david kafulila

David Zacharia Kafulila (born 15 February 1982) is a Tanzanian Civil Servant and current Regional Commissioner for Simiyu Region after serving as Regional Administrative Secretary for Songwe Region from 2018 to 2020. He was the NCCR–Mageuzi politician and Member of Parliament for Kigoma South constituency since 2010 to 2015. He's the first Member of Parliament to get a whistle-blower award he received such prize in the year 2015 after exposing and champion the Tegeta Escrow scandal which cost the nation loss of about $200.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye PPPC ya David Kafulila yaleta neema kubwa kwa Wana-Dar es salaam

    == Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ukaguzi wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya tatu katika eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam na kutoa maagizo ya kuharakisha maandalizi ili huduma ianze mapema. Katika ziara hiyo, Majaliwa alikagua barabara kuu za mradi, vituo vya abiria...
  2. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Credit Rating Agency kama Fitch na Moody`s hawawezi kuipendelea Tanzania wao kama ni nyeusi wanaita nyeusi hata Marekani wanaishusha

    == Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPPC), Bw. David Kafulila, amesema kuwa Tanzania imepimwa na wakadiriaji wakubwa wa uwezo wa kifedha wa kimataifa kama Moody’s, Fitch na Standard & Poor’s, na wote wamethibitisha kuwa uchumi wa Tanzania ni imara, himilivu na...
  3. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Nchi zenye uchumi wa $1Trilioni duniani ziko 19 tu wakati Africa hakuna hata moja Tanzania tutaitoa Africa kimasomaso ifikapo 2050

    Recall: Akiongea katika kongamano la Dira2050 jijini Mwanza lililoandaliwa na Taasisi ya REDET kwa ushirikiano na PPPC David Kafulila amaesema yafuatayo namnukuu, "Nchi zenye uchumi wa $1Trilioni duniani ziko 19 tu wakati Africa hakuna hata moja hueanda Tanzania tukaitoa Africa kimasomaso...
  4. JamiiForums Tanzania MWANZA: Ni mjadala mkali hapa Prof. Mukandara pale David Kafulila, Jumamosi 26|07|2025

    == Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo kupitia PPP hasa Kwa level ya Halmashauri na Mikoa. == Mwanza mmebahatika msikosee,
  5. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Ni ngumu kujenga Demokrasia kwenye nchi masikini

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila anasema, Akirejelea Utafiti unaosema kwenye nchi ambazo watu wake wanakipato chini ya DOLA 1,000 Kwa mwaka zinaweza kuishi kidemokrasia si zaidi ya Miaka 10 tu na baadae kuangukia kwenye Tawala nyingine zisizo za...
  6. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Watanzania tupunguze Kasi ya kuzaliana. Jambo hili kiuchumi lina matokeo hasi - Dira2050

    UTANGULIZI, Akizungumza katika kipindi maarufu cha runinga cha "Mizania ya Wiki" kinachorushwa na Kituo cha Televisheni kutoka Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila alikuwa na haya ya kusema, Kwanza, Kafulila anaonesha upo uwezekano...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Kafulila: PPP huwezesha Serikali kuwekeza kwenye vipaumbele, sekta binafsi hushughulikia mengine kwa makubaliano maalum

    https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/experts-back-ppp-model-for-vision-2050-growth-5124098 === Kwa tafsiri isiyo sahihi sana, Wataalam wamekubaliana kwamba ikiwa Tanzania inahama kupelekwa malengo ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, lazima iondoke kwenye maneno na kuingia katika...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Miujiza . Kupitia PPP ya David Kafulila amepunguza muda wa meli kutia Nanga Bandarini kutoka Siku 46 Hadi Siku 7 Tu. Ni tabasamu tu

    Ndugu zangu Watanzania, Ukisikia kuifungua Nchi kwa manufaa ndio huku sasa. Ukisikia kuinua uchumi ndio huku sasa,ukisikia kuvutia wafanyabiashara ndio huku sasa,ukisikia kuvuta fursa ndio huku sasa, ukisikia akili kubwa na maono makubwa ndio huku sasa,ukisikia Rais mwenye upeo na chaguo la...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: PICHA: Huyu Kumrithi Dkt Emmanuel Nchimbi Ukatibu Mkuu wakati wowote

    || Habari zilizozagaa huku mtaani kwa wananchi na makada wa CCM walio wengi na baadhi ya Viongozi wa CCM Tanzania ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka kutoka Upande wowote wa Muungano baada ya kazi nzuri ya Dkt Emmanuel Nchimbi ni lazima awe na sifa hizi zifuatazo au...
  10. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Ubora wa Treni ya SGR ya Tanzania unazidi treni nyingi za Ulaya

