UCHAWI UPO;
Asili yake ni kukufumbaza ili uone kama unakufanikisha ila kaisili unakula Aura, Nafsi na kizazi chako.
Asili ya uchawi ni maangamizi, utakupa vipesa vya kwenye bishara yako lakini utalipa kwa damu yako au wanaonganika na wewe.
Asili ya uchawi ni uharibifu utakuponesha ugonjwa...
Sina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni.
Shikamooni.
Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi...
Kuna mambo nikiyakumbuka naona yalikua ya ajabu sana sema ni vile kukaa kwenye nyumba yenye wadada wengi, yani tulikua tunashindana ni nani anakatika sana, tunafunga kanga kiunoni wanaimba tunacheza aah🙌🙌🙌
Lile suala lingeniletea athari sana, hasa ukizimgatia na muonekano wangu.
Kwa dada yangu uliyeolewa au unayeishi kwa muda mrefu na huyo mpenzi wako, usifanye makosa ya kujiunga na mume wako / mpenzi wako akigombana na ndg zake itakuja kukugharimu zaidi wewe mwenyewe. Mume wako na ndg zako watapatana watayamaliza wataasahameana maana hakuna ugomvi wa wana ndg unaodumu...
Amekutext dm mtandaoni ukamuuliza wewe nani? akakujibu jina ukamuuliza okay una shida gani? akakujibu ningependa tuwe marafiki kama utojali
Ukasema ngoja niingie profile yake ukaangalie picha zake ukaona mara yupo na range anaonekana jamaa mmoja mwenye uwezo
Akakuomba namba ya sim na wewe bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.