course

A full-course dinner is a dinner consisting of multiple dishes, or courses. In its simplest form, it can consist of three or four courses; for example: first course, a main course, and dessert.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Ni chuo gani Bora Cha private ngazi ya diploma kwa course ya radiology na dental?

    Kichwa Cha habari chajieleza naomba msaada Wana JF maana nimeomba vya serikali nimekosea hovyo naulizia vyuo vizuri vya private maana Nina mpango wa kujiendeleza na degree
  2. G

    Je, nichague course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira kwa combination za arts?

    Mimi ni muhitimu wa kidato Cha sita mchepuo HGK. Nahitaji kujua ni course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira naweza kwenda kusomea chuo kikuu?
  3. Kwanini watumishi wapya siku hizi hawafanyiwi orientation course

    Mfanyakazi hujamfanyia induction akikosea maana yake anaweza kukuruka akitoa siri hana kosa maana yake hajui lolote. Zamani niliona zinaendeshwa kwanini ni kama zimesitishwa je ni wajibu wa Taasisi, au tume ya maadil au huko utumishi wenyewe nani anawajabika na orientation
  4. J

    Nahitaji kujua muda wa application ya kozi ya Radiology

    Jaman nisaidie I natak kujua mda wa application wa hiyo course ya radiology.
  5. A

    Natafuta Vyuo vinavyotoa Course ya Commmunity Health

    Hivi course ya COMMUNITY HEALTH ipo na inatolewa kweli? Nimejaribu kufatilia vyuo vingi sijaiona. Naomba kama kuna mtu anajua chuo kinachotoa hii course tafadhali.
  6. M

    Mtu mwenye masters na hana degree ya hiyo kozi aliyopitia post graduate diploma anatambulika kwenye ajira?

    Habari wadau wa JF, Hivi mtu mwenye masters lakini hana undergraduate degree ya hiyo course aliyopitia post graduate diploma anatambulika kwenye ajira sekta binafsi au serikalini?
  7. E

    Msaada course outline za MA Linguistics UDSM

    Habarini wataalaam wa Lugha, naombeni mwenye course outline za MA Linguistics UDSM anitumie. Nipate ABCs. Shukrani.
  8. Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

    Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal. Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa kutumia level ya certificate na siyo Diploma. Naomba mnisaidie kama kuna namna ya kufuta.
  9. C

    Naomba kueleweshwa kuhusu Foundation Course

    Samahani ndugu zangu, mwenye uelewa kuhusiana na foundation course naomba ufafanuzi, na pia ni vyuo vipi vinavyo toa hiyo course kwa Masomo ya Mathematics na chemistry (Education)
  10. Microsoft Excel Short Course

  11. R

    2023/24 Diploma course

    Kulinganga na wakati tuliofika kitechnology interms of our country Long term Strategies Course ambazo vijana waliomaliza form four Muda mrefu mf 2012 na Wana ndoto ya kujiunga chuo ili walau apate nta 4 or above
  12. Chuo Gani tofauti na veta chang'ombe wanatoa course ya generator service and repair

    Habari members Naomba kufahamu kama kuna chuo chochote tofauti na veta chang'ombe ambacho wanatoa course ya generator service and repair na vigezo vyao Asante 🙏
  13. Ebooks,softwares and video course

    Hi 1.a secret link with database books of everything you know in this planet,you can download freely,books worth millions of money on Amazon but the secret link provides for free. 2.An Ebook that consists of more than 200 google drive links which each consists of a specific computer course...
  14. C

    Je, Muhimbili Kuna course ya clinical dentistry kwa diploma?

    Na kama ipo tuna apply vipi tofauti na wale wanaochaguliwa direct kutoka form 4
  15. S

    Tunaomba ufafanuzi kuhusu tangazo la agizo la kufanyika kwa pre-form one

    Jana limetumwa tangazo la agizo la kufanyika kwa pre-form one, English course kutoka kwa makatibu tawala wa mikoa lililotoka OR-TAMISEMI. Agizo hili limeelekezwa kwa walimu wa shule za sekondari za serikali. Hivi ndani ya OR-TAMISEMI au wizara ya elimu, viongozi hawajui utofauti wa formal na...
  16. M

    Kutoka diploma ya biotechnology naweza kusoma bachelor ya course yoyote ya afya?

    Habari.... Naomba nisaidiwe kutoka diploma ya biotechnology naweza kusoma bachelor yoyote inayohusiana na afya? Naomba msaada wenu
  17. C

    Je, naweza pata nafasi CUHAS Course ya Radiology Level ya Diploma?

    Msaada naweza pata nafasi cuhas course ya radiology level ya Diploma?
  18. OUT: Foundation course ipoje kwa waliosoma?

    Habari, Naomba mwenye kujua course ya foundation kiundani anisaidie maana naona juhudi zangu zinafikia mwisho maana nilimaliza chuo mwaka 2016. Ninapotarajia kwenda kujiendeleza, niliomba AVN nikajikuta nina gpa ya 2.9. Mwenye kuijua foundation course aniambie ili nijue najipangaje,
  19. Msaada: Tofauti kati ya kozi ya civil and transport engineering na civil engineering ni ipi?

    Wakuu naombeni kufahamu course ya civil and transport engineering na civil engineering tofauti wa hizi course ni nini?
  20. D

    Ushauri wa course za afya

    Jamani habari zenu wajuvi wa mambo. Nina mjomba wangu amehitimu 2022 form 6 PCB alipata CCD. Sasa anaforce mambo ya course za afya na anaomba ushauri wa kozi gani ina soko la uhakika kati ya md na pharmacy. Kuhusu vyuo nimemwambia apply private ndo atatoboa na sio public kwa sababu za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…