dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Marekani kusitisha misaada kunaweza fanya shilingi yetu iporomoke dhidi ya Dola?

    Inadaiwa tulikuwa tunapewa dola 512milioni kwa mwaka. Je kukatiwa hizo pesa kutafanya shilingi idhoofike dhidi ya dola?
  2. JamiiForums Tanzania Elon Musk amesema USAID ni Shirika la kihalifu, linapaswa kufa

    Mmiliki wa kampuni ya teknolojia, Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufa kwakuwa ni shirika la kihalifu. Musk, ambaye aliteuliwa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), ametoa kauli hiyo baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania Ken Gold FC tafadhali msitupotezee muda kwa lawama zenu dhidi ya ''maudhi'' ya Bernard Morrison mliyemsajili Kimhemko

    Yaani kama Yanga SC na Simba SC wamemshindwa kwa tabia zake nyie ndiyo mtamuweza? Na mlivyo Wapuuzi nyie wenyewe ndiyo mmempa Mkataba 'Maalum' kuwa awe anakuja tu huko Mkoani kwenu mliko Siku Mbili kabla ya Mechi yoyote na akimaliza Kucheza Siku hiyo hiyo anarudi Dar es Salaam kuendelea kula...
  4. JamiiForums Tanzania FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

    Ni jioni ya leo saa 10:15 pale KMC Complex. Ubaya Ubwela
  5. F

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

    Source : DW Swahili leo mchana. Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma. Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo...
  6. JamiiForums Tanzania Mbowe na Lissu watafanyakazi pamoja dhidi ya CCM

    Jana Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA Tundu Lissu, alikwenda kwa mara ya kwanza makao Makuu ya CHADEMA kama Mwenyekiti wa chama hicho. Lakini tangu ashinde nafasi hiyo mambo mengi yamesemwa dhidi yake na pande mbili zilizokuwa kinyume chake. Upande wa kwanza ni watu wa CCM. Na ingekuwa ajabu kama...
  7. JamiiForums Tanzania Nani anamlipa Eddo Kumwembe kubwabwaja dhidi ya Simba Sc?

    Vitu vya kuchambua vipo vingi, kama umeshindwa kuchambua soka nenda kachambue mchele
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mungu asikia maombi ya wanandoa wa kimarekani na kuikoa nyumba yao dhidi janga la moto

    Hakika Mungu yupo kwa hili lililowatokea wanandoa wawili nchini marekani katika hili janga la Moto linaloendelea,walikuwa na dakika 30 pekee za kuokoa maisha yao lkn kwa maombi na sala Mungu aliwanusuru wao na nyumba yao
  9. JamiiForums Tanzania Kama Kenya inatunza na kufadhili watu qanaotukana viongozi wa Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi, hivi hakuna namna na sisi tutafanya jambo dhidi yao

    Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
  10. JamiiForums Tanzania Yanga kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Gor Mahia tarehe 22 February

    Mchezo huu utakuwa wa uzinduzi wa uwanja wa Jaramogi Oginga Odinga, ambao ulikuwa ulikuwa ukihairishwa mara kwa mara mara kutokana na Yanga Kuwa na mchezo minginya CAFCL Mashabiki wa Kenya wameusubiria mchezo huu Kwa hamu, na uuzaji wa ticket tukianza uwanja utajaa siku hiyo Yanga ndo timu...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure! Ukiwa mwanaharakati dhidi ya CCM usikimbilie nchi za Afrika Mashariki au Urusi au China. Nenda Marekani, UK au Nchi ya Umoja wa Ulaya

    Nawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi. Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa CCM. Nchi za Kiarabu ndo kabisa maana majasusi wa nchi mbalimbali ndo wanafanya field zao hata...
  12. JamiiForums Tanzania Katikati ya mapambano dhidi ya Kipindupindu jijini Mbeya, hakuna maji

