Kila mwaka,wamiliki wa magari ya daladala hupeleka vyombo vyao ili kupasishwa kuendelea kufanya route zao (kubeba abiria)
Ajabu zile gari sijui huwa zinakaguliwa na vipofu au watu wa aina gani, unakuta gari yote ni mbovu ila ni nzima tu kwa sababu bado inakimbia.
Ukiiangalia kuanzia kwa dreva...