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC, Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila aeleza misingi minne ya kujenga uchumi wa kisasa

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchjni PPPC Bwana David Kafulila amesema ukuaji huu wa wa kasi wa Uchumi wa Tanzania 1unatokana na ukuaji wa Diplomasia Kimataifa. Mkurugenzi Kafulila ametaja mambo manne ambayo ni muhimu kwenye kujenga Uchumi wa kisasa. Kwanza, Mkurugenzi huyo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: US$300M za Rais Samia Kigongo, Busisi zitazalisha US$1.2bn au Shilingi trilioni tatu kwenye kapu la Uchumi wa Taifa

    == Hiki ndicho aliachoandika Kwa Ufupi Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika ukarasa wake wa X zamani Tweeter soma kwa makini, Akirejelea ripoti ya benki ya Dunia ya mwaka 2019 pamoja na The Global Forum for Responsible Recruitment (GFRR)...
  13. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Awamu ya 6 ni awamu ya 5 Kiuchumi na Kasi ya Utekelezaji Miradi

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika mahojiano na kituo maarufu zaidi cha utangazaji cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema haya, Pamoja na mambo mengine mengi Kafulila anasema kama Kuna kitu Rais Samia anaweza kujivunia ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Tanzania ndio nchi pekee kusini mwajangwa la Sahara ambayo tajiri na masikini wanalingana kwa tofauti nyembamba ya kipato

    === Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika mahojiano na kituo cha runinga cha ITV kwenye kipindi maarufu zaidi cha DK 45 kinachoongwa na mwanadada machachari Ms Farhia Medley, Pamoja na mambo mengine Mkurugenzi Kafulila akirejelea ripoti ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 David Kafulila: Tanzania ilikuwa na msongo wa Umeme wa 6000km Rais Samia Kwa miaka 4 kajenga 2000km sawa na 33.33% ya kilichojengwa tangu Uhuru

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 alikuwa na haya ya kusema, Ukiachilia mbali Usambazaji wa Umeme kwenye vijiji elfu 12 Tanzania ilisafirisha Umeme umbali wa kilometa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 David Kafulila: Kabla ya Rais Samia kila uzao hai 100,000 wamama 500 walikufa leo ni 104 na katika kila vizazi hai vya watoto 1000 vifo ni 43

    === Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi maarufu zaidi cha DK 45 amefafanua haya, Kabla ya Mhe Rais Dkt Samia kuingia madarakani huduma za afya hazikuwa za kuridhisha kama sasa ndio maana katika kila...
  17. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Matumizi ya mbolea yameongezeka kwa 100% bajeti ya kilimo imeongezeka mara tano

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu, " Bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka TZS400bn mpaka TZS1.9Trilioni sawa karibu na mara tano" alisema Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Miaka 60 hekta 500,000 za umwagiliaji miaka 4 ya Rais Samia hekta mpya 400,000

    KAFULILA ANASEMA MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO. == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amefafanua kuwa Tanzania tangu iwe huru ilifanikiwa...
  19. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Biashara ya Tanzania Kimataifa yaongezeka Kwa 84%

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 na kufafanua kuwa biashara ya kuuza na kununua nje imekuwa Kwa zaidi ya 84% Kwa mujibu wa taarifa za benki kuu ya Tanzania BOT Kwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Mbia anaweza kudhaminiwa au kuchangiwa sehemu kidogo ya mtaji na Serikali kama kivutio hasa kwenye Miradi isiyo na sura ya kibiashara

    Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC David Kafulila amesema kuwa muwekezaji anaweza kupewa vivutio ikiwemo kuchangiwa mtaji endapo atawekeza kwenye ubia ikiwa ni pamoja na dhamana za serikali kumlinda muwekezaji ambaye anawekeza endapo ikitokea tofauti na jinsi ilivyo kadiriwa na hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…