Hello wakuu
Najua bongo mambo yote yanawezekana.
Kuna dili nimeipata mahali,ila sharti natakiwa kuwa na cheti cha ndoa.so nimeumiza kichwa hapa nikaona nije humu niwaulize wazoefu kama kuna anaejua kama naweza kupata cheti cha ndoa nikiwa sijafunga ndoa?zaidi ningepata cheti kilichotolewa bomani...