cnn

The Cable News Network (CNN) is a multinational news-based pay television channel headquartered in Atlanta, United States. It is owned by CNN Worldwide, a unit of the WarnerMedia News & Sports division of AT&T's WarnerMedia. It was founded in 1980 by American media proprietor Ted Turner and Reese Schonfeld as a 24-hour cable news channel. Upon its launch in 1980, CNN was the first television channel to provide 24-hour news coverage, and was the first all-news television channel in the United States.As of September 2018, CNN has 90.1 million television households as subscribers (97.7% of households with cable) in the United States. According to Nielsen, in June 2021 CNN ranked third in viewership among cable news networks, behind Fox News and MSNBC, averaging 580,000 viewers throughout the day, down 49% from a year earlier, amid sharp declines in viewers across all cable news networks. CNN ranks 14th among all basic cable networks.The network is known for its dramatic live coverage of breaking news, some of which has drawn criticism as overly sensationalistic, and for its efforts to be nonpartisan, which have led to accusations of false balance.Globally, CNN programming has aired through CNN International, seen by viewers in over 212 countries and territories; since May 2019 however, the US domestic version has absorbed international news coverage in order to streamline programming expenses. The American version, sometimes referred to as CNN (US), is also available in Canada, some islands of the Caribbean and in Japan, where it was first broadcast on CNNj in 2003, with simultaneous translation in Japanese.

View More On Wikipedia.org
  1. CNN na Larry wasema Wana Mamia ya Video na Audio walizozichunguza Kwa Teknolojia.Sasa Gerson Msigwa Njoo na Tamko lako CNN iziachilie zote

    CNN wanapicha Hadi za Watu WALIVYOKUA wanachimba mashimo na kuwatupia Ndugu zetu. Uzuri wa hili ni kwamba Serikali ikijibu ni Moto vilevile Kwan CNN itaachia Mavideo na maushahidi yote , hapo bado BBC ,BBC wanafanga Uchunguzi kamili mpaka sàsa ,nao wataachia Documentary kamili, sio tu BBC...
  2. PostGE2025 Serikali iifungulie mashtaka CNN kwa uchochezi na kutoa taarifa za uongo

    Wanankumbi mko njema Yule mwanasheria mbobobevu aliejinadi ataenda kumkamata Mange Atatakiwa kuandaa mashtaka ya kwenda kuifungila CiNN kesi kwa kuchafua Taifa linalosadikika halifanyi uovu wa kibinadamu kwa Raia wake, CiNN itabid kutozwa fain ya dolla billioni 10 hii itasaidi kupunguza deni...
  3. G

    Unpopular Opinion: Ufafanuzi wa Msigwa ni muhimu sana!!!

    Katika kipindi ambacho majeraha bado ni mabichi na hasira ni kali, swala la kusikia taarifa nyingine ama ufafanuzi kutoka serikalini linaleta kichefuchefu. Kwa haraka haraka, wengi wetu hatutaki kabisa kusikia chochote kutoka kwa Samia na genge lake. Lakini tukiangalia kiundani na...
  4. PostGE2025 Mlio karibu na hawa wakuu wambie wasijejinganya kutaka kuficha ukweli juu ya report ya CNN

    Mlio karibu na hawa vilaza, waambie wasijejichanga kwenda kuficha ushahidi, waalivyovilaza wataendelea kuficha upuzi wao. They are being monitored.
  5. PostGE2025 Leo Tanzania uchi uko uchi, Sijui Serikali watajibu nini mbele ya ripoti ya CNN

    Mzee wa ufafanuzi leo hapakaliki huko ndani, em tusubiri ufafanuzi wake atafafanua nini
  6. PostGE2025 CNN, kwanini mmeleta report isiyokua na jambo jipya?

    Kwa uelewa wangu ni kwamba CNN ni chombo kikubwa cha habari duniani chenye makao makuu kwenye nchi yenye teknolojia ya juu sana duniani Marekani. Soma > PostGE2025 - CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors Nikirudi kwenye report yenu mliotoa Leo nilitegemea mngetoa report ambayo Ina...
  7. R

    Polisi mlitoa onyo kutosambaza video za kuleta taharuki. Sasa CNN mtawafanyaje?

    Nailiza polisi wetu tunawafanyaje CNN
  8. PostGE2025 CNN wapo live, nukta kwa nukta juu ya kilichotokea Tanzania Oktoba 29, 2025

    Leo kitengo cha mawasiliano serikalini wana kazi nzito sana, sijui watachomokakaje na hii report https://www.youtube.com/live/_rc5FxROnDs?si=UAsP2YZa9uBveWg1
  9. PostGE2025 Yaani uonewe na Al Jazeera, BBC, France 24 na CNN? Wewe nani kwa mfano?

