china

  1. L

    JamiiForums Tanzania Vita ya kibiashara ya Marekani yawezesha uwazi na biashara kati ya China na kanda ya magharibi

    Biashara ya nje ya China imeendelea kukua licha ya vitendo vya nchi za Magharibi vya kujilinda kibiashara, hususan vita ya kibiashara ya China iliyoanzishwa na Marekani. Kuna mambo kadhaa ambayo yamechangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa biashara hiyo. Chini ya shinikizo la Marekani na baadhi ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa FOCAC kuanzisha ngazi mpya ya uhusiano kati ya China na Afrika

    Mkutano wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024 unatarajiwa kufanyika hapa Beijing kuanzia Septemba 4 hadi 6, na utakuwa na kaulimbiu ya “Kuungana kwa mikono Kuendeleza mambo ya kisasa na Kujenga Jumuiya ya Juu ya China na Afrika yenye Mustakabali wa Pamoja.” Kwa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Karne ya 21 kushuhudia maendeleo ya pamoja na ufufuaji wa China na bara la Afrika kupitia FOCAC

    Wakati China na Afrika zikiendelea kutafakari kwa kina mafanikio yao tangu kuanzishwa kwa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika, FOCAC, mwaka 2000, wadau wanasisitiza umuhimu wa pande mbili za ushirikiano kuwa zingativu ili kuimarisha zaidi uhusiano kati ya China na Afrika. Kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo treni yenye spidi ya kasi sawa na ndege, nilidhani uongo kumbe kweli

    China imekamilisha jaribio la usafiri wa treni aina ya maglev yenye kasi ya juu (UHS), kuashiria hatua nyingine muhimu kwa aina hiyo ya usafiri inayoweza kusafiri kwa kasi ya hadi maili 621 kwa saa sawa na kilometer 1,000 kwa saa. Jaribio hilo lilifanyika katika mkoa wa Shanxi unaopatikana...
  5. JamiiForums Tanzania Timu Wachezaji Wa marekani wote wenye asili ya china waifunga china kwenye olimpic

    Hawa ni wachezaji wa Timu ya Taifa ya Marekani (USA) Table Tennis Ambayo imeifunga Timu ya Taifa ya China kwenye Mashindano ya Olympic. 😜😜😄😄
  6. JamiiForums Tanzania Iran imeagiza mzigo wa kutosha pamoja na specialist toka China na Russia

    🚨Haijafahamika ni kwa dhumuni gani ila Iran imeagiza zana nzito toka Russia na China huku kuliwa na hofu kua ameagiza Electronic Jamming System na Iskender missile. Pia wamesisitiza specialist wa hizo wawepo kwa ajili kuinstall zana hizo. Update: Reports that Iran has requested an emergency...
  7. JamiiForums Tanzania CMG Laandaa Mazungumzo ya 'Fursa Duniani katika Kukuza Mageuzi ya China katika Enzi Mpya'

    Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) Jumatatu liliandaa mdahalo kuhusu "Fursa Ulimwenguni katika Kukuza Mageuzi ya China katika Enzi Mpya" jijini Nairobi, nchini Kenya ili kuashiria hitimisho la hivi karibuni la moja ya matukio muhimu ya kisiasa nchini China, ya kikao cha tatu cha kamati kuu...
  8. X

    JamiiForums Tanzania ChinaTech: Italy walijitoa katika BRI ya China, hatimaye Waziri Mkuu wa Italy atembelea China kuomba kurudisha tena ushirikiano kati ya mataifa hayo

    Mwanamama Giorgia Meloni alishinda uchaguzi mkuu wa Italy mwaka 2023 na kuwa Waziri Mkuu wa taifa hilo ambalo pia ni member wa G7 na NATO. Alipoingia tu madarakani, kwa shinikizo la Marekani na mataifa mengine ya Ulaya akaiondoa Italy kutoka kwenye mpango wa China unaoitwa BRI na kumkosoa...
  9. JamiiForums Tanzania China yashinda medali za kwanza Olympics.

    China imejinyakulia medali mbili za dhahabu za kwanza kabisa katika mchuano ya Olympics inayoendelea huko Ufaransa.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Howo tipper 371 used inauzwa

    Howo tipper 371 used inauzwa, ni used kutoka China ina Hali Nzuri Sana, Karibu ofisini kwetu Kurasini opposite na diplomatic college, Pia utapata offer ya kufanyiwa service ya truck Kwa mwaka mmoja Karibu sana. Price: million 127.5 ☎️0715 128 827
  11. JamiiForums Tanzania Mliofika China hivi bado mnawaamini hawa wanasiasa walioko madarakani kwamba kuna siku watafikia maendeleo ya Wachina hata kwa asilimia 3%?

