deed poll

A deed poll (plural: deeds poll) is a legal document binding on a single person or several persons acting jointly to express an intention or create an obligation. It is a deed, and not a contract, because it binds only one party.

View More On Wikipedia.org
  1. Flowerpot

    Diploma jina la kwenye Deed poll degree limevutwa la form 4.

    Majina ya form 4 mfano (John M. Doe), lakini yakabadilishwa na deedpoll yakawa John Doe Michael (Notice M imekuja mwisho na kuwa kwa kirefu). Na ndio Jina lililopo kwenye Cheti Diploma na Kwenye Ajira serikalini. Nimeenda kujiendeleza Degree, muda wa registration wajina yakavutwa ya form 4...
  2. Dignah

    Fahamu kuhusu hati ya kubadili jina (deed poll)

    FAHAMU KUHUSU HATI YA KUBADILI JINA (DEED POLL) 0747131430 HASA KWA VIJANA WENZANGU MLIOOMBA KAZI SERIKALI. KABLA YA INTERVIEW SHUGHULIKIA MAJINA YAKO YAWE SAWA. WENGI WANAKATALIWA KUFANYA INTERVIEW. HATI YA KUBADILI JINA (DEED POLL) Hii hutumika kama mtu anataka kubadili jina kabisa. Mfano...
  3. Sambare

    Naomba kuelewesha katika hizi interview za TRA tulizotumiwa email kuwa twende na Deed Poll

    Habari zenu wakuu. Naomba kuelewesha katika hizi interview za TRA tulizotumiwa email kuwa twende na Deed Poll Mf majina ya nida na birth certificate yanasoma Ikupa Samwel Seba lakini vyeti vya taaluma vinasoma Ikupa S Seba . Je hapo nahitaji deedpoll kweli? Na je Mfano nida na Cheti cha...
  4. Insidious

    Deed poll inachukua muda gani kusajiliwa ardhi?

    Wasomi kwemaaa? i) kwa wazoefu, cheti cha kuzaliwa kinachukua muda gani kutoka baada ya kuomba mtandaoni? ii) Deed poll inachukua muda gani kusajiliwa ardhi? Nitashkuru kwa majibu yenu
  5. S

    Ushauri kuhusu deed poll

    Habari zenu nilikuwa naomba ushauri mm binafsi wakati namaliza shule ya msingi nilichukuliwa na kaka angu ambae anamuita baba yangu bamdogo, ilikuwa ni shule ya kulipia huko Mlalo Lushoto lakini sikuanza form one na kaka alipendekeza nianze form two kwasababu nina akili sana na mm nikaanza Lakn...
Back
Top Bottom