dabi ya kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Endapo timu mgeni akienda uwanjani June 15 Mashabiki wa Yanga waahidi kufanya vurugu, Je bodi ya Ligi haioni hatari za kiusalama na kuahirisha mchezo?

    Kama zilivyokuwa sababu za kuahirisha mchezo tarehe 8, Ndivyo itakavyokuwa tarehe 15, Licha ya Yanga kusema "HATUCHEZI" lakini pia tutafanya vurugu kwa yeyote atakayeleta timu uwanjani. Mabaunsa pia watakuwepo kabla ya tarehe hiyo kuzuia na kuikabili timu yoyote itakayoleta pua uwanjani. Je...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa bodi ya ligi ulianza pale walipopuuza malalamiko ya Simba

    Simba walipoenda kufanya mazoezi,walikutana na watu waluojulikana kama mabaunsa. Walitoa taarifa ya malalamiko yao siku ile ile. Bodi ya ligi walikuwepo na walipaswa kupitia mwakilishi wao kutoa taarifa polisi ili wale wahuni wakamatwe. Huenda walitoa taarifa polisi na huenda kwa sababu polisi...
  3. JamiiForums Tanzania Namna bodi ya ligi anavyotaka kumbebesha msalaba wake yanga - Sehemu ya kwanza

    NAMNA BODI YA LIGI ANAVYOTAKA KUMBEBESHA MSALABA WAKE YANGA - SEHEMU YA KWANZA. Wakati Simba Sports Club imechapisha taarifa ya kugomea mchezo wa Derby walikuja na sababu zao na chini kabisa Klabu ikasema “Uchunguzi ufanyike na Wahusika wakuchukuliwe hatua kali za Kisheria” naaam na Bodi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Je, kweli Yanga wenye akili ni wawili tu? Kuna mwana Yanga hapa anayeweza akatuelezea kinaga ubaga kwanini wanakusudia kususa derby?

    Habari wakuu. Mimi si Mtabiri. Ila nimesikia na nimeona baadhi ya mashabiki na viongozi wana dalili za kususia mchezo No 184 Wa Kariakoo Deby uliopangwa ufanyike hapo Temeke Dar es salaam mnamo tarehe 15 June 2025 saa 01:00 jioni. Je, kama JamiiForums kuna Home of Great thinkers kuna...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matokeo ya serikali kujaribu kuisaidia Yanga ishinde kwa mbinu

    Serikali ina haha kujaribu kuzima mgomo wa Yanga kucheza mechi ya derby iwapo itapangwa tena. Ukiangalia chanzo ni serikali kujaribu kuisaidia Yanga ishinde ubingwa kirahisi na kwa mbinu nje ya uwanja. Kitendo cha meneja wa uwanja kugoma kuwafungulia Simba kufanya mazoezi na kusafisha...
  6. JamiiForums Tanzania Mangungu: Kikao chetu Simba tumejadili maendeleo ya mpira, siyo mjadala wa mechi ya dabi

    Murtaza Mangungu mwenyekiti wa Simba SC baada ya kutoka Kikaoni na Serikali, TFF na Bodi ya Ligi amesema; "Kikao chetu sisi kimejadili maendeleo ya mpira hakijajadili walichojadiana na wenzetu, tungejadili mechi yetu tungeitwa kwa pamoja ila mamlaka si ilishasema mechi yetu itapangiwa tarehe...
  7. JamiiForums Tanzania TFF, Bodi ya Ligi, Simba, Yanga kukutana na serikali Machi 27, kuamua hatma ya Kariakoo Derby

    Wakuu Uongozi wa TFF, Bodi ya Ligi, Simba na Yanga chini ya Wizara ya Utamaduni, sanaa na michezo utakutana kesho Machi 27 saa 4 asubuhi katika ofisi za BMT kujadili hatma ya mechi ya Derby iliyoahirishwa Machi 8. Pande zote zimethibitisha kushiriki kikao hicho. Soma, Pia Serikali yawaita...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali yawaita mezani TFF, TPLB, Yanga na Simba kutafuta suluhu ya Dabi

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amepanga kukutana viongozi wa Shirikisho la Soka la nchini (TFF), Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania (TPLB) na Klabu ya Yanga ili kutatua mgogoro unaoendelea kuhusu kusogezwa mbele kwa mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba...
  9. JamiiForums Tanzania Hisia zangu: Dabi itapigwa siku ya uzinduzi wa kampeni za chama fulani

