Haya, wote watatajwq nankuanikwa hadharani. Bila shaka sasa utapeli wa kutumia neno la Mungu unafikia mwisho. Natamani kombora la kwanza lidondokee Ubungo Maji.
Kuna watu wakisikia Mpalestina/muisrael kauawa huwa wanatamani kulipiza kisasi papo hapo.
Lakini watanzania hao hao kina Josephat Gwajima ama Sheikh Ponda Issa Ponda wanapotoa orodha ya watu waliotekwa, kuuawa au kupotea, huoni wakiwa na hasira kama hizo.
Ina maana watanzania wanathamini zaidi...
Habari wajameni,
Nimekuwa nikijiuliza swali hili wala sipati jibu : kwa kawaida anapotokea shekhe katoa msimamo wake binafsi katika maswala ya kijamii bila hata ya kunukuu kwenye vitabu vya dini basi watatukanwa waislamu Dunia nzima ..Mbona maaskofu wanatamka ujinga kama Mwamposa ,kuna Hananja...
By Meshach Yobby (Facebook post)
I think this will be my last post on Tanzania, and why their hatred for us was institutionalised. I'll try to summarise.
Before independence, Nyerere wanted Kenya, Uganda, Tanganyika, Zanzibar, to form the East African Federation. He knew it would be easier to...
1. Mtu anaenasibisha uongozi wa Samia na uzanzibar au uislam.
Samia hatumii vifungu vya dini kufanya mambo yake, keanza mengi yapo kinyume na dini, pili wa Zanzibar nao pia ni wahanga wa CCM, ni makundi machache yanayonufaika na CCM ndio wanaoshangilia hapa wapo wanajamiiforums wengi
2...
Free Free Palestina Lengo lake ni Kuiangamiza Israel from the river to the Sea ni Kosa la kimahesabu uhuru hauombwi hivyo na chuki hazijawahi kushinda vita vya muda mrefu.. Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe.
Wenye Chuki watasaidiwa kufika Gaza wapigane na Israel na kama hawawezi basi...
SURA YA KWANZA: DAMU YA UFALME
Mimi ni Triza, binti wa saba wa Mfalme Himza wa Peru. Katika kasri letu kubwa lenye kuta nene za dhahabu na mawe mazito, mimi na dada zangu tumeishi maisha ya hofu chini ya kivuli cha baba yetu. Dada zangu ni Adira, Sayina, Miran, Elvya, Kiyara, na Zafrina. Mama...
Wakati Dr. Dre anapelekewa Eminem ili amsaini, alimshangaa, hakuwa akiamini kama Mzungu huyo angeweza kuchana kama watu weusi lakini alipomsikiliza, sasa akawa na uhakika alimpata mwamba, mtu aliyekuja kuwa na ukubwa usio wa kawaida.
Huyu Eminem hakuwa na mahusiano mazuri na mama yake kama...
Watu vifua vimejaa chuki na hasira za visasi. Watawala bado mna muda wa kuepusha genocide kama za Rwanda!
Sikuona sababu ya kumuua/kumpoteza/kumficha and the like Mdude na wenzake wengi ambao hatujui kama bado wako hai!
Friends and Our Enemies,
GWAJIMA,ni mtu mwenye akili fyatu,na ni mtu ambae kwa mustakabali wa maslahi yake atafanya chochote ili mradi afanikishe malengo yake.
Tumeona hapo nyuma namna ambavyo amekuwa anaitumia platform ya kanisa lake kukashifu viongozi na kulumbana na watu wa aina mbali...
PAMBANANE NA HALI YENU KWA 100%
HATA HALI IWE MBAYA SANA KUFIKIA KIASI
CHA KUFA NJAA, MTAKUWA NYIE NDIO
WA KULAUMIWA.
KWANZA NI WAOGA WA KUDAI HAKI ZAO WAZIWAZI.
NA WALE WANAOJITOKEZA KUDAI HAKI ZAO WANATUMIA
NJIA ZA KIJINGA SANA. HUWEZI UKAMTISHIA MTU MWENYE BASTOLA WAKATI
WEWE MWENYEWE...
MOJA YA WATU UNAOTAKIWA KUWAEPUKA NI WALE WANAOPENDA KUKUTAJIA MAKOSA NA AIBU ULIZOZIFANYA WAKATI ULIOPITA. WENYE CHUKI NA WEWE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Ni kweli unahitaji watu katika maisha lakini watu hao wasiwe toxic wenye Negativity.
Watu wanaojifanya marafiki kumbe ni Adui...
MKUU wa mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi, amewataka watumishi wa umma mkoani humo kuachana na tabia za fitina, majungu na chuki katika maeneo ya kazi, akisisitiza kuwa hali hiyo inachangia kuporomoka kwa tija na kuathiri utoaji wa huduma kwa wananchi.
Akizungumza Mei Mosi,2025, wakati wa...
Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia...
Napenda kuongelea Ukumbusho wa kifo cha Yesu ambao Yesu aliwaagiza wanafunzi siku ile anafanya nao Karamu ya mwisho (Alhamis Kuu baada ya jua kuzama) NB kwa kalenda ya Kiyahudi, tayari waliisha anza Ijumaa Kuu ambapo alikufa saa 9 mchana. Katika Luka 22:19-21 yesu akawambia hivi "Fanyeni hivi...
Chuki ni mzigo usioonekana unaokula nafsi kimya kimya
Kuna uchungu wa aina fulani huwezi kuupiga picha. Uchungu wa mtu anayebeba chuki moyoni...
Chuki haina kelele, lakini ina sumu...
Ni moto unaowaka ndani kimya kimya, ukiunguza kila chembe ya amani uliyonayo.
Ukimchukia mtu si yeye...
Haji Manara pole sana ila kwa Tabia zako ambazo hata Nduguzo wanazichukia nilijua tu hutodumu kamwe na Zaylisa. Halafu naona kila kona Watu wanampongeza Mange Kimambi wakati GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums miezi kadhaa iliyopita na hata juzi kati (Threads zipo JamiiForums) nilisema kuwa Haji...
Makundi ya Kikabila Yanayojulikana kwa Ubaguzi Mkubwa Dhidi ya Weusi Duniani
Ubaguzi dhidi ya watu weusi upo duniani kote kutokana na historia, siasa, na mitazamo ya kijamii. Ingawa si rahisi kupima kiwango cha ubaguzi kwa kila kundi la kikabila, baadhi ya jamii zinajulikana kwa kuwa na...
Nimekuwa nikimpiga mawe Manara hapa jukwaani kutokana na kauli na matendo yake yasiyo na staha, ila Kwa alichokisema Yuko sahihii
Karia ana chuki na Yanga na anatumia taasisi zake kuhujumu Yanga hadharani
Karia amekaa ushabiki na mapenzi Kwa Simba na kumfanya aache weledi ana aropoke ovyo...