china

  1. JamiiForums Tanzania Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

    Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana Kariakoo, na walizunguka media mbalimbali kuonesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua... Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua...
  2. JamiiForums Tanzania Wakati Tz ikiendekeza sikukuu, China yaunda jua kuongeza muda wa kupiga kazi

    China imeunda Jua la Kwanza la Bandia duniani. Jua hilo la bandia linaweza kuangaza nchi yao nzima na kugeuza Usiku kuwa Mchana. Tayari wamelijaribu mara mbili na limefanya kazi kikamilifu. Jua hilo la bandia huchomoza wakati wa machweo na kuzama wakati wa mapambazuko. Kupitia jua hili bandia...
  3. JamiiForums Tanzania Licha ya vikwazo vya Serikali, China kuwa Taifa lenye Wakristo wengi zaidi Duniani kufikia 2030

    https://www.instagram.com/p/DH3KEkaCXDN/?igsh=NW16cTdtZzR5dHE3 My Take Kama China wameanza kuamini uwepo wa Mungu ,wale wanasemaga hawaaminu watasimama nani?
  4. JamiiForums Tanzania China: Watu Wenye Uzito Chini ya Kilo 50 Waonywa Wasitoke Nje Kufuatia Upepo Mkali

    Mamlaka nchini China Kaskazini zimewashauri wakazi wenye uzito wa chini ya kilo 50 kubaki ndani ya nyumba zao kutokana na upepo mkali unaovuma katika eneo hilo, zikitahadharisha kuwa watu wenye miili midogo wanaweza kubebwa na upepo huo hatari. Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters...
  5. JamiiForums Tanzania China ililazimisha jamii ndogo ya waislamu wa huko watume video zao kuonyesha wanakula kipindi cha ramadhani

    Kwa mujibu wa taarifa ya TV ya waislamu MNTV, ni kwamba China ililazimisha watu hilo jamii ndogo la waislamu huko kwamba wasifunge ramadhani na watume video kila siku kuonyesha wanakula, ni nchi ambayo imekataza mavitu ya hiyo dini ya kiislamu ambayo husababisha watu wanaingiwa na mihemko ya...
  6. JamiiForums Tanzania China imepandisha 125% kwa bidhaa zinazotoka marekani , pia imesimamisha kuuza madini adimu kwa utengenezaji wa ndege vita

    Marekani imeshikwa pabaya. Kwa sasa ukitaka simu ya Iphone ndani ya Marekani utainunua kwa Dola ya kimarekani isyopungua 3500 tofauti na Dola 1700 mpaka 1800 hapo mwanzo. Hii ni kwa sababu china ndio mtengenezaji mkubwa wa simu za iphone duniani kwa asilimia zaidi ya 90.. Leo china ametangaza...
  7. JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana. Sisi Africa katika soko la China hata kwenye 3 bora hatumo

    Nlitegemea sisi Afrika tungekuwa moja ya masoko makubwa kabisa ya bidhaa za China. Sivyo. Why? Huku wanatuletea tu takataka soko lao kubwa lipo Ulaya na Marekani. Ndo maana jamaa wanatudharau tu wanaamua kutengeneza takataka ndo wanaleta huku. Ila vitu vya maana wanapeleka kwa wazungu...
  8. JamiiForums Tanzania Soko tajiri Duniani ni la Marekani likufuatiwa na la Jumuia ya Ulaya, huko Asia China hakuna kitu

    Hata mashirika makubwa ya ndege Duniani wanakuambia njia yenye pesa ni ya kwenda Marekani au kutoka Marekani, Mfano London to New york, New Delh to New york, Tokyo to New york na kadhalika. Hio ndio njia tajiri inayo yapa mashirika ya ndege pesa. Turudi kwenye bidhaa, producer yoyote Duniani...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wachina wamejipiga pini kwenye vita ya ushuru, Soko kubwa dunia nzima lipo Marekani

    Vita inayoendelea ya kupandishiana ushuru kati ya Marekani na China (ongeza niongeze) imekula kwa China, wamejipiga pini kwa kuona ni sifa kubwa kusifiwa sio waoga lakini Marekani inazidi kufurahia hii vita, Marekani wapo tayari hata kufikia hatua ya kuongeza ushuru wa China kuwa asilimia 400...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Panama yaruhusu jeshi la Marekani kulinda na kuendesha mfereji wa Panama, Wachina watimuliwa

    Yani mngejua tu namna China anavyoichukia Marekani ya awamu hii na jinsi walivyo na hasira acheni tu, Soko kubwa la dunia nzima lipo Marekani wao wamepigwa pin kwa ushuru mrefu halafu nchi zingine wamepunguziwa 10 % tu, Hawajakaa sawa Marekani imewashinikiza Panama kuwafukuza wachina kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania China yakabidhiwa bandari zote za Sudan iziendeshe

