Mtiania mwenza wa urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja amesema chama hicho kimejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata lishe bora kupitia mpango wao wa “ubwabwa kwa wote”.
Mpango huo, amesema, unalenga kuondoa njaa na kupunguza magonjwa yanayohusiana...