chelsea fc

Chelsea Football Club is an English professional football club based in Fulham, West London. Founded in 1905, they play their home games at Stamford Bridge. The club competes in the Premier League, the top division of English football. They won their first major honour, the League championship, in 1955. The club won the FA Cup for the first time in 1970, their first European honour, the Cup Winners' Cup, in 1971, and became the third English club to win the Club World Cup in 2022.
Chelsea are one of five clubs to have won all three pre-1999 main European club competitions, and the only club to have won all three major European competitions twice. They are also the only London club to have won the Champions League and the Club World Cup. Domestically, the club has won six league titles, eight FA Cups, five League Cups, and four FA Community Shields. Internationally, they have won the UEFA Champions League, the UEFA Europa League, the UEFA Cup Winners' Cup and the UEFA Super Cup twice each, and the FIFA Club World Cup once since their inception. In terms of overall trophies won, it is the fourth-most successful club in English football.
The club has rivalries with neighbouring teams Arsenal and Tottenham Hotspur, and a historic rivalry with Leeds United. In terms of club value, Chelsea are the seventh most valuable football club in the world (as of 2021), worth £2.39 billion ($3.2 billion), and are the eighth highest-earning football club in the world, with earnings of over €493.1 million (as of May 2022).

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Real Madrid kukutana na Manchester City, huku PSG wapangwa na Chelsea FC hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya

    Timu vigogo barani Ulaya Arsenal, Real Madrid na Liverpool ni miongoni mwa klabu zilizojua hatima yao baada ya droo ya hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kupangwa Ijumaa. Real Madrid watakutana tena na Manchester City katika hatua ya mtoano kwa msimu wa tano mfululizo, baada ya kupangwa...
  2. Halidi Mtumbuka

    Thiago Silva, kifo kilimfuata Urusi, uhai ulimhitaji brazil

    Muongo mmoja uliopita mwanaume mmoja aliamka asubuhi, ili kuhudhuria mazoezi ya klabu baada ya kukamilisha safari muhimu katika maisha yake, kutoka nchini Brazil hadi nchini Urusi. Isivyo bahati, alishindwa kutokana na maumivu makali kifuani mwake. Nywele zake za rangi ya nyeusi na sura yake...
  3. kiwatengu

    FT: Chelsea FC 3-0 Paris Saint-Germain | FIFA Club World Cup | Final Match | MetLife Stadium | July 13, 2025.

    Mambo vipi wadau! Leo ni siku ya kipekee kwani tunasubiri fainali ya FIFA Club World Cup 2025 kati ya Chelsea na Paris Saint-Germain (PSG) itakayochezwa saa nne usiku (10:00pm EAT) kwenye dimba la MetLife Stadium, New Jersey. Hii ni mechi ya kihistoria, kwani ni fainali ya kwanza kati ya timu...
  4. USSR

    Klabu ya Chelsea kuitangaza Zanzibar kiutalii

    Klabu ya Chelsea itavaa jersey yenye ujumbe wa visit Zanzibar kwa msimu huu huku Tanganyika ikiwekwa kando kama mtoto asiye na wazazi. Kwa sasa kila jambo linakimbizwa Zanzibar hasa kimataifa ili Zanzibar ifahamike zaidi. USSR.
  5. tpaul

    Viongozi wa Chelsea FC kutembelea Tanzania kwaajili ya kukuza michezo na utalii

    Klabu ya mpira ya Chelsea (Chelsea FC) kutoka England itafanya ziara nchini Tanzania siku chache zijazo. Lengo la ziara hiyo ni kukuza utalii pamoja na michezo ikiwemo kujenga akademi ya mpira wa miguu hapa Zanzibar na Tanznania Bara. Pia wageni hao watapata fursa ya kukutana na viongozi wa...
  6. AlphaMale_

    Rasmi nimeacha kuangalia mechi za Chelsea FC

    Wana sports leo ilikuwa mfululizo wa kipigo kwetu wana blues, kiukweli huwa naumia sana sasa kwa kuwa sisi huu msimu hatuna timu kabisa Yaani usajili wote ni majeruhi na flop nimeamua kujiweka pembeni kwanza maana nitakua sina amani kabisa Mpaka siku nikijaliