china

  1. L

    China yapendekeza ukarabati wa reli ya TAZARA wenye thamani ya dola za Marekani bilioni moja

    Katika hali ya kufurahisha na kufufua matumaini, hivi karibuni balozi wa China nchini Zambia Bw. Du Xiaohui alimwambia waziri wa uchukuzi wa Zambia Bw. Frank Tayali, kuwa serikali ya China inapanga kutumia dola bilioni 1 za kimarekani kuifanyia ukarabati reli ya TAZARA, inayounganisha eneo la...
  2. L

    China yaendelea kuwa nguzo kwenye mafungamano ya uchumi duniani

    Katika siku za hivi karibuni mkutano wa Baraza la Uchumi wa Dunia kwa mwaka 2024 ulifanyika huko Davis, Uswisi. Waziri mkuu wa China Li Qiang aliiwakilisha China kwenye mkutano huo, na kutoa hotuba muhimu ambayo sio kama tu iliendelea kutoa imani kwa jumuiya ya wachumi duniani, bali pia...
  3. L

    Ongezeko la asilimia 5.2 la uchumi wa China kwa mwaka 2023 ni habari njema kwa Afrika na dunia

    Serikali ya China imetangaza kuwa uchumi wa China kwa mwaka 2023 ulikuwa na ongezeko la asilimia 5.2. Habari ambayo wachambuzi wa maswala ya kiuchumi duniani wanaiona kuwa ni habari inayoleta ahueni kwa dunia, hasa ikizingatiwa kuwa hali ya uchumi wa dunia kwa ujumla bado haijatengemaa. Kwenye...
  4. L

    Moyo wa kujitolea wa madaktari wa China wathaminiwa na wagonjwa waliotibiwa na kupona wa Tanzania

    Hivi karibuni serikali ya Tanzania iliishukuru serikali ya China kwa kutuma timu za madaktari wa kwenda kusaidia kutoa huduma za afya kwa watu wa nchi hiyo. Imekuwa ni desturi ya serikali ya China kutuma timu za madaktari katika nchi za Afrika kila baada ya miaka miwili. Kupitia ushirikiano huu...
  5. L

    Afrika inanufaika na ujenzi wa China yenye nguvu katika mtandao wa internet

    Tarehe 27, Februari, mwaka 2014, rais Xi Jinping wa China alitoa dira ya "kujenga nchi kuwa na nguvu katika sekta ya mtandao wa internet". Katika muongo mmoja uliopita, China imejizatiti katika utekelezaji wa dira hiyo na kupata mafanikio makubwa, iwe katika upatikanaji wa huduma za internet au...
  6. R

    Moto unateketeza jengo refu Changsha city, China, tusipuuze Manabii wa Mungu

    Salaam, Shalom. Tukiwa Bado tunatafakari kuteketea Kwa mji mzima nchini Chile, na habari hiyo imehujumiwa Kwa kiasi kikubwa kutowafikia watu, wahusika wakiwa na sababu zao. Wakati huo huo tukiendelea na uzimaji moto, Bar ya kitambaa cheupe jijini Dar Salaam, Ni siku ya nne sasa imeripotiwa...
  7. M

    Msaada: Nahitaji kufahamu gharama za kusafirisha Container (empty) kutoka China mpaka Tanzania

    Wadau, Nataka kusafirisha empty container kutoka China mpaka Tanzania, je ni kiasi gani kusafirisha kwa container na je nitatakiwa kulipa ushuru/kodi yoyote kulitoa bandarini? Asanteni sana.
  8. Wahamiaji haramu wa kutokea China wajaribu kutumia Mexico kuingia Marekani

    Kila mtu anataka kuzamia Marekani, hata Wachina wambao tunaambiwa jinsi uchumi wao umeboreka..... Chinese migrants flock to U.S.-Mexico border on economic pressures Their encounters with American authorities jumped 10-fold in 2023 People from China and elsewhere who are suspected of illegally...
  9. Tamasha la Mwaka Mpya wa jadi wa China linalorushwa na CMG lazidi kujibebea umaarufu duniani

    Tamasha la Mwaka Mpya wa jadi wa China (CCTV Gala) ama kwa jina jingine linajulikana kama Chunwan, ni tamasha maalum la Mwaka Mpya wa jadi wa China linalotayarishwa na Shirika Kuu la Utangazaji la China, (CMG). Tamasha hili ambalo hutangazwa kila mwaka katika mkesha wa Mwaka Mpya wa China sio tu...
  10. China Keeps Building Stadiums in Africa. But at What Cost?

    The Alassane Ouattara stadium rises like a piece of sculpture from the dusty brown earth north of Ivory Coast’s largest city, its undulating roof and white columns towering over the empty landscape like a spaceship that has dropped onto a uninhabited planet. On Sunday, the...
  11. Kampuni za Asia kupewa tenda nyingi Afrika ni janga lingine

    Miaka ya karibuni kumekua na wimbi kubwa la kampuni za asia kushinda tender hasa za barabara hii ni habari mbaya sana kwa sababu ubora wa miradi wanayojenga kampuni za asia ni mdogo sana baada ya miaka kadhaa tayari unakuta zimeanza kuharibika. Sheria ya mshindi wa tender lowest bidder itazamwe...
  12. Matokeo ya ushirikiano kati ya China na Afrika yafanya Kombe la Afrika kung'aa zaidi

    Michuano ya 34 ya Kombe la Mataifa ya Afrika inaendelea nchini Cote d'Ivoire. Kwenye lango la kuingia katika Uwanja wa Olympic wa Abidjan, mji mkuu wa kiuchumi wa Cote d'Ivoire, mashabiki kutoka nchi mbalimbali waliokuwa wamevalia bendera za nchi zao na kushikilia pembe ya kupuliza wamejaa...
  13. L

    Biashara kati ya China na Afrika inazidi kukosa uwiano? Ukweli uko hapa

    Kwa mujibu wa takwimu mpya zilizotolewa na Wizara ya Biashara ya China, jumla ya biashara kati ya China na Afrika iliongezeka kwa 1.5% mwaka 2023 kuliko mwaka 2022, na kufikia rekodi mpya ya kihistoria ya dola za Marekani bilioni 282.1. China imekuwa mwenzi mkubwa zaidi wa kibiashara barani...
  14. L

    Chama cha Kikomunisti cha China chaendelea kuwa na mvuto kwa nchi za dunia ya tatu kutokana na msimamo mkali wa kuzingatia maadili

    Katika siku za hivi karibuni Rais Xi Jinping wa China aliongoza mikutano ya kamati mbalimbali za Chama cha Kikomunisti cha China. Kikiwa ni chama tawala cha China, na mchango wake katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii, vikao vya kamati hizo ambavyo ni muhimu katika utendaji wa chama...
  15. Bidhaa gani zenye mzunguko mkubwa naweza kuagiza toka China kwa 10M

    Wapendwa nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano, Naomba msaada wenu ndugu zangu , nimebahatika kuuza kaeneo kangu nikapata 10M. Sasa natamani kuizalisha kupitia bidhaa zinazotoka China. Naomba mnijuze ni bidhaa gani zinatoka haraka sana ambazo sio za bei kubwa, yaani m Tanzania wa kawaida...
  16. Shirika la Kiserikali la CTG - China Kushirikiana na Tanzania Kutangaza Utalii

    SHIRIKA LA KISERIKALI LA CTG - CHINA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUTANGAZA UTALII Shirika la Kiserikali la China linalosimamia utangazaji wa utalii na uwekezaji (China Tourism Group - CTG) limeonesha nia ya kutaka kutangaza vivutio vya utalii vilivyoko nchini Tanzania pamoja na kuwekeza katika...
  17. China na kuzindua ndege yake C919 lakini vitu vyote vinatoka kwa wababe wake

    China kumbe naye ni mjanja sana na mbwembwe zote kuzindua ndege zake lakini mfumo mzima amesaidiwa na mataifa ambayo anayaletea kifua. Ukishangaa ya Yemeni na Palestina basi ya China ndiyo haya angalia ndege ya China.
  18. Shipping Agent wa Haraka na Kuaminika

    Habari zenu wana JF, Katika kufuatilia nyuzi kadhaa kuhusu shipping agents kwa meli kutoka China kuja Tanzania, Nimekutana na Silent Ocean, Shamwaa na Mapembelo Cargo. Which one should i go for? - Wapo wanaosema silent ocean wako vizuri na wako fasta, wapo wanaosema Silent ocean ni...
  19. L

    Nchi za Afrika zinaendelea kuunga mkono sera ya kuwepo kwa China moja

    Kwa muda mrefu sasa jumuiya ya kimataifa imeendelea hatua kwa hatua kuitambua sera ya kuwepo kwa China moja kama ilivyo kwenye sheria ya kimataifa, sera inayosema kuwa kuna China moja tu duniani, na Taiwan ni sehemu isiyotengeka ya China. Nchi mbalimbali duniani ambazo kwa sababu moja au...
  20. L

    Ziara ya Bw. Wang Yi barani Afrika na Latin Amerika yaonesha kuwa China inaendelea kupanua ushirikiano wa kunufaishana duniani

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bwana Wang Yi, amemaliza ziara ya kidiplomasia ya mwaka huu kwa kuzitembelea Misri, Tunisia, Togo na Cote d'Ivoire, ikiwa ni sehemu ya desturi ya zaidi ya miongo mitatu kwa waziri wa mambo ya nje wa China kufanya ziara ya kwanza barani Afrika. Lakini safari hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…