deus kibamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Deus Kibamba: Maridhiano yawe kati ya Serikali na Watanzania, sio CCM na CHADEMA

    “Maridhiano yawe baina ya serikali na watanzania, Sio CCM na CHADEMA, Kwa sababu mamlaka yapo mikononi mwa watanzania sio vyama vya siasa” Deus Kibamba, Mchambuzi wa Siasa
  2. R

    PostGE2025 Deus Kibamba: Tusimlaghai Rais. Huwezi kujichunguza mwenyewe. Hapa tulipofika tusijichunguze, tuchunguzwe

    Mchambuzi wa masuala ya Siasa Deus Kibamba amesema kwa mazingira ya sasa, ni ngumu kupata mchunguzi wa ndani atakayeaminika na pande zote, isipokuwa ni busara pande zote zikaridhia kupata mchunguzi huru kutoka nje ya nchi huku akirejelea hotuba ya Rais Samia siku chache zilizopita akieleza...
  3. R

    Rais Samia hajui Idadi ya Wabunge wa Serikali yake

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 18, 2025 akiwa katika hafla ya uapisho wa baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma ameshindwa kujua idadi ya wabunge ambao wapo katika Serikali yake
  4. BigTall

    Deus Kibamba: Mbunge akimaliza miaka mitano Bungeni anapewa kiinua mgongo Sh Milioni 380+

    Msikilize Deus Kibamba ambaye ni Mchambuzi wa Mambo ya Siasa na Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia na Mkurugenzi Mtendaji Kituo Cha Taarifa Kwa Umma akifafanua kuhusu faida za Mbunge anazopata ndani ya Miaka mitano. Ndio maana Watu wanapambana kwa nguvu zote kuupata Ubunge kama mambo yenyewe ni...
  5. R

    GE2025 Deus Kibamba: Unono na mfumo wa sheria/katiba ni sababu inayowavutia wengi kuwania ubunge

    Wakuu Kumekuwepo maswali mengi kuhusu wingi wa waliojitikeza kuchukua fomu za kutia nia na ubunge na udiwani, kupitia Kipindi cha Mada Kuu - TBC kilichofanyika Julai 10, 2025 Mchambuzi wa Masuala ya Siasa, Deus Kibamba alieleza badhi ya sababu zinazowavutia wengi kuwania nafasi ya Ubunge nchini...
  6. The Palm Beach

    Deus Kibamba: Mbunge miaka 5 tu anavuta fao la 400M, Mtumishi wa umma daktari, mwalimu nk miaka 30+ hupata 100M. Hii siyo haki. Reforms hapa lazima

    Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini Tanzania Deus Kibamba ametoa tahadhari kuhusiana na kile alichokitaja kama "unono" wa kisiasa na kutokuwepo kwa uwiano wa mgawanyo wa maslahi ya kiutumishi (keki ya taifa) ktk sekta ya umma unaowasukuma watumishi wengi kuacha kazi na kukimbilia kwenye siasa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Deus Kibamba: Maendeleo endelevu yatapatikana kwa kupunguza maslahi ya viongozi wa kisiasa

    Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini, Deus Kibamba, ameshauri kuwa ili nchi ipate maendeleo endelevu, ni muhimu kupunguza maslahi na stahiki mbalimbali wanazopata viongozi wa kisiasa, ambazo zimekuwa kubwa sana ikilinganishwa na stahiki za watumishi wa taaluma mbalimbali. Kibamba ameongeza kuwa...
  8. The Palm Beach

    PreGE2025 Deus Kibamba: Nimeoteshwa, serikali wakati wowote inaweza kuja na "nole porescute" au "unwilling to continue" na kesi dhidi ya Tundu Lissu

    https://youtu.be/l93YJzVm8z0?si=mhs-eCey82uYQAyP Huu ni mjadala mzuri sana uliofanywa AzamTV ukimshirikisha Deus Kibamba (Mhadhiri wa mambo ya siasa ktk Chuo Cha Mwl Nyerere) na Mwenyekiti wa Mkoa wa CHADEMA mkoa wa kichama, Kinondoni - DSM, ndugu Sunday.. Mjadala umejikita kujadili agenda ya...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Deus Kibamba: Katiba inasema Itakuwa ni marufuku kwa watu wanao husika na uchaguzi kujiunga na chama chochote cha siasa

    Mwanazuoni na mchambuzi wa masuala ya siasa, Deus Kibamba amesema kuwa kitendo cha mmoja wa Makamishna wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuwa na historia ya kuwa kiongozi mwandamizi wa chama cha siasa kunaweza waondolea wananchi imani juu ya usimamiaji haki kwenye uchaguzi. Kibamba...
Back
Top Bottom