Daniel Edri 24 ambae alikuwa ni mwanajeshi wa Israel amejiua kwa kujichoma moto akiwa ndani ya gari lake kutokana na kusumbuliwa na msongo wa mawazo baada ya kurejea nchini Israel akitokea vitani Gaza
Mama yake na Daniel amesema mwanae amekuwa akisumbuliwa sana na matukio aliyoyaona akiwa...