Kwa miaka mitatu na nusu, Amina Ally Sauko amesaidia kuratibu operesheni za treni za Shirika la Reli la Tanzania (TRC) kutoka kwenye Kituo chake cha Usimamizi wa Operesheni kilichoko jijini Dar es Salaam, ambako uhakika na kufanya kazi pamoja kama timu ni muhimu. Amina, ofisa usafiri wa TRC...
Wakuu
Kila siku nasema humu. Wachina ni matapeli.
Nakumbuka wakati wa uzinduzi wa Ilani ya CCM mwaka jana CCM walijaza Warusi, Wachina na Wakorea Kaskazini kwenye mkutano wao.
CCM ilisema kwamba hao ndio marafiki zao. Sikumbuki kuona Wamarekani kwenye mkutano huo. Hata CCM "WALIPOSHINDA"...
Tanzania na China ni nchi ambazo zimekuwa zikiimarisha uhusiano wao ulioanza tangu enzi na dahari. Uhusiano huu umejengwa katika misingi imara na isiyotikisika, ambapo mbali tu na kujikita kwenye mambo ya diplomasia, pia umeingia hadi katika miradi mbalimbali ya kilimo ambayo inawanufaisha zaidi...
Jumamosi asubuhi iliyokuwa na jua kali ilileta wimbi la matumaini kwa mamia ya wahitimu wa vyuo vikuu wa Tanzania, wanafunzi wa ufundi, na wataalamu vijana waliokusanyika katika maktaba iliyojengwa na China ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kutafuta fursa za ajira kwenye makampuni ya pamoja ya...
KUNA WATU WANAUMIA WAKONA MAENDELEO YA TANZANIA
Serikali ya Tanzaniaimeendelea kushirikiana na wadau mbalimbaliikiwemo Serikali ya Jamhuri ya Watu wa Chinakatika kuboresha huduma za uchukuzi katikaBahari. Mkakati huo umeendelea kutekelezwa naKampuni ya Meli ya China na Tanzania(SINOTASHIP)...
“Tafadhali msiwaache wakafa,” alinong’ona mama mmoja wa Kitanzania kwa majonzi huku akishindwa kuzuia machozi yanayomtiririka mashavuni. Wakati Wazanzibari wengi wakiwa bado wamelala, daktari mmoja wa China alitimua mbio akikimbilia kwa watoto waliozaliwa ambao wapo kwenye pumzi za mwisho...
Maonesho ya 137 ya Canton yamefunguliwa hivi karibuni mjini Guangzhou China.
Takwimu zinaonesha kuwa katika siku ya ufunguzi, jumla ya wanunuzi 64,530 wa ng'ambo wameshiriki katika maonesho hayo, ambalo ni ongezeko la asilimia 8.9 ikilinganishwa na siku kama hiyo mwaka jana, na kuweka rekodi...
Hizi ndizo taarifa kutoka vyanzo nilivyovipata hadi sasa China signs deal to upgrade decades-old railway between Zambia and Tanzania na China to 'revitalise' ageing railway linking Zambia, Tanzania.
The upgrade of the TAZARA railway by China will focus on improving the existing meter-gauge...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mkutano na Rais wa China, Xi Jinping pamoja na ujumbe wake mapema leo, Septemba 4, 2024 katika ukumbi wa The Great Hall of the People jijini Beijing.
Rais Samia amefanikiwa kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.