dini na siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Allen Kilewella

    CCM acheni kuchanganya dini na siasa

    Mara Samia Suluhu Hassan aende kuombewa na Boniphase Mwamposa ambaye baadae anasema eti anamuona Samia kwenye Urais mwaka 2031! Hatujakaa sawa Emmanuel Nchimbi yupo kwenye vikao vya wapentekoste akiwaomba wamuombee Rais Samia Suluhu Hassan. CCM acheni kuchanganya siasa kwenye dini.
  2. Mjanja M1

    Viongozi wa Dini na siasa

    Viongozi wa Dini mbalimbali sasaivi wamekuwa ni sehemu ya kutetea mambo ovu yanayofanywa na wanasiasa. Nasikitika kusema ya kwamba, huko mbeleni kuna watu hawatokuwa wakienda nyumba za ibada tena hususani zinazoongozwa na viongozi wachumia tumbo. NOTE: Kadri dini zinavyojiingiza kwenye mambo...
  3. Fascinating

    Huyu Mchungaji, anafanya uchochezi au anatimiza wajibu wake kiimani?

    Wakuu nimekuta na hii video sehemu, Mchungaji anawasimanga vijana na kuna mahala anaenda mbali zaidi mpaka kusema Vijana hawezi hata kudai haki, wakipewa Elfu 5 tu wavaa T-shirt. Hii mijadala ya dini na siasa imekuwa yakawaida sana hivi karibuni na mpaka wa Viongozi wa dini kuonekana wanafanya...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Sheikh Ibrahim Kaniki: Hakuna utengano kati ya dini na siasa

    Sheikh Ibrahim Kaniki amesema hakuna utengano kati ya dini na siasa, akisisitiza kuwa masuala ya kisiasa huathiri moja kwa moja maisha ya waumini wa dini, hivyo ni muhimu viongozi wa dini kushiriki katika kuombea amani, haki na viongozi wanaokumbwa na changamoto. Akizungumza siku ya Jumamosi...
  5. Magufuli 05

    Kwahiyo Jana hawakuchanganya Dini na siasa? Hii ni maajabu

    Jana ikageuka sehemu ya kampeni. Hadi tukasikia kauli za kukata vichwa watu. Daaa! Hii nchi inaongozwa kisela sana. Kale kale kajamaa kalikohubiri tusichanganye dini na siasa Jana kalikuwepo kwenye ufunguzi wa hema. Haya bana mungu amewaona na anajua hatima yenu
  6. Fbn

    Viongozi wa dini wasichanganye dini na siasa basi hata nyie viongozi wa serikali tunaomba msichangaye kuomba amani na sera zenu kwenye dini

    Ni neno gumu nililoweka hapo juu ili viongozi waache na wao kutumia dini kujificha kwenye tawala zao. Tunaomba hata kuhapa wasishike misaafu na biblia sababu wao washasema dini sio siasa. Wakija kwenye dini kuungana tuwaone kama waumini wala sio viongozi sababu dini mjaitaka kuwa na siasa...
  7. The Father of All

    Hivi mashehe wanaoitetea serikali ya CCM hawachanganyi dini na siasa?

    Kumezuka magenge ya mashehe wanaojifanya kuitetea serikali hata pale wanapopaswa kulaani. Je hawachanganyi dini na siasa au kufanya hivyo ni pale wanapojitokeza wanaoipinga? Je huu siyo unafiki na undumila kuwili? Je viongozi wa dini wanapomwalika rais au waziri mkuu kuhudhuria mambo yao...
  8. The Father of All

    Kuchanganya dini na siasa ni pale viongozi wa dini wanapokosoa waovu ila waovu wanapofanya siasa madhabahuni si kuchanganya dini na siasa

    Ukiona namna wanasiasa wanavyoingia makanisani kuhubiri siasa na namna hao hao wanavyowazuia viongozi wa dini wawe wa kweli au feki kama Gwajima, unashangaa kama wanajua dhuluma wanayofanya. Je kuchanganya siasa na dini ni kwa viongozi wa dini tu au inawahusu wanasiasa wanaofanya hivyo tena bila...
  9. B

    Hali ilivyo asubuhi hii (Juni 3, 2025) Kanisani kwa Gwajima: Polisi wazingira eneo, waumini wapo ng'ambo

    Kuna askari zaidi ya 40 wenye uniform wana bunduki wamezingira kanisa upande wa barabara na wengine kwa nyuma, kuna wenye uniform na wengine wamevaa kiraia, pia kuna magari ya polisi zaidi ya kumi. Pamoja na polisi wote hao, waumini hawajaondoka, wamekaa chini ng'ambo ya barabara. Hivi ni...
  10. J

    Je, Kanisa Katoliki hawachanganyi dini na siasa? Au wao ni untouchable!

