“When you dance with the devil, the devil doesn’t change. You do.”
Kuna watu wanaua, wanaiba Dawa hospital, Wanaiba miradi ya Maji, wanakula hela za Halmashauri, wanapora haki mahakamani, wanapitisha sheria mbovu bungeni, wanateka, wanaiba bilions of money wanaficha kwenye magari, tuambiwe...