chuo kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania China: Mitihani ya kuingia chuo kikuu yabadilisha na kuamua maisha ya baadaye ya wanafunzi

    Hivi sasa wanafunzi wengi wapo katika kipindi muhimu sana hususan wale wanaomaliza masomo yao ya sekondari ya juu na ambao wanajiandaa kujiunga na taasisi za elimu ya juu au vyuo vikuu ili kuanza masomo yao katika kozi tofauti. Kuna wale ambao wanafurahia kumaliza hatua moja na kukaribisha hatua...
  2. JamiiForums Tanzania Kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza MZUMBE mjomba alinihusia swala la kusave bumu

    Habarini za leo wakuu, Wakuu hivi ninyi mlishawahi fanikiwa kusave hela za Bumu zikawatoa. Binafsi mimi kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza pale MZUMBE mjomba alinihusia sana swala la kusave bumu. Aliniita varandani akanisisitiza sana mjomba chondechonde ukipata Bumu uwe unalisave...
  3. JamiiForums Tanzania GPA 3.O kama hitaji la chini kuingia kuingia chuo kikuu sio sawa

    Nchi jirani ya uganda kwa wenye diploma kuanzia gpa 2.7 wanaweza kuomba kujiunga na vyuo vikuu lakini tanzania tumeweka gpa 3.0. Hata nchi za ng'ambo kama malaysia china na zingine wanakubali kuanzia gpa 2.7 kwa wenye diploma kama hizi zetu za nacte. Ingefaa kiwango cha tanzania nacho kishuke...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi Eric Shigongo alivyojiunga Chuo Kikuu akiwa na elimu ya msingi

    Licha ya kufeli darasa la saba, mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanikiwa kuhitimu chuo kikuu akiibuka mwanafunzi bora aliyefaulu kwa kiwango cha juu zaidi. Kabla ya kwenda chuo kikuu, anasema alijifunza lugha ya Kiingereza mtaani, kama wengine wanavyojifunza lugha ya makabila. Shigongo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…