dabi ya kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi yaitisha kikao cha dharura kujadili malalamiko ya Simba SC na kususia mechi ya dabi

    Kufuatia kile ambacho kimetokea usiku wa wa jana kwa Simba SC kuzuiwa kufanya mazoezi katika Uwanja wa Mkapa, na kueleza hawatashiriki mchezo wa Dabi ya dhidi ya Yanga SC. Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) Mzee Steven Mguto ambaye amefunguka kwamba kamati ya usimamizi na uendeshaji wa Ligi...
  2. JamiiForums Tanzania Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

    Katika taarifa kwa Umma waliyoitoa saa 7 na dakika 46 usiku wa 8/3/2025 klabu hiyo imesema haitoshiriki mchezo huo wa Derby uliopangwa kufanyika majira ya saa 1 usiku 8/3/2025 kutokana na kuzuiliwa kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa na Wanaojiita Makomandoo wa Yanga Nini maoni yako? soma...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba kugomea mechi kwakuwa hawakuruhisiwa kufanya mazoezi ya mwisho uwanja wa Mkapa

    Taarifa nilizonazo kutoka Kwa viongozi waandamizi wa club ya Simba ni kuwa katika kikao kilichofanyika usiku huu wamedhamiria kususia mechi Nilipomhoji kuhusu kanuni Kwa timu isiyofika uwanjani ni kukatwa points 3 na magoli 3 pamoja na kushushwa daraja, amejibu kuwa wako tayari Kwa lolote na...
  4. JamiiForums Tanzania POSTPONED (PP): Yanga SC VS Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2025

    KARIAKOO DERBY | Leo Jumamosi kwa Mkapa kinapigwa, Yanga SC Vs Simba SC Saa 1:15 usiku | 🔴 LIVE updates hapa Je, Simba anakwenda kufungwa kwa mara ya 5 mfululizo na Yanga? Ama kukata uteja…!🫣🤯 🚨 Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
  5. M

    JamiiForums Tanzania Simba ni lini mlikuja kufanya mazoezi ya mwisho na mabasi mawili makubwa kwenye derby?

    Hii sio kawaida na sijawai kuiona kwamba Simba anaenda kufanya mazoezi ya mwisho siku Moja kabla ya mechi akiwa na mabasi mawili makubwa la wachezaji na jingine aijulikani limejaza watu wa shughuli Gani! Wasimamizi wa uwanja nawapa kongole Kuna ujinga ulitaka kufanyika pale ndani kwa kisingizio...
  6. JamiiForums Tanzania Ateba Ateba Ateba Kesho usirudie kosa kama hili

    Wana simba walikusamehe ile mechi ya Kwanza kwa kukosa weredi wa kutumbukiza mpira golini ulikua na option mbili ufunge wewe au umpe pasi kibu wakati huo diara hakua golini ukareta mbwembwe za kutaka kufunga kistaa Kesho ukirudia kosa kama hilo nadhani ndo utakua umejichimbia kaburi lako hapo...
  7. JamiiForums Tanzania Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi

    Wakuu Ubaya Ubwela umewageukia! Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi Tazama video hii ya tukio husika Mwendelezo: Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...
  8. JamiiForums Tanzania Aziz Ki anasumbuliwa na nyonga, kukosekana mechi ya dabi dhidi ya Simba

    Kocha wa Yanga Moulid Hamdi anasema kuna hati hati kumtumia Stephane Aziz Ki katika Derby ya kesho kutokana na kuwa na maumivu ya nyonga. "Hii mimi sio dabi yangu ya kwanza kucheza nilishacheza dabi ambayo ina watu zaidi ya laki moja na ishirini uwanjani, nina mchezaji mmoja pekee ambae hayupo...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga wakisikia Ateba na Mukwala wanapata kiwewe kuelekea Machi 08

    Mastaa wawili kwenye eneo la ushambuliaji ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids ngoma ni nzito kutokana na kuliamsha dude kwenye eneo la ufungaji katika mechi ambazo wamechza. Ni Machi 8 2025 Uwanja wa Mkapa unatarajiwa kuwa kazini kwa wababe wawili Yanga na Simba...
  10. JamiiForums Tanzania Matokeo ya mechi ya Watani wa Jadi Yanga SC vs Simba SC Mwezi Machi

    Homa ya pambano la watani wa jadi inazidi kupanda ni Jumamsoi hii, Machi 08, 2025. Yanga SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Simba SC. Leo tutazame head to head katika mechi zao katika mwezi March. Katika michezo 9 Yanga SC ameshida mechi 3, Simba SC ameshinda mechi 1, sare...
  11. JamiiForums Tanzania Toka Dunia iumbwe kwanini Simba hajawahi mfunga Yanga kila wanapokutana tarehe 8?