    Kipindi mnafurahia pesa za goli la mama basi mfurahie pia mkiombwa kuingia uwanjani, Mtatumia busara na kuziacha kanuni kama TPLB, Bodi ya wakurugenzi na wadhamini Yanga na Simba si mnazikumbuka? Kuna wabunge na wanasiasa tena waliopo madarakani, Wote ni watiifu kwa bi mkubwa Kiburi cha...
  10. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi: Kama Yanga wameenda CAS ni kichekesho, busara itumike sio kanuni

    Sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito. Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Huyu wakili anaitwa Mgogolo anapita kwenye media akiwaaminisha kuwa Yanga anastahili pointi 3 na magoli matatu

    Nimemsikia na anajiaminisha sana kwamba Simba hawakupeleka timu hivyo wspinzani wao walistahili ushindi wa mezani. Nahisi kumbe elimu haina msaada kabisa kwa watu wengi. Au ni mahaba na timu yake ya yanga tu ndio yanamfunga ufahamu. Simba walisema hatutapeleka timu iwapo waliowafanyia fujo...
  12. JamiiForums Tanzania Mgongolwa: Yanga itanufaika kwa kupewa alama 3 na fidia, sakata la Simba kugomea dabi ya Kariakoo

    Kufuatia sakata la Simba kugomea mechi ya Watani wa Jadi, Machi 8 Mwanasheria Alex Mgongolwa amesema; "Kikanuni Yanga itaweza kunufaika kwa kupewa alama tatu pamoja na kukabidhiwa fidia baada ya kupeleka madai kutokana na tendo lilofanyika lilikuwa ni kinyume na kisheria" Soma, Pia Yanga...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

    Kamati ya Utendaji ya Yanga, chini ya Rais Mhandisi Hersi Said, imefanya kikao cha dharura kujadili sintofahamu ya kuahirishwa kwa mechi yao dhidi ya Simba iliyopaswa kuchezwa tarehe 8 Machi 2025. Katika taarifa yao, Yanga imetoa pole kwa mashabiki waliokuwa wamejitokeza kushuhudia mchezo huo...
  14. JamiiForums Tanzania VIDEO: Yanga wamewafuata Simba huko Bunju Mo Arena ili mechi ipigwe dabi ya Kariakoo

    Klabu ya Yanga iliwafuata wapinzani wao wa jadi, Simba SC, huko Bunju kwa ajili ya kuhakikisha mechi yao inachezwa. Hata hivyo, badala ya msafara mzito, ni dereva na watu wachache tu waliofika Mo Arena kisha kupiga honi na kuondoka
  15. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mechi ya YangaSc vs Simba, Kigogo Mmoja abwaga Manyanga bodi ya ligi kuu

    BREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya kutolewa ambapo yeye anaamini hayakuwa maamuzi sahihi. Imefahamika kuwa Ndugu Filimon Ntahilaja...
  16. JamiiForums Tanzania Azam Media Limited yasikitishwa na tangazo la kuahirishwa kwa mechi kati Yanga na Simba

    Azam Media Limited (AML) inasikitishwa na tangazo la kuahirishwa kwa mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kati ya Yanga SC na Simba SC ambayo ilipaswa kufanyika leo Jumamosi Machi 8, 2025 kuanzia saa 1:15 usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Tukio hili limeleta athari kubwa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Mzee mpili asema shauri yenu mimi naingia

    Hawa wahuni ni kundi kubwa, vijana mixer na wazee. Mzee Mpili ameonekana yupo viunga vya uwanja wa Mkapa akaitaka kuingia uwanjani ili kupata kushuhudia mchezo wao wa ligi kuu kati ya Simba. Ambapo kiuhalisia mchezo huo umeharishwa na bodi ya ligi kuu. Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha...
  18. JamiiForums Tanzania Licha ya mechi kuahirishwa, Yanga watuma Kikosi chao kwa TFF wakisisitiza mchezo upo

    Licha ya mchezo kusogezwa mbele na Mamlaka za Mpira nchini, Yanga wametuma kikosi chao kinachoanza leo dhidi ya Simba kwa TFF hicho pichani, wakidai mechi ipo kama kawaida kwa upande wao Yanga SC walikuwa wanaingia hivi leo. 1. Djigui Diarra 2. Israel Mwenda 3. Chadrack Boka 4. Dickson Job...
  19. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

    Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga, yasema mchezo dhidi ya Simba upo palepale hakuna mabadiliko yoyote

    Yanga yasema mechi dhidi ya Simba ipo TAARIFA KWA UMMA MACHI 08, 2025 Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa, mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC, uliopangwa kuchezwa leo tarehe 8/3/2025, dhidi ya Simba SC, saa 1:15 usiku upo palepale na hakuna mabadiliko yoyote. Young...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…