hiyo wanatumia vibaya madaraka yao na kujimilikisha ardhi kinyume na utaratibu. DC Shaka amesema hayo katika muendelezo wa ziara yake kuzungumza na Wananchi na Viongozi ambapo amesema yupo Diwani baada ya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wananchi wa Malangali Manispaa ya Sumbawanga wamejitokeza kupiga kura ya marudio kuchagua diwani

    Shughuli ya upigaji kura inaendelea katika Kata ya Malangali Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, ambapo wananchi wameendelea kujitokeza kupiga kura ya udiwani katika uchaguzi wa marudio unaoendelea leo Januari 22, 2026. Wananchi wameendelea kujitokeza katika vituo mbalimbali vya kupigia kura...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Diwani wa Kata ya Mwendakulima afanya uteuzi wa wasaidizi katika ofisi yake

    Mhe. Diwani wa Kata ya Mwendakulima ambaye pia naibu Meya wa Manispaa ya Kahama, Ndugu SHABAN MIKONGOTI amefanya uteuzi wa wasaidizi (2) watakao hudumu katika ofisi yake kama ifuatavyo: i. Ndugu DEUS JOSEPH ametewuliwa kuwa Katibu wa ofisi ya Diwani anayeshughulikia Jamii na Mahusiano. Ndugu...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani mteule wa CCM Kata ya Shiwinga, amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri

    Aliyekuwa Diwani mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Shiwinga, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Lusekelo Mwalukomo amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri. Tukio hilo lilitokea jana Novemba 26, 2025 na amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Mbozi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Diwani Athumani na Kapilimba Bungeni ni kama ulimchanganya kidogo

    Walipotambulishwa niliona kama pozi iliisha kidogo au ni macho yangu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…