    Amani iwe nanyi watumishi Kumbukumbu zangu zimenipeleka mbali sana Lakin hasa nikiikumba yanga mbovu kabisa iliyokutana na Simba imara kabisa iliyosheheni kila kitu Hapo nakumbuka mwaka 2020 mwezi wa 3 tarehe 8 Simba alilia sana baada kupigwa moja bila na Yanga unga unga gori la Bernad...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Salamu za Pili leo kwa Kocha Fahdu Davis na Benchi lake la Ufundi Kuelekea Derby ya Tarehe 08 Machi 2025

    Ndugu Fahdu Davis, Kocha wa Simba Awali ya yote nakupongeza sana kwa kazi nzuri unayoendelea kuifanya ndani ya klabu ya Simba Sports Club. Ama hakika hadi sasa kupitia wewe na benchi lako la ufundi sisi wanachama na mashabiki wa Simba tumeridhika na performance ya timu yetu hadi sasa. Timu...
  13. JamiiForums Tanzania Ni hujuma Ramadhani Kayoko kuchezesha derby

    TFF wamekosea sana mechi ya tarehe 8 refa wa kati kuwa Kayoko. Kayoko ana madhaifu mengi kwanini wasimlete Arajiga kwa mechi kama hii? Kayoko tangu derby iliyopita kachezesha mechi moja tu wiki zilizopita,mda huo wote aliwekwa benchi na kamati ya marefa baada ya kuona mapungufu yake kwenye...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Salamu zangu za kwanza kuelekea Derby zinaanzia kwa Uongozi wangu wa Simba Sports Club

    Ndugu Mohamed Dewji Mwenyekiti wa Bodi Bodi ya Wakurugenzi Simba Sports Club DAR ES SALAAM YAH: MECHI YETU DHIDI YA YANGA AFRICANS A.K.A UTOPOLO SIKU YA TAREHE 08 MACHI 2025 Ndugu Mwenyekiti, pokea salamu hizi za dhati kabisa kutoka kwangu mwanachama wa Simba Sports Club. Ndugu Mwenyekiti...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya Kariakoo

    Klabu ya Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 12 na Bodi ya Ligi kwa makosa tofauti ikiwa ni pamoja na kupita mlango usio rasmi kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo, ambayo walishinda bao 1-0 mbele ya Simba SC Pia, Ramadhan Kayoko na Waamuzi waliochezesha mechi za Yanga (Vs Simba Vs Coastal Union)...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Binafsi mimi sijaona makosa ya refa Ramadhani Kayoko kwenye mchezo wa Simba na Yanga

    Nakupongeza sana Refa Ramdhani Koyoko kwa kusimamia sheria zote za mpira wa miguu kati ya Klabu ya Simba na Yanga. Timu yeyote iwe Yanga au Simba ikishindwa lazima ilalamike. Wanaokulaumu wanakuonea ulichezesha vizuri sana. Binafsi mimi sina timu ninayopendelea. TFF msiwasikilze...
  17. JamiiForums Tanzania Kama haki ingetendeka Simba wangekuwa na pointi 3 tu mpaka sasa

    Mechi 2 za kwanza walipangiwa timu ambazo zilikuwa hazijakamilisha usajili wao, mechi ya Dodoma jiji walipewa goli la hovyo, mechi dhidi ya Tanzania Prisons Samson Mbangula aliangushwa ndani ya penati box wakanyimwa penati, wangetoka sare.
  18. L

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuwasikiliza na kutafakari sana naunga mkono hoja za wazee wa Simba kwa asilimia 100%

    Juzi wazee wetu wameitisha Press na wameongea sana, kwa watu wasiojua ball ambapo wamekuja mjini miaka ya hivi karibuni akina Eddo Kumwembe na wachambuzi wenzako wajinga wajinga ambapo elimu zao ni za kuunga kuunga wanachukulia poa kauli za wazee wetu na kuona hazina mashiko. Ukweli ni kuwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Diarra: Mechi yangu bora ni hii ya juzi

    Huwa naangalia mechi za Simba, nawajua, kwahiyo nilimuona anavyocheza na nilifahamu akipata mpira eneo lile atafanya nini, nilijua ataenda kushoto na sikuwa na presha. "Nilivyookoa sikuhama eneo nikasimama vile vile nilijua mpinzani atapiga nikaokoa tena" Mechi yangu bora ya Simba na Yanga...
  20. JamiiForums Tanzania Simba wanaungua ugonjwa wa lose of insight, hawaponí

    Lose of insight ni ugonjwa ambao mgonjwa hajui kama anaumwa na hajui kama anaumwa nini, hivyo hatafuti matibabu bila watu wengine kumsaidia. Simba hawaamini kama Yanga ni Bora pamoja na kucheza finali ya CAF confederation, kucheza robo finali CAF champions, kutoka sare na Mamelods, kucheza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…