    Naamini kuna Watanzania wengi mliofika China inasemakana kipindi cha miaka ya 1960 tulikuwa sawa kimaendeleo. Hatua waliyofikia hawa watu hususani katika nyaja ya miundo mbinu, viwanda na usalama katika nchi yao hivi kuna Mtanzania yoyote anaota kuna siku tutawafikia hata asilimia 3 tu hawa...
  12. JamiiForums Tanzania Taja msanii wa Reggae anaetokea China

    Tajaaaa!
  13. X

    JamiiForums Tanzania ChinaTech: Sehemu kubwa ya China haijaathirika na mvurugiko wa TEHEMA (IT) uliotokea leo duniani kote kwenye Microsoft Windows

    Leo huduma zote za TEHAMA zinazotumia Microsoft Windows zilikumbana na hii changamoto kwenye screen za computer ilikuwa ni 'bluescreen' Huduma nyingi zinazotumia Microsoft Windows kama usafiri wa ndege, biashara, mashirika ya utangazaji zimeathirika sana leo zote zilisimama kwa muda...
  14. L

    JamiiForums Tanzania IMF kuinua makadirio ya ongezeko la uchumi wa China ni habari njema kwa uchumi wa dunia

    Hivi karibuni Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liliinua makadirio ya ongezeko la pato la taifa la China kwa mwaka wa 2024, kutoka asilimia 4.6 za awali hadi asilimia 5, hatua inayoonesha imani ya jumuiya za kiuchumi za kimataifa kuhusu uchumi wa China. Makadirio haya pia yameongeza matumaini...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Hatua ya China kuanzisha program ya watoto wa China na Afrika ni uwekezaji mzuri wa kudumisha urafiki kati ya China na Afrika

    Watu wengi wanaamini kwamba maisha yetu ya baadaye yapo mikononi mwa watoto wetu. Ndoto zao zitajenga dunia ambayo tutaishi kesho, na matendo yao, mawazo yao, na maadili yao yatajenga mwelekeo wa jamii. Kwa hiyo, tukiwa kama watu wazima, ni jukumu letu kuwaongoza katika mwelekeo sahihi. Pia ni...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Inaonekana hawa wadada mawinga wa china wanatajirika kwa akili finyu za Watanzania

    Yes. Kuna kitu kinaniambia hela ipo nje nje chini huko.kimsingi uwe tu namtaji wako hata wa kukodi fremu kubwa nje mji kidogo au hata ndani ya maeneo yenye watu wengi Alafu kuwa muaminifu kwa 100% usiwe mjanja mjanja tu. Basi utatengeneza pesa mpaka uchoke ww Kwa sababu watanzania wengi...
  17. JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya na Kile Kigari Chake, Kwa Nini Alitupiliwa Mbali?, Angalia na Soma.

    Sijui kama leo unaweza kuwa na wazo kama la Masoud kutaka kuzalisha kitu chochote cha kiubunifu na serikali yetu pendwa ikakuunga mkono kwa support kama wanayopewa wawekezaji wengine, sijui!!. Basi hapo majuzi jamaa yetu huyu mtangazaji alipokuja na ile idea yake nzuri na kigari chake huku...
  18. JamiiForums Tanzania RC Chalamila ametembelewa na ugeni ofisini kwake kutoka Jeshi la Ukombozi la watu wa China

    RC CHALAMILA ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JESHI LA UKOMBOZI LA WATU WA CHINA Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 17, 2024 ametembelewa na ugeni ofisini kwake kutoka Jeshi la Ukombozi la watu wa China ukiongozwa na BRIG GEN CE MWANZIVA Mkurugenzi wa Huduma za Afya TPDF...
  19. X

    JamiiForums Tanzania China-US (TechWar): China limekuwa taifa la kwanza duniani kufanikiwa majaribio ya 6G, likiitangulia Marekani na washirika wake

    Kwenye mbio za nani atatangulia kwenye teknolojia ya mawasiliano ya 6G ilikuwa ni race kati ya China na Marekani na washirika wake. China ilikuwa imeshajiwekea mkakati wa kuifanyia tafiti teknolojia ya 6G hivyo ikawa moja ya kipaumbele cha taifa kwenye mpango wa miaka 5 ulioitwa China's...
  20. JamiiForums Tanzania China waionya NATO

    ☢️☢️🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨Mda mfupi Uliopita Waziri wa Mambo ya nje wa Urusi Sregei Lavrov ameonya aidha NATO au Ukraine itapotea kwenye ramani ya Dunia endapo Ukraine itajiunga na Umoja huo wa Kigaidi. 🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳 Nayo China imekazia onyo kwa NATO JUST IN: 🇨🇳 China issues warning to NATO...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…