dini na siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kikwete Umetumia mimbari kisiasa Rorya!

    Mheshimiwa Rais mstaafu, Tulidhani ukiishastaafu unatoka kwenye siasa Rasmi, laakini umetumia haki yako ya kikatiba kutoa maoni yako. Ingawa wengine wanazuiwa kutoa maoni yao ila wewe umetumia mimbari hiyohiyo kufanya kile ulichokipinga. Ulipaswa kutoa hilo tamko nje ya mimbari hiyo maana hilo...
  2. WAKOMUNISTI pekee ndio wamefaulu kuweka mbali dini na siasa za nchi

    Katika historia ya dunia na uchipukaji wa dini duniani unaonesha kwamba mara nyingi dini huenda sambamba pamoja na siasa na tawala za nchi. Hali hii ilikuwa na nguvu katika ujenzi wa mwanzo wa mataifa ya Ulaya na makoloni yake sehemu mbalimbali za duniani hata mataifa ya mashariki ya kati nayo...
  3. Harakati za Ukombozi na utetezi wa mtu mweusi huko Marekani zilifanyika Kanisani. CCM acheni kupindisha Mjadala wa Bandari

    Kamwe huwezi kuwazuia Viongozi wa dini kukemea maovu hasa pale serikali inapokuwa na moyo mgumu na usio kuwa na huruma kwa wanchi wake. Kilichofanywa na kanisa Katoliki ni kutimiza wajibu wao wa kichungaji na hakuna tatizo lolote. Kanisa halijaanza leo kuwakalipia wanasiasa wa hovyo. Leo hii...
  4. Askofu Desmond Mpilo Tutu wa Afrika ya Kusini hakukaa kimya kuwatetea watu weusi (Dini vs Siasa)

    Kumekuwa na discussion kuhusu kuchanganya dini na siasa. Kusema kweli jambo hili limafikirisha sana. Askofu Desmond Tutu wa Afrika ya kusini alisimama na waafrika kupinga sera za ubaguzi wa rangi huko Afrika ya kusini. Ukombozi wa mtu mweusi umekuwa ukipiganiwa na maaskofu miaka mingi. Hapa...
  5. Wacha nimpe darasa kidogo Mzee Jakaya Kikwete

    Na Mwl John Pambalu Nimeshangazwa sana na kauli ya mzee Kikwete aliyoitoa jana huko mkoani Mara siku moja baada ya tamko la Baraza la maaskofu Katoliki katika kile alichodai kuwa si sawa kuchanganya dini na siasa. Kikwete ambaye marehemu Askofu Getrude Lwakatare alikuwa mbunge kupitia chama...
  6. Z

    Mkataba ni kama unaleta magawanyiko katika jamii; tukiuacha kunatokea nini?

    Huu mkataba umeleta mganyiko katika jamii mgawanyiko mkubwa sana. Hivi tukiuacha tunakosa nini? Mbona kama madhara yanayoweza kujitokeza ni mengi ikiwa tutang'angania mkataba huu? Baada ya mgawanyiko unaweza kujitokeza nani atawapatanisha 1. CCM na Chadema 2. Serikali na wananchi 3. Muislam na...
  7. Mzee Kikwete, kama hamtaki Dini Kuchanganywa na Siasa mbona CCM na Serikali mnawatumia Kimaombi katika Shughuli zenu?

    GENTAMYCINE sijawahi kuona Shughuli yoyote ile ya Kiserikali na hata ya Chama Tawala CCM ambayo huwa haiwatumii Viongozi wa Dini Kimaombi / Dua. Leo hii namshangaa kumuona Mtu ambaye aliharibu kwa kiasi Kikubwa Misingi imara ya nchi (Rais Mstaafu Kikwete) kwa tabia yake ile ile ya Unafiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…