Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Deodatus Balile, amesisitiza umuhimu wa vyama vya siasa nchini vyenye kushiriki uchaguzi mkuu kuwa na ilani za uchaguzi zenye kuakisi malengo na mipango iliyopo kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2025/50, ili kuwa na mtazamo wa pamoja wa...