dereva uber

  1. N

    Mimi ni dereva wa taxi mtandao, natafuta gari ya mkataba

    Habari ndugu zangu, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za uber, bolt, indrive na nyinginezo. Kwa mawasiliano 0786168340
  2. Ene magari

    Mimi ni dereva Uber na Bolt, natafuta gari ya hesabu

    Kama awali nilivyosema apo juu mimi ni dereva Uber na Bolt natafuta gar ya kazi ya kuleta hesabu ndani ya week hesabu ni makubaliano. Gari iwe plate no nyeupe au njano n sawa tu bila shakaa. For more info naomb mtu aliekuwa ni utayari anitafute kupitia no hii. 0628729873 0686775988
  3. Ernestcuthbert

    Mimi ni dereva Uber na Bolt, natafuta kazi

    Ni Dereva mzoefu kwenye shughuli izi za uber na bolt, natafuta Gari ya hesabu Iwe plate no ya njano au nyeupe mimi naweza kupambana nayo kwaajili ya hesabu...ninao uwezo wa kuleta hesabu kwa kila week .... Gari iwe kuanzia 2006 Ist, swift, spacio ractics' vitz na zingne toloe iloo Naomba...
  4. Ernestcuthbert

    Mimi ni dereva uber na bolt natafuta

    Natafuta Gari kwa ajili ya kuleta hesabu, nina vigezo vyote nina accnt ya uber na bolt na indriver. naomba mtu anicheki kupitia no hii, 0628729873 Au 0686775988
  5. Ernestcuthbert

    Habari mimi ni dereva uber natafuta Gari ya kazi

    Natftaa gari ya hesabu au mkataba na uzoefu mkbwa na leseni yenye class 3 na uzoefu ...mwenye connection ya Gari au mmliki wa gari naombq anichek kupitia no hiii 0628729873
  6. Ene magari

    Dereva wa Uber na Bolt natafuta gari la mkataba

    Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya kazi ' Kwa mawasailiano zaidi Ernest : +255628729873 Naomba ushirikiano wenu
  7. Ernestcuthbert

    Dereva Uber na Bolt, natafuta kazi

    Natafuta Gari ya kaz iwe private au commercial kwa ajili ya kazi nina account zote mbili uber /bolt kwa mwenye Gari naomba anicheki kuptia no hii...0628729873
  8. Ernestcuthbert

    Dereva uber natafuta Gari

    Natafuta Gari ya kazi iwe commercial au private kwa ajili ya uber n bolt mimi ni mzoefu na account zote mbili ya bolt na uber naomba mwenye Gari au mwenye connection na gari naomba anicheki kwa no hii 0628729873
  9. Ernestcuthbert

    naitw ernest ni Dereva uber na bolt

    Natafuta Gari ya kazi iwe commercial au private kwa ajili ya uber n bolt mimi ni mzoefu na account zote mbili ya bolt na uber naomba mwenye Gari au mwenye connection na gari naomba anicheki kwa no hii 0628729873
  10. Ernestcuthbert

    Naitwa Ernest ni Dereva uber Au bolt

    Natafuta Gari ya kazi ya uber kwa plate no y njano au nyeupe na uzoefu mkubwaaa nina account zote mbili ya uber na bolt hesabu ni makubaliano naomba unichek kwa nambaaa hii. 0628729873 au 0686775988
  11. M

    Natafuta gari ndogo

    Habarini wanaJf, natumai mu wazima wa afya. MwanaJf mwenzenu ninatafuta gari ya kufanyia biashara ya kusafirisha abiria kwa njia ya mtandao, lengo ni kujikwamua kiuchumi kwa kipato cha halali kama kijana. Leseni na account za uber, bolt na nyinginezo, ninazo, na napatikana Daresalaam...
  12. P

    Dereva wa uber natafu gari ya kazi iwe hesabu au mkataba

    Mimi ni dereva wa uber natafu gari ya kazi iwe hesabu au mkataba pia nina account ya uber na leseni namba yangu ni 0764254637
Back
Top Bottom