daktari bingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, huwa unahakikisha kuwa daktari aliyekuhudumia ni daktari bingwa kwa kadri ulivyolipia kuonwa na daktari bingwa?

    Hospitali, hasa hospitali binafsi, huwa zinatoza ada tofauti kwa huduma za daktari wa ujumla (Medical Doctor/GP), daktari bingwa na daktari bingwa bobezi. Kama umeomba na kulipia kuonwa na daktari bingwa (Specialist), ni muhimu kuthibitisha kuwa huduma uliyopokea ndiyo uliyolipia. Nimegundua...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania yapata Daktari Bingwa wa kwanza wa Mfumo wa Chakula na Ini kwa Watoto

    Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya afya baada ya Dkt. Livin Peter Mumburi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kufanikiwa kuwa daktari bingwa wa magonjwa wa mfumo wa chakula na ini kwa watoto, baada ya kuhitimu mafunzo maalum nchini Afrika Kusini. Dkt. Mumburi anakuwa daktari...
  3. JamiiForums Tanzania TANZIA Daktari Bingwa wa Upandikizaji Sir Terence wa Moyo Afariki Dunia Akiwa na Miaka 93

    Daktari bingwa aliyefanikisha upandikizaji wa kwanza wa moyo uliodumu nchini Uingereza, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 93. Sir Terence English, alimfanyia upasuaji huo Keith Castle (52), aliyekuwa na uraibu wa uvutaji sigara, Agosti 1979. Castle, shabiki wa timu ya soka ya Fulham...
  4. JamiiForums Tanzania Daktari bingwa wa Watoto Kibosho, ajiua Kisa Msongo wa Mawazo

    Daktari bingwa wa watoto kutoka Hospitali teule ya Kibosho Wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro, Magreth Joseph Swai (30) ameripotiwa kujiua kwa kujinyonga kwa kutumia waya wa antena. Akizungumza kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Anthony Gyunda: Hata soda zinaweza kukupa uraibu, ni hatari Kiafya na zinaweza kusababisha Kisukari

    Mdau wa JamiiForums alitaka ushauri kuhusu tabia yake ya kunywa soda mara nne kwa siku, ambapo anaona si hali ya kawaida na alitaka kujua jinsi anavyoweza kuacha matumizi hayo ya soda. Soma zaidi: Msaada: Nimefikia hatua ya kunywa Pepsi 4 kwa siku, nifanyeje kuacha? Kutokana na hilo, tumempata...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Daktari bingwa wa tumbo la chakula

    Habari naomba msaada kwa anayejua Dr mzuri wa tumbo la chakula na hospital anayopatikana
  7. JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    Mara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Professor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie chimbo kufukua file lenye kubeba wasifu mbali mbali kumhusu Profesa Mohamed Janabi ili kuona ana...
  8. JamiiForums Tanzania Dharau za Serikali ya CCM sasa zimezidi; Daktari Bingwa anatakiwa kujitolea

    Hili ni tangazo likimuhitaji Daktari Bingwa katika hospitali ya serikali! Hivi kweli serikali imeshindwa kuajiri na sasa inataka watu wafanye kazi kwa kujitolea? Kwamba mtoto wa Rais, au Waziri au hata Mkuu wa Mkoa na wilaya angekuwepo mwenye sifa angetakiwa kujitolea? Kwamba sasa serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…