    Leo nikiwa zangu kazini katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, wife ananipigia simu kuwa nitakaporudi nitaoga matope. Namuuliza kwanini, ananiambia kuwa maji HAKUNA. Sitaki kuiongelea Mbeya yote kwa ujumla lakini kwa maeneo ambayo mimi ninaishi haya ya Iyunga, na Nzovwe, hali hii...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Beki wa Salford city Mtanzania HAJI MNOGA kuanza leo kwenye mechi dhidi ya Manchester city

    Yule full beki wetu wa kulia, HAJI MNOGA anayechezea Taifa stars na Salford city ya nchini Uingereza, anatarajia kuwa sehemu ya wachezaji watakaowakabili Manchester City leo kwenye michuano ya FA. Mchezo utachezwa leo saa 2::45 usiku. Haji mnoga atakuwa mchezaji wa pili wa Kitanzania kucheza...
  14. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini uchaguzi wa chadema wa mwaka huu ni baina ya wanaokusudia kuibomoa chadema dhidi ya wanaokusudia kuijenga na kuimarisha chadema?

    Ni wazi kuelekea uchaguzi wa chadema ngazi ya Taifa, kuna wagombea wasio wazalendo, makuwadi wa mabenyenye ya magharibi, wanaokusudia kuigawanya, kuisabaratisha na kuipoteza kabisa chadema kwenye medani ya siasa kwa makusudi, kwasababu za tamaa zao, ubinafsi, uchu wa madaraka na vyeo, unafiki na...
  15. JamiiForums Tanzania Asanteni Singida Big Stars na walio nyuma yenu, mliiandaa Simba kwa mechi ya leo dhidi ya Sfaxien

    Wahenga walisema "baraka inaweza kujificha". Siku chache zilizopita Simba ilienda Singida ikakutana na mechi ngumu ya kukamiwa. Walio nyuma ya Singida wakawaahidi wachezaji wao mapesa mengi. Kilichotokea, wachezaji vijana wa Simba kina Ahoua walizidi kupata experience ya kucheza mengi ngumu...
  16. JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba ikishinda ugenini dhidi ya waarabu CS Sfaxien

    1.Simba imecheza vizuri sana mpaka ilipokuja kuvurugwa na kocha dakika ya 76. 2. Elie Mpanzu aongezewe muda wa kucheza ni mashine ya boli. 3. Simba ni imara zaidi golini na inabebwa na mlinda mlango wake Mousa Camara, hili eneo litaifikisha mbali Simba. 4. Kuna namna lionel ateba anaanza...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu uchunguzi huru uanze upya kuhusu kupotea kwa Ben Saanane na shambilio la risasi dhidi ya Tundu Lissu

    Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana . Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane . Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu. Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe kwa aliyopitia na aliyofanya, naumizwa na kejeli dhidi yake LAKINI ni Muhimu sana atumie Hekima

    Sidhani kama kuna mtu ambaye anaweza kusimama na kwa dhamira akazikataa jitihada za Mbowe katika kuijenga CHADEMA na katika kupigania haki na demokrasia nchini Tanzania. Ni katika jitihada hizo, Mbowe aliwekwa mahabusu za polisi mara kadhaa, alifilisiwa kwa nguvu, alitumia muda wake, rasilimali...
  19. JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Yanga ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Fountain Gate

    1. Yanga imecheza vizuri mno, hii ni salamu tosha kuelekea mechi yao na Tp mazembe. 2. Nadhani fountain gate ndio timu yenye safu mbovu kabisa ya ulinzi, wamechagua kupishana na Yanga wakaadhibiwa. 3. Pacome zouzou amestahili tuzo ya mchezaji bora wa mchezo, ule uwezo wake uliopotea mechi...
  20. JamiiForums Tanzania Tafakari yangu juu ya mchezo wa jana kati ya singida black stars dhidi ya simba

    Kwanza kabisa jana sijaona burudani ya mpira zaidi ya ubabe na makandamizo kwa walima alizeti wa singida. Hamnza anatoa kona refa anaweka goal kick, kibu anatoa mpira alafu wanarusha wao wenyewe tena, kibendera anaelekea kwake refa wa kati naye anaelekea kwake, umakini mdogo sana. Azam tv nao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…