daniel sillo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    RC Queen Sendiga ampongeza Mbunge wa Babati (V) Daniel Sillo kuwa Naibu spika wa Bunge

    Wananchi wa Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Queen Sendiga, wamepongeza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumchagua Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini, Daniel Sillo, kuwa Naibu Spika wa Bunge. Sendiga amesema kuaminiwa kwa Sillo ni heshima kubwa kwa...
  2. DuaZaMama

    PostGE2025 Daniel Sillo achaguliwa kuwa Naibu Spika Mpya wa Bunge kwa kura 371

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamemchagua Mbunge wa Babati Vijijini, Daniel Sillo kuwa Naibu Spika wa Bunge. Sillo amechaguliwa leo Novemba 13, 2025 kwa kupata kura zote za ndio (371) zilizopigwa na wabunge huku akiwa mgombea pekee aliyegombea nafasi hiyo. Tayari Sillo...
  3. DuaZaMama

    Daniel Sillo, Kiongozi anayejitengeneza historia katika siasa za Tanzania

    Mbunge wa Babati Vijijini, Ndugu Daniel Baran Sillo, ameendelea kuandika historia katika medani ya siasa nchini, hususan mkoani Manyara. Safari yake ya kisiasa ilianza kwa uthubutu na ujasiri mwaka 2015, alipojitosa kwa mara ya kwanza kuwania ubunge, ingawa hakufanikiwa. Hata hivyo, hakurudi...
  4. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kuanza Mahojiano Rasmi na Wakimbizi - Naibu Waziri Daniel Sillo

    SERIKALI KUANZA MAHOJIANO RASMI NA WAKIMBIZI - NAIBU WAZIRI DANIEL SILLO Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza mahojiano ya kina na wakimbizi wa Burundi wanaoishi nchini ifikapo 2025. Mahojiano yatashirikisha wadau mbalimbali, ikiwemo Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wakimbizi...
  5. Roving Journalist

    Daniel Sillo: Uhamiaji ongezeni kasi ili watu wapate Vitambulisho vya NIDA

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo amezitaka Idara mbili zilizopo chini ya Wizara yake ambazo ni Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kagera kushirikiana ili kuboresha utendaji kazi. Kauli hiyo ameitoa Wilayani Muleba Mkoani Kagera...
  6. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Naibu Waziri Daniel Sillo: Milioni 450 zajenga zahanati tisa Babati vijijini

    Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo amefanya Mkutano wa hadhara katika Vijiji vya Endakiso na Arri na kusikiliza kero mbalimbali za Wananchi ikiwa ni Mkutano wake wa 93 kati ya Vijiji 102 kwenye kata 25 za Jimbo la Babati...
  7. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Naibu Waziri Daniel Sillo Akabidhi Magunia 10 ya Mahindi kwa Wahanga wa Mafuriko Manyara

    Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Daniel Baran Sillo ametoa magunia 10 ya Mahindi ya chakula kwa waathirika wa mafuriko waliopo katika Kijiji cha Manyara. Akizungumza mara baada ya kukabidhi chakula hicho Mei 19, 2024 katika Ziara Maalum ya...
  8. Roving Journalist

    Mbunge Sillo akabidhi magunia 10 ya mahidi wahanga wa Mafuriko Manyara

    Mbunge wa Jimbo la Babati na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo ametoa magunia 10 ya mahindi ya chakula kwa waathirika wa mafuriko waliopo katika Kijiji cha Manyara. Akizungumza mara baada ya kukabidhi chakula hicho Mei 19, 2024 katika Ziara Maalum ya Kikazi ya kutembelea na...
Back
Top Bottom