Jarida la The Economist toleo la Mei 13, 2000, lilichapisha makala inayochora picha mbaya ya bara la Afrika, kuwa ni bara lisilo na matumaini, likiorodhesha mambo mbalimbali kama vile kukosekana kwa usalama, magonjwa, hali mbaya ya miundombinu na hata uchumi dhaifu. Ni mwaka huo huo, wakati nchi...