    Amani iwe nanyi waungwana wa jukwaa hili pendwa kabisa! Moja kwa Moja niende kwenye mada au swali langu kwenu wakuu, kufuatia press iliyofanywa na mbunge wa Kawe na kiongozi wa kanisa la ufufuo na uzima Hon.Dr.Bishop Josephat Gwajima kuhusu Hali ya kisiasa nchini imepelekea kufutwa kwa kanisa...
  11. W

    PreGE2025 Askofu Bwatta ataka makanisa yasitumike kwa ajili ya shughuli za kisiasa

    Askofu wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya Western Tanganyika, Mhashamu Emanuel Bwatta amekemea vitendo vya makanisa kutumika kwa ajili ya shughuli za kisiasa hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea katika Uchaguzi Mkuu na kwamba kufanya hivyo ni chanzo cha kuligawa taifa katika masuala ya kiimani...
  12. Chifu mkuu

    Mzee Kikwete: Tuwanyanyapae wenye kuchanganya dini na siasa

  13. W

    PreGE2025 Ostadh Mazinge: Angalieni maneno yenu, wangesema Yesu aachiwe mara moja Je mgesamehewa dhambi?

    "Mnatoa matamko kwa viongozi wa juu kwa mamlaka gani mfano kipindi cha Yesu wangetoa matamko kwamba Yesu asisulubiwe je mngesamehewa dhambi zenu" - Ustadh Mazinge Soma Pre GE2025 - DSM - Wakili Kibatala: Tundu Lissu kugomea kula chakula Gerezani mpaka haki ipatikane
  14. Megalodon

    PreGE2025 Ni kama Vita ya Kidini inazidi kupamba moto. Kuna kitu hakipo sawa

    Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI. Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia, hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia. Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual...
  15. Cute Wife

    PreGE2025 Viongozi wa dini wakiombea mitano tena ni wema, ila wakipinga unyanyasaji ni wachochezi na wahaini? Serikali mnafeli

    Wakuu, Yaani serikali, CCM mpaka mama mnaishangaza dunia, na kufanya hata tusiamini kwa huu ujinga na upuuzi mnatenda. Mama hadi alikenua Sheikh wa BAKWATA kumuombea ampe tulizo la moyo kwa kumpa mitano tena, hapo Sheikh alikuwa malaika, hana baya, ila ukiambiwa kweli ndio ukunje ndita? Vipi...
  16. The Father of All

    Nani anaruhusiwa kuchanganya dini na siasa?

    Japo tunawaona kama watu wawili tofauti, wanasiasa na viongozi wa dini ni kitu kimoja au niseme mapacha walioungana kiunoni. Ukitaka kuliona na kulijua hili angalia yafuatayo: Wote, huvuna wasipopanda na kupanda wasipovuna. Mfano, wote wanatumia maneno hasa ahadi hewa na za uongo kuwaibia na...
  17. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Steve Nyerere: Kufanya siasa kwenye nyumba za Ibada si sawa kabisa

    Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  18. stabilityman

    Dini na siasa ni moja ya njia kufanya human manipulation

    Dini na siasa ni moja ya njia kufanya human manipulation Mziki Movie Mochezo Uchoraji Media n.k Hivi vitu vinatumika sana tuweni makini kuna watu wanakaa wanaamua watu wengine wawaje wavaaje tena pasipo kukulazimisha
  19. Kitimoto

    Kauli Inayotolewa na Viongozi wa Chama na Serikali ya Kuwataka Viongozi wa Dini Wasichanye Dini na Siasa ni Kauli za Kishetani.

    Viongozi wa Chama na Serikali wakiendelea na kauli hizi za kishetani tutawaka wafanye yafuatayo:- 1. Waagize kwenye ibada kusiwepo na kuwaombea viongozi wa Serikali sababu ni kuchanganya DINI na SIASA. 2. Serikali wanapofanya mikutano, vikao, sherehe wasialike viongozi wa DINI kwa ajili ya...
  20. Yoda

    Dini haina mchango wowote katika ubora wa siasa na uongozi wa nchi

    Kama dini ni muongozo wa haki na maadili katika jamii inakuajae nchi zenye kiwango kikubwa cha raia na viongozi washika dini ndizo zinazoongoza kwa uvinjifu wa haki za watu, rushwa na ufisadi ! Ni wazi pasi na shaka kwamba dini haichangii kwa namna yoyote kustaarabika au kustaarabisha jamii.
Back
Top Bottom