Mimi ni mchimbaji mdogo katika moja ya Vijiji katika Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya, kero yangu ni kuwa kumekuwepo na tabia ya mazoea ya kuchoma dhahabu mbichi kwa moto wa mkaa katika hizi buying center nyingi za huku Chunya, jambo ambalo ni hatarishi kwa afya za wachimbaji.
Mvuke wa zebaki...
Ikiwa ni mara ya pili mfululizo, mwanariadha wa Tanzania Gabriel Geay, leo tena kashika nafasi ya kwanza kwenye mbio za Marathon (42km) za Daegu, Korea kusini. Katumia muda wa masaa 2:08:08. Huu ni ushindi mkubwa kwa kijana huyu na Tanzania kwa ujumla. Cha kufurahisha ni kuwa kijana atawekewa...
Kwenye SIM card kuna kiasi kidogo sana cha madini ya dhahabu — lakini ni kidogo mno. Kwa nini kuna dhahabu?
Dhahabu hutumika kwenye sehemu za mawasiliano (contacts) kwa sababu:
Haishiki kutu (haioxidize)
Inapitisha umeme vizuri
Inadumu muda mrefu
Kwenye SIM card, ile sehemu ya rangi ya...
16 February 2026
Baraza la Dhahabu Duniani laashiria utayari wa kushirikiana na Tanzania kuimarisha sekta ya dhahabu - SADC
https://m.youtube.com/watch?v=W9De1WL7Rh8
Baraza la Dhahabu Duniani World Gold Council limeonyesha utayari wake wa kushirikiana na Tanzania kuimarisha sekta ya dhahabu...
Russian gold reserves break record
The country’s bullion holdings were valued at $402.7 billion as of early February
The value of Russia’s gold reserves has reached an all-time high, exceeding the $400 billion mark, according to statistics released by the country’s central bank on Friday...
Wahusika wamekuwa wakitengeneza hadithi mbalimbali kuuhadaa umma, lakini ukweli ni kwamba watawala wana hofu ya nchi kuwekewa vikwazo vya kuuza dhahabu nje kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa Samia.
Kwa kuwa madini ya Dhahabu na Almasi, kutokana na kuwa na...
Pale Mpingo House walitunza meno ya tembo na pembe za faru. Ghafla wakatamani pesa, wakatangaza kuuza. Bahati nzuri kwa TZ, Kenya walivuruga mpango huo, wakashindwa. Sasa wamekuja na jipya. Wanatangaza kuuza dhahabu.
Yaonekana wanaojiita ni viongozi ni kama fisi vile, hata akichomwa mkuki...
Pesa za dhahabu zitakwisha kesho tu! Je watauza nini ?
Mradi wa gas ambao una nukia ufisadi mkubwa ndiyo sehemu pekee ambayo bado haijauzwa kwasababu wamiliki wa EU na USA wamegoma kutoa rushwa. Hawataki kutoa 10% maana kisheria kwa hawa hasa USA ukitoa rushwa kama kampuni unapigwa fine kubwa...
Pesa ya Dhahabu kama kawaida itaenda kununua Magari ya kifahari kama kawaida ya serikali ya kifisadi.
Sehemu rahisi ya kuiba ni hii kwa kuagiza magari ya milioni 300 mpaka milioni 500 na madalali ambao ni viongozi wanapata magari na 10%.
Hakuna pesa hapa itaenda kwenye miradi ya maendeleo...
Jee maamuzi ya kuhusu dhahabu yetu yapo chini ya maamuzi ya wanasiasa wa CCM au benki kuu?
Jee ni waziri wa fedha anayeamua ni kiasi cha akiba ya dhahabu tunachotakiwa kuwa nacho ama Gavana wa Benki kuu?
Jee waziri wa fedha akisema dhahabu iuzwe Gavana wa Benki Kuu anaweza kuzuia ama Gavana wa...
Suala la kuudha dhahabu harikubaliki samia na serikali yake ni haramu na hawana mamlaka hayo watalipa.
Najuq hana uchungu wowote na anaweza kuuza hata mbuga za wanyama hana mamlaka hayo ametwaa madaraka kinyume cha sheria kwa kuuwa watanzania.
Tutakuja na mpango wa kurudisha rasilimali zetu...
Zilikuwa ni pete, bangili, hereni na cheni.
Watu walikuwa wajia mara nyingi kumuulizia mama wakiwa wameshika bahasha zenye nyaraka.
Kuna siku mama alichukua vito vyake vya dhahabu, sikuwahi kuviona tena na tuliishi bila usumbufu kwa miezi sita.
Baada ya hapo wale watu wanaobebea nyaraka...
1/
Baada ya uchaguzi wa Oktoba 29 uliogubikwa na damu, hofu na tuhuma nzito za kukosa haki, Tanzania imejikuta ikipoteza imani ya mataifa na mashirika mengi ya kimataifa. Matokeo yake? Misaada na ushirikiano wa kifedha kusimamishwa au kupunguzwa.
2/
Badala ya serikali kuwa wazi kwa wananchi...
Ni Lazima Watanzania Wajue, nini maana ya HAZINA ya Dhahabu, umuhimu wake hasa katika Usalama wa NCHI kwa kuzingatia SIASA na Mabadiliko ya Kisera ya Dunia.
HAZINA ya Dhahabu, haitakiwi kamwe Kuuzwa kwa ajili ya Miundo mbinu, Huu ni ZAIDI YA USENGEE !!
Kwa akili ya Samia na Genge lake maana...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu kwa ajili ya kufadhili miradi ya kimkakati ya serikali.
Akizungumza mkoani Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT, Emmanuel Akaro...
Baada ya MO29, Wanaharakati na CHADEMA walisisitiza kwamba lazima haki ipatikane na kuwe na uwajibikaji kutokana na matukio yote yaliyotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi.
Kampeni zikaanza ikiwemo za kukusanya vielelezo, kupinga tume feki ya Chande na kupeleka vielelezo vya kufungua...
1. Kuuza dhahabu yote is a bad move, kwa sababu mataifa yoye makubwa sasa hivi yananunua dhahabu kwa kasi kubwa kwa sababu ya kupotea thamani kwa fiat currency (pesa za karatasi). US ambae ni kiranja mkuu kila siku tunamuona Trump anahangaika kuiokoa dollar kwa sababu maji yamefika shingoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.