dickson maimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JF Analyst

    JamiiForums Tanzania Fahamu waliowahi kuongoza NIDA: Yupo Mkurugenzi TISS, mmoja alifutiwa Kesi ya Ufisadi na Serikali Awamu ya 6

    NIDA (Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa) ni chombo chenye wajibu wa kutoa huduma za utambuzi ambazo zinatambulika kitaifa na kimataifa. Chombo hiki hutoa vitambulisho kwa Watanzania na wageni wakaazi wa Tanzania na kutunza Daftari la Utambuzi kwa kengo la kuimarisha Usalama na Amani kiuchumi na...
  2. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Dickson Maimu wa NIDA na wenzake wafutiwa kesi zote

    Dickson Ernest Maimu na wenzake wote wamefutiwa rasmi mashitaka yao yote leo na DPP katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Oktoba mwaka jana, alifutiwa kesi moja ya Utakatishaji Fedha zikabaki kesi tatu: Uhujumu uchumi, kuisababishia Serikali hasara na Matumizi mabaya ya Madaraka...
  3. mshale21

    JamiiForums Tanzania DPP awafutia kesi Maimu, wenzake wawili mashtaka 10 ya utakatishaji fedha

    FRIDAY OCTOBER 22 2021 Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) amewafutia mashitaka 10 ya utakatishaji fedha washtakiwa watatu kati ya watano akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu. Mbali na Maimu washitakiwa wengine waliofutiwa...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa zamani wa NIDA, Dickson Maimu akutwa na kesi ya kujibu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemkutana kesi ya kujibu aliyekuwa mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu na wenzake wanne na hivyo wanatakiwa kuanza kujitetea. Maimu na wenzake wanne wanakabiliwa na mashtaka 55 yakiwemo ya kutakatisha fedha na kuisababishia...
  5. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Boss wa NIDA na wenzake 6 waachiwa huru na Mahakama kisha wakamatwa tena

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu pamoja na wenzake 6 waliachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Sababu ya kuachiwa kwao ni baada DPP kusema kuwa hana nia ya kuendelea na kesi hiyo Hata hivyo watuhumiwa hao wa kuisababishia Serikali hasara...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Waziri Lugola: Aliyekuwa Mkurugenzi NIDA, Dickson Maimu na Jack Gotham wasipoitikia wito ‘watapata tabu sana’

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameipa wiki mbili kampuni ya Kimataifa ya Iris Corporation Berhard impe majibu ya kuwa italeta mtambo wa kutengeneza kadi ghafi au Dola za Marekani Milioni 14 sawa na zaidi ya shilingi bilioni 32 za Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari...
  7. Mwana Mpotevu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awarudisha nyumbani mabalozi 6, amtimua Mkurugenzi NIDA. Madeni Kipande afukuzwa kazi!

    Rais Magufuli ameamuru kurudi nyumbani mabalozi wawili haraka akiwemo Dr Batilda Buriani, Dr James Nsekela wa Italia na Peter Kalaghe wa Uingereza Pia Mkurugenzi mkuu wa NIDA Bw Mwaimu amesimamishwa kazi kuanzia sasa. Akitangaza hatua hiyo, Katibu mkuu kiongozi Ombeni sefue amesema Batilda na...
  8. rosemarie

    JamiiForums Tanzania CV ya Dickson Maimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa

    Wakuu naomba sana mwenye CV ya mkuu huyu Dickson Maimu, kila wakati huyu akitokea kwenye Tv ninakuwa na mashaka sana na uwezo wake, kipindi cha nyuma alikuwa anatokea akiwa amevaa cheni shingoni na mapete kibao na mkufu mkononi. Kwa kweli inanitia mashaka sana kama kweli ni mtu anayefaa kwa...
Back
Top Bottom