    Unajua hata kwenye kupima mizani kuna mambo hayaaingii akilini. Machawa na Wajinga wanaotumwa na Samia kujaribu kutuliza upepo wanaleta propaganda mfu eti Wanaonewa na CNN Wanasahau jambo lililosemwa na CNN kitaalam zaidi lilishasemwa na vyombo vinavyoaminika vya kimataifa vya habari wakiwemo...
  10. Q

    PostGE2025 Kamishna Mkuu Haki za Binadamu UN ataka uchunguzi mauaji ya Uchaguzi Tanzania, Lissu na wengine waliokamatwa kuachiliwa

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, leo ameitaka Serikali ya Tanzania kufanya uchunguzi kuhusu mauaji na ukiukwaji mwingine wa haki za binadamu uliofanyika katika muktadha wa uchaguzi wa Oktoba 29. Hii inafuatia taarifa zinazoeleza kuwa miili ya watu waliouawa...
  11. PostGE2025 Wale ma-feminist uchwara wa women rights mbona mpo kimya? CNN wamethibitisha Mama mjamzito kupigwa risasi hadi kifo

    Ndio maana kuna jamaa aliwahi niambia hawa wanaojidai wanatetea haki za wanawake lengo lao kubwa ni kumdidimiza mwanaume tu. Na ndio maana wanakua kiherehere kuingilia mambo ya familia za watu na kukuza ugomvi kati ya mme na mke. Haya leo mwanamke mwenzenu ameshiriki kufanya mwanamke mwenzake...
  12. PostGE2025 Rais Samia yupo madarakani kwa mtutu wa Bunduki na nguvu za kijeshi? CNN imethibitisha

    Kwamba kuna makaburi ya halaiki huko Kondo ? Kondo Dar es salam watu walifukiwa kwa mamia kama mbuzi? Mwanza maiti zimeonekana zilirundwa kama magunia. Watu hawakujitokeza kupiga kura kabisa. Maana hata 10% hawakufika. Ila bunduki ziliwanyamazisha wananchi ambao hawautaki utawala wako. Je...
  13. PostGE2025 CNN: Mwanamke huyu aliyepigwa risasi alikuwa na ujauzito wa miezi 3

    Vyanzo vya karibu na familia yake viliiambia CNN kuwa mwanamke huyo alikuwa na ujauzito wa miezi mitatu, na ameacha nyuma mume na watoto wawili. CNN
  14. PostGE2025 Uchunguzi wa CNN wasema huenda kaburi la halaiki lipo katika Makaburi ya Kondo, Dar es Salaam

    Wakuu, Uchunguzi wa CCN umesema huenda makaburi ya halaiki yapo katika eneo la Kondo, Dar es Salaam. Japokuwa walishindwa kuthibitisha moja kwa moja kuwa walizikwa hapo, kupitia picha za satelait, za kabla na baada ya uchaguzi inaonyesha eneo hilo lilichimbwa na vijana wanasema walipewa kazi...
  15. PostGE2025 Uchunguzi wa CNN: Madaktari waliambiwa na polisi wasitibu waliojeruhiwa, bali wawapeleke Mochwari wafie huko!

    Wakuu, Ripoti ya CNN imetoka, watu wenggi wametuma shuhuda zao na kuthibitisha yaliyotokea. Katgi ya hayo ni madkatri waliosema polisi walikuwa wakiwakataza wasitibu wale waliojeruhiwa, badala yake wapelekwe mochwari wafie huko.
  16. D

    Tafakari hii fedheha: Hakuna kiongozi hata mmoja wa juu kutoka CCM mwenye uwezo wa kufanya mahojiano na media kubwa kama Al Jazeera au CNN

    Hiyo ni kuanzia na aliyejiapisha hadi aliyeapisha. Ukweli ni kwamba hawa wanaojiita viongozi wetu ni dumbheads tu hakuna kitu vichwani mwao. Yan wao ni full janjajanja, ghilba, wizi, ufisadi na uongo. Wakati akina Kagame na akina Ruto interviews za AJ, CNN na BBC huzigonga tu kama wananawa...
  17. GE2025 CNN inaandaa ripoti ya mauaji yaliyofanywa na Polisi kwenye maandamano. Larry Madowo awataka Watanzania wamtumie ushahidi

    Wakuu Hii issue ishakuwa serious -------------------------- Mtangazaji wa CNN, Larry Madowo, ametoa wito maalum kwa wananchi wa Tanzania ambao wamepata matukio ya polisi na magenge yake kupiga risasi na kuwaua raia wakati wa maandamano ya amani Oktoba 29,, kutuma video, picha na nyaraka...
  18. Rais Trump avishambulia vyombo vya habari, CNN na New york times

    Maandishi yake mwenyewe....
  19. JasusiTV: Kukamatwa kwa Tundu Lissu, kufunguliwa shitata la uhaini kwampaisha. Vyombo 200+ vya habari duniani vyaripoti CNN, BBC, REUTERS, ALJAZIRA et

    https://youtu.be/ifBfgCwGG70?si=5olE9Kvs15AlxqIb ➡Ni ndani ya masaa 48 tu baada ya kukamatwa kwake kisha kufunguliwa mashitaka ya uhaini.. ➡Zaidi ya vyombo vya habari 200+ duniani kote ikiwemo CCN, SKYNEWS, AlJazira, BBC, Bloomberg, Lebanon News, vimeripoti tukio hili si ktk mtazamo wa kuwa ana...
  20. Tetesi: Arusha International Iftar kurushwa live CNN, BBC & Al Jazeera

    Tukio la kutikisa dunia Arusha International Iftar (AII) limerushwa mubashara na Vituo vikubwa vya Televisheni Duniani. Hongera Dr
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…