Ni suala la muda tu kabla ya Tanzania kuingia katika klabu ya nchi zinazodaiwa zaidi Afrika na pia duniani (most indebted countries), sawa na DRC, Sierra Leone, Ghana, Angola....Argentina, Lebanon, Venezuela.
Tena kwa kasi hii, hilo laweza kutokea ndani ya miaka mitano ijayo. Kuwa katika...
Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar.
---
Serikali ya Tanzania imepokea mkopo wa Dola za Marekani 163.6 milioni (Sh427.8 bilioni) kutoka Benki ya...
Kiwango cha Fedha zinazotumika kulipa Madeni likiwemo Deni la Serikali kimeongezeka kutoka Tsh. Trilioni 10.48 za mwaka 2023/24 hadi kufikia Tsh. Trilioni 13.13 mwaka 2024/25
Kwa mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Fedha, Serikali imetenga kiasi hicho cha Fedha kwa mwaka huu ikiwa ni...
Serikali ya Tanzania inatarajia kusaini Makubaliano ya Mkopo wa Riba Nafuu wa takriban Tsh. Trilioni 6.51 kutoka Serikali ya Korea Kusini kupitia ziara itakayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Mei 31, 2024 nchini Korea
Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu Tanzania, mkopo huo utakuwa wa miaka 5...
Hadi mwezi Desemba 2023, deni la Serikali lilikuwa shilingi trilioni 87.47 ikilinganishwa na shilingi trilioni 74.75 katika kipindi kama hicho mwaka 2022, sawa na ongezeko la asilimia 17.0. Kati ya kiasi hicho, deni la nje ni shilingi trilioni 56.79 na deni la ndani ni shilingi trilioni 30.67...
Dar es Salaam. Benki ya Maendeleo ya Afrika imeidhinisha kifurushi cha ufadhili cha dola milioni 696.41 kwa Burundi na Tanzania ili kuanza Awamu ya Pili ya mradi wa Reli ya Pamoja ya Tanzania-Burundi- DR Congo Standard Gauge (SGR).
Awamu hii itashuhudia ujenzi wa kilomita 651 za reli ya njia...
Mkopo huo umeidhinishwa na Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kwaajili ya kuiongezea uwezo Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB).
Kwa mujibu taarifa ya AfDB, Benki ya TADB itapokea nyongeza ya Tsh. Bilioni 3 kwaajili ya kuwezesha awamu ya pili ya Mpango wa Kusaidia...
Muhimbili Mpya Inaenda Kuzaliwa,Zaidi ya Bilioni 600 Kutumika,hii ni Bonge la Mradi yaani Sawa na Kujenga Majengo Nusu ya Majengo Yote ya Wizara Pale Dodoma.
---
Uongozi wa Hospitali ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam umesema hospitali hiyo itabomolewa na kujengwa upya.
Mkurugenzi Mtendaji wa...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) CPA Charles Kichere lwo Ikulu akiisoma ripoti ya ukaguzi kwa mwaka wa fedha 2021/2022, amesema deni la Serikali kwa sasa ni Tsh. Trilioni 71.31.
“Deni la Serikali kufikia June 30,2022 lilikuwa Tsh. Trilioni 71.31 ikilinganishwa na Tsh...
Bank ya Standard Chartered imeipatia Tanzania Mkopo Nafuu wa Shilingi Bilioni 1.4 Kwa Ajili ya ujenzi wa mradi wa reli ya Sgr kwenye lot 3 na 4..
=======
The Tanzania government has received a grant of 1.4bn/- (approximately $ 596,406) from International Standard Chartered Bank Ltd which will...
Deni limeongezeka kwa Tril 4 ndani ya miezi 4
Deni halijumuishi Tril 1.3 ambayo tumekopa Mwezi uliopita kutoka WB
Deni hili ni la Serikali tu, tukijumlisha na lile la Sekta Binafsi linafika Tril 98
Maelezo zaidi
Akiwa kwenye mkutano na Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa Rais Samia amesema ni kweli serikali hii ina madeni lakini watu wasiishie tu kusema hivyo, bali waseme pia kwenye uchambuzi madeni hayo yamefanya nini. Akiongeza kuwa serikali ikifanya vizuri watu wasisite pia kusema kuwa serikali...
Benki ya Dunia imeikopesha Tanzania jumla ya tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya sekta za Elimu, Barabara Mawasiliano na uchumi jumuishi.
----
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea mkopo wa masharti nafuu wenye thamani ya shilingi trilioni 2.7 kutoka Benki ya Dunia (WB).
Waziri wa Fedha na...
Mbunge Viti Maalum, Josephine Genzabuke: Naomba niishukuru serikali ya CCM inayoongozwa na Jemedari, Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu kwa kufanikisha mkopo wenye Masharti nafuu kutoka benki ya maendeleo ya Afrika tukaweza kuahidiwa pesa dola za Kimarekani 140 sawa na shilingi laki tatu...