Tajiri kijana kwenye social media mwenye kujikuza sana Chief Godlove kaumbuka tena baada ya bingwa wa magari used kuonesha gari la Mercedes Maybach analiuza kwa shiling million 40.
Kumbuka gari hilo linalouzwa linafanana kila kitu na maybach ya Chief godlove aliyotudanganya alinunua million...
Unakuta mtoto wa kiume naye anafurahia eti kisa gari zangu kuchukuliwa, unafurahia anguko la mwanaume mwenzio?!
Ni Bora Mimi nimewahi kumiliki hizo gari, wewe je? Kama gari zimechukuliwa ila akili niliyo itumia kupata gari hizo nimebaki nayo hivyo nitaitumia pia kurudisha zaidi ya hizo...
Hili buti ambalo Chief godlove leo ameposti akituringia na kutudanganya kwa jazba na nyodo baada ya kuchekwa kafulia mitandaoni eti ni dollar za kimarekani 3500 kumbe ni euro 12 tu ambayo ni elfu 35.
Wanoko na wambea wamezama Temu online shopping ya China na kuthibitisha.
Wasiomjua chief...
Kwa sababu hata haijulikani mtu anafanya biashara gani halali na hazionekani Mamlaka zikimdhibiti kwa namna yoyote ile.
So kwa imani yangu, naamini pesa zinazoendesha timu za mpira kama Singida Big Stars, zinazoendesha vituo vya habari kama Wasafi Media na Crown Media ni pesa chafu za akina...
Mtia nia wa Ubunge, Mkurugenzi wa Chief Godlove Foundation na Mwanamitandao Godlove Mwakibete maarufu kama pamoja na jina lake kukatwa, amerudi nyumbani kwao Wilayani Kyela kuwashukuru Wazazi wake walimchukulia fomu pindi alipotia nia ya kuwania Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi.
Akiongea na...
Na siku hizi kahisi anaweza kuupata ubunge kwa zali basi katulia tulia maneno ya kiburi kapunguza sana hapo yupo na watu wake wanaomsapoti wanaenda kuvimba kidogo nyumbani aisee wenye nacho wataongezewa.
Chief Godlove katoa track yenye featuring ya wasanii wakali wa Hiphop Tanzania.
Wimbo unaitwa "GOD HAS SEEN ME" ni moja Kati ya mkwakuju mkali kwa mwaka huu, kafanya featuring na LORD eyez, unju bin unuk, one six, mawenge na stamina.
Humo ndani wasanii wote wamekanyagia ngoma kubwa kilicho...
1. Huyu mwamba achunguzwe vizuri usikute anasajilli watu kwenye vikundi vya uhalifu mitandaoni (Scammers) au mapenzi ya jinsia moja.
2. Mtu haelewek anafanya shughuli gani za kiuchumi ila lifestyle ya juu kwa kuegemea Magari huku akibwata tafuta hela tafuta hela.
3. Hilo jicho la tatu ni...
Kuna vitu vinachekesha.
Kwamba kwenye hilo group mtafundishwa jinsi ya kujiponya magonjwa na kuwa matajiri😁😁.
Na huwezi amini kuna watu wanajaa.
Stori za kitoto kibao, Ama kweli kukosa elimu ni MZIGO.
Katika kuperuzi kwangu mitandaoni nimekutana na habari nyingi zinazotrend kumuhusu kijana anayefahamika kama Chief Godlove Mwakibete.
Huyu jamaa amekuwa akipost magari mbalimbali ya kifahari na kujinadi kuwa ni mtoto mdogo mwenye pesa nyingi sana. Ni kijana ambaye ana umri wa miaka chini ya 30...
Wapo vijana maskini wa akili ambao wataona Mimi Nina wivu ama chuki dhidi ya huyu jamaa anae jiita Chief Godlove.
Huyu jamaa kimsingi ni tapeli ambae amekuwa akiwatapeli maskini pesa zao.
Mwanzo alikuwa anajitukuza kwa kusema yeye ni freemasoni na hiyo ndio njia iliyo wavuta watu wengi wenye...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima ametoa pole kwa wazazi wa mtoto Graison Kanyenye aliyeuawa na watu wasiojulikana, huku akiwataka wazazi au walezi kuimarisha ulinzi na usalama wa watoto.
Tukio hilo lilitokea Ilazo Extension jijini Dodoma...
Utata umegubika tukio la mauaji ya Graison Kenyenye (6), mtoto wa mfanyabiashara maarufu wa jijini Dodoma, Zainab Shaban maarufu Jojo.
Graison aliuawa usiku wa kuamkia juzi, wakati mama yake alipokwenda matembezini na rafiki yake wa kiume.
Tukio hilo lilitokea Ilazo Extension jijini Dodoma...
Hello!
Mara nyingi watu wanataka kujua kijana Godlove pesa anatoa wapi.
Wengine wanakwenda mbali na kusema zile si pesa halisi kwamba ni pesa bandia, si kweli. Zile anazopiga nazo picha ni real money.
Kama ni pesa bandia na yale maisha ya gharama ya kusafiri na msafara huko na huko anatumia pesa...
Wakuu salama!
Ingawa hii forum ni ya kila mtu, lakini ni moja ya jukwaa kubwa sana la kiswahili Africa na Dunia kwa ujumla.
Ni forum ambayo kuna watu wa maana sana, kuna wasomi na watu wenye experience kubwa sana.
Kuna matajiri na watu wenye hekima kubwa sana, ni sehemu pekee unayoweza ku...
Kila ninapokuwa nikiingia hapa Jukwaani ni lazima nitakutana na Uzi wa huyu jamaa Anayejiita Chief Godlove
Nimekuwa nikilazimika kufungua nyuzi zake kwasababu nimekuwa nikiona mada zake zimekaa Kishambenga hasa kushambulia wanaume ambao yeye Kwa tafsiri yake amekuwa akiwaita "MASIKINI"
Huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.