    Jeshi la Sudan linaloongozwa na Waislamu lilitangaza kuunga mkono Hamas, na kuahidi kusaidia kuiangamiza Israel. Likiongozwa na wahalifu wa kivita wanaotakwa na ICC Omar al-Bashir na Ahmed Haroun, jeshi hili limekabidhi bandari zake kwa China, kukubali ndege zisizo na rubani za Iran, na sasa...
  12. X

    JamiiForums Tanzania China yaongeza ushuru kwa bidhaa za Marekani kutoka 84% kufikia 125%

    Wizara ya Biashara ya China, leo imetangaza rasmi kuwa China imeongeza ushuru kwa bidhaa zote za Marekani kwa 40% Sasa ushuru utapanda kutoka 85% kufikia 125% Wakati hayo yakiendelea waziri mkuu wa Spain yupo China kwa ajili ya kuimarisha mahusiano ya kibiashara na uwekezaji kati ya mataifa...
  13. JamiiForums Tanzania Je, China itaendelea kuhimili vizingiti vya kibiashara vya Marekani

    Je, China itaendelea kuhimili vizingiti vya kibiashara vya Marekani bila yuan kuporomoka? Au iko tayari 'kudhoofisha' sarafu yake kimkakati ili kuendelea kushindana? Vita vya kiuchumi si risasi, ni sarafu."
  14. I

    JamiiForums Tanzania Australia yakataa ofa ya China ya 'kuiunga mkono' kwenye ushuru wa Trump. Inaona kila moja afe kivyake.

    Australia yakataa ofa ya China ya 'kuiunga mkono' kwenye ushuru wa Trump. Australia imekataa haraka ombi la China la "kuungana mkono" dhidi ya ushuru wa Donald Trump, wakati Washington inazidisha vita vyake vya kibiashara na Beijing. Ikulu ya Marekani hivi majuzi ilitoza ushuru wa kuagiza wa...
  15. JamiiForums Tanzania China na Xi Jinping vipi tena?

    Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo China kwenda Marekani sasa ni 145%. Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo Marekani kwenda China ni 84%. Naona Mchina kashindwa kwenda sambamba Mnyamwezi 🤣. Nyie Wachina wa Kiuruwi na Tabata Sanene kujeni hapa mtoe maelezo [visingizio] yenu ni kwa nini...
  16. JamiiForums Tanzania China yaagiza Benki zake kuu kuisitisha ununuzi wa Dola

    China Yaagiza Benki Zake Kuu Kuisitisha Ununuzi wa Dola Benki kuu ya China (PBOC) imewaagiza benki kubwa zinazomilikiwa na serikali kusitisha ununuzi wa sarafu ya Marekani (dola) ili kulinda yuan dhidi ya ushuru kutoka Marekani. PBOC pia imeagiza benki hizo kuimarisha udhibiti juu ya ununuzi...
  17. JamiiForums Tanzania Naona nimepigwa na Seller wa AliExpress

    Kwa mara ya kwanza niliamua na mimi niagize kupitia AliExpress, juzi tarehe 2 nililipia kiatu cha mtoto cha elf 40 na ni free shipping, nikawa nafuatilia process mpaka ikaishia kuwa iko Airport. Leo asubuhi nacheki ile Order yenyewe haipo na ile Tracking Number haifanyi kazi huku AliExpress ila...
  18. JamiiForums Tanzania China yatangaza nyongeza ya asilimia 84% ya ushuru kwa bidhaa za Marekani

    Kazi bado inaendelea ni vuta nikuvute kati ya utawala wa Trump na nchi ya China katika vita vya ushuru. BREAKING: 🇨🇳🇺🇸 China announces additional 84% tariff on US goods. https://x.com/WatcherGuru/status/1909925306560885110?t=-ienhln5-MyLFFrJ4DBwBQ&s=19
  19. JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya China yaagiza benki zinazomilikiwa na serikali kupunguza ununuzi wa dola za Kimarekani

    Ni muendelezo wa ngumi za hapa na pale kati ya Marekani na China zinazo shika kasi kwa sasa hasa upande wa vita vya nyongeza za ushuru. JUST IN: 🇨🇳 🇺🇸 China Central Bank asks state-owned banks to reduce US dollar purchases...
  20. JamiiForums Tanzania Watu wanaongelea reciprocal tarrifs alizopigwa China lakini hawaongelei 0% tarrifs kwa Russia na North Korea ambazo husemekana ni adui mkubwa wa USA

    Trump kachemka hapa, alijua kabisa moto wa China sio wa kitoto ila bado anaendelea kuupima. Alijua kwamba endapo angewapiga pia Russia na North korea hizo tarrifs kisha Wote kwa pamoja wakajibu basi USA ingepumulia mashine. Ili kutimiza tabia yake chafu akaona aanze na china kwanza huku urusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…