daftari

Lisa Daftari is an investigative journalist focusing on foreign affairs, with a specialization in Middle Eastern policy and counterterrorism. She regularly appears on television and radio with commentary and analysis, providing exclusive reporting on vital developments in the region. Currently, she is an on-air Fox News political analyst and has previously been featured on CBS, NBC, PBS, the Washington Post, NPR, ABC, Voice of America, and others. Lisa also serves as founder and Editor-in-Chief of The Foreign Desk, an international news and U.S. foreign policy news website. Daftari has been interviewed in Spanish, English, and Persian.
Her areas of expertise and coverage include the Middle East and North Africa, terrorism, national security, the Arab Spring, global Christian persecution, human rights, cyber security, and more. She was invited to show her documentary film about an Iranian underground political movement in Congress. She frequently is called upon to give briefs and expert testimony for government and private entities. Daftari has worked for a number of think tanks in Washington, where she has written exclusive reports for the Pentagon and other government groups.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama ulitumia hili Daftari shule ya msingi anza kuandika wosia

    GT. Lazima umri umeenda mda wowote malaika watakuita ukafurahi nao.
  2. R

    Tuhuma za Polepole zisipuuzwe, yawezakuwa Tundu Lisu ameandikishwa pia kwenye Daftari la Mpiga kura, je itakuwaje?

    Salaam, Ikiwa tuhuma za Polepole Zina ukweli, basi chama kifanye utafiiti wake, maana wananchi wa kawaida ambao hawakujiandikisha, wameanza uchunguzi wao binafsi kumthibitishia tuhuma hizi. Nawashauri CDM nao wafanye utafiti, isijekuwa Lissu mtuhumiwa wa uhaini naye ameandikishwa kutiki...
  3. I

    Uzushi Kifo cha Mkuu wa Kivuli ni Njia ya Kumng’oa Bosi wa Daftari Kuu

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na tabia ya baadhi ya sauti zisizo na sura kutumia mitandao ya kijamii kama jukwaa la kusambaza uzushi kwa lengo la kuleta taharuki, hofu na kupunguza imani ya wananchi kwa nguzo za dola. Miongoni mwao ni wanaojificha kwa majina ya kificho kama Kidnapped King wa X na...
  4. K

    SOFTWARE Unamiliki duka au supermarket? Usihangaike tena na daftari, stock kupotea au wafanyakazi kuiba

    SHARED DUKA ENTERPRISES PORTAL – Ni Mfumo wa Kisasa wa Mauzo na Manunuzi kwa Biashara za Rejareja na Jumla. MUHTASARI WA MFUMO: Mfumo wa Shared Duka Enterprises Portal ni suluhisho la kidijitali linalorahisisha usimamizi wa biashara yako. Ukiwa na mfumo huu, unaweza kuuza, kununua, kutunza...
  5. K

    Unamiliki duka au supermarket? Usihangaike tena na daftari, stock kupotea au wafanyakakazi kuiba

    Mfumo wa SHARED DUKA ENTERPRISES PORTAL ni suluhisho kamili la biashara yako: 1. Mauzo & Manunuzi 2. Hisa & Uhamisho 3. Ripoti & Risiti 4. Wateja & Wasambazaji 5. Watumiaji na Ruhusa 6. Web-based (Popote ulipo) 7. Mfumo umekuwa integrated na SMS, MAILS 8. Mfumo unaweza kuwa integrated na MPESA...
  6. Kila nikitaka kujiandikisha daftari la wapiga kura, sauti ya 'ILI IWEJE' inanijia masikioni, nami najeuka speed kali kuendelea na mambo yangu binafsi

    Kuna kila dalili kwamba sitahuisha kichinjio changu kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Nimejaribu mara mbili kuhuisha ila imeshindikana kabisa kufanya hivo, mara zote nikikaribia eneo la tukio, huwa inanijia ile sauti ya 'ili iweje', basi na mimi najeuka kwa kasi, nyuzi za pembe 180, naamua kuelekea...
  7. Kailima aonya watakaovuruga zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

    Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima, akizungumza katika mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) wa Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro, Mei 15, 2025 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya awamu ya pili ya mzunguko wa pili wa...
  8. Hivi CCM mna matatizo gani kwa nini mnalazimisha watu wawe wanachama wenu kwa kisingizio cha daftari la wapiga kura

    Tunapoelekea sio pazuri kwa mwenendo wenu sasa. Sasa mnaingia mitaani kufatilia watu kama wewe sio mwana ccm kukuwekea hatari. Wameanza kulazimisha watu kuwa wanachama kwa kuwadanganya watu wasipokuwa na kadi ya ccm hawata kuwa kwenye daftari la uchaguzi.
  9. Tume yataka wananchi kutazama daftari la awali,kuhakiki taarifa zao

    Wananchi wa Kata ya Kihesa katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa mkoani Iringa wakikagua majina yao katika daftari la awali la wapiga Kura lililobandikwa katika kiuo cha kujiandikishia wapiga Kura kilichopo ofisi ya Mtendaji Kihesa. Tume Huru ya taifa ya Uchaguzi imeanza awamu ya pili ya...
  10. No Reform No Election ni sawa ila je tumeboresha taarifa zetu katika daftari la wapiga kura?

    No Reform, No Election inakwenda vizuri na muda SI mrefu mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea katika kupiga kura, utaratibu wa Tanzania Ili uweze kupiga kura ni lazima uwe unejiandikisha katika daftari la kidumu la wapiga kura na pia inatakiwa uwe umehakiki taarifa zako. Ni kweli tunatakata...
  11. WANANCHI WALIJITOKEZA KWA WINGI SANA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA HALAFU ETI KUNA MTU ANATAKA KUWAZUIA KUPIGA KURA, THUBUTU!!

    kwanza ni wawapi huyo yahaya? na familia yake inaishi wapi? Yaani ameshindwa kuzuia watu wasijiandikishe kwenye daftari la kudumu la taifa la kupiga, hataweza kuzuia vyama vya siasa kuteu wagombeaji wa vyama vyao kushiriki uchaguzi huo muhimu, hataweza kuzuia tume huru ya taifa ya uchaguzi...
  12. PreGE2025 Mratibu wa Uandikishaji Dar: Wakala wa Chama kazi yake ni kutazama sio kunakili majina ya wanaojiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja yenye kichwa cha habari “Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?” na kufafanua jinsi Wakala wa chama alivyokuwa akichukua majina ya wanaojiandikisha, ufafanuzi...
  13. PreGE2025 Ofisi ya Mbunge jimbo la Temeke linawakumbusha wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la Maboresho la Mpiga kura

    Mnakumbushwa Ndugu Wananchi wenye vigezo kujiandisha isije fika October mnaanza kelele kura zenu zimeibiwa kumbe hamkujiandikisha
  14. Kuna mwanya mpana sana kwa wageni na wasio na sifa za kupiga kura kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.

    Yaani hamna chochote unachoulizwa kuthibitisha uraia wako, afya yako ya akili NK. Hapa kwetu Warundi na Wamalawi wamejitokeza kwa wingi kujiandikisha
  15. Kwenye vituo vya kujiandikisha kwenye daftari la maboresho la wapiga kura tunaambiwa kadi zetu tuzipeleke kwa mjumbe wa nyumba kumi wa CCM

    Kituoni hapa tunaambiwa twende kwa mjumbe wa nyumba kumi ambaye ni kada wa CCM tupeleke kadi zetu ili wachukue namba. Huu ni UPUMBAVU mwingine, CCM wameanza kuchezea rafu mapema. CHADEMA, ACT Wazalendo, hakikisheni uchaguzi huu haufanyiki kwani tayari una makandokando mengi.
  16. PreGE2025 Changamoto mbalimbali kwenye vituo vya kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura

    Kupitia Uzi huu tutakuwa tukipost changamoto mbalimbali zinazojitokeza vituoni kwenye uandikishaji wa maboresho ya daftari la kudumu la wapiga Kura.
  17. Z

    Kumekucha! Kumekucha! twendeni tukajiandikishe kwenye daftari la Uchaguzi Mkuu, pamoja na kuhuisha taarifa zetu.

    Kumekucha! kumekucha! Vijana wa miaka ya 2000 huu ndio wakati wetu wa kutumia haki yetu ya Kikatiba ya Kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu October 2025, sasa twendeni tukajiandikishe kwa wingi. Wazeee twendeni tukahuishe taarifa zetu ili tujihakikishie kupiga kura mwezi oktoba 2025.
  18. PreGE2025 Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura inaendelea Dar, Machi 17 - 23, 2025

    Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura utaendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam, kuanzia Machi 17, 2025 hadi Machi 23, 2025. Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri leo tarehe 17 Machi, 2025 ametembela vituo mbalimbali vya kuandikisha Wapiga kura vya...
  19. PreGE2025 Mjumbe wa INEC, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari: Wasimamizi wa maboresho ya Daftari la Kupiga Kura mfanye kazi kwa uadilifu

    Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari, amewataka watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Halmashauri, katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga, kusoma maelekezo ya Tume kupitia vitabu vya maelekezo walivyopewa ili...
  20. PreGE2025 Afisa Uandikishaji Halmashauri ya Mbeya: Msilewe na kutumia vilevi wakati mnaandikisha wananchi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura

    Waandishi wasaidizi na waongozaji mashine za biometric (BVR) kwenye zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la mpiga kura katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya, wametakiwa kutotumia vinywaji vyenye vilevi wakati wa zoezi la kuboresha Daftari la mpiga kura linalotarajiwa kuanza Desemba 27, 2024...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…