Kuna taarifa za msiba wa Alli Mafuruki. Hakuna taarifa zaidi zilizopatikana hadi sasa. Pumzika kwa Amani
====
Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Infotech Investment Group, Ali Mufuruki amefariki dunia leo
Enzi za uhai wake Mufuruki aliwahi kuwa Mkurugenzi Huru, Mwenyekiti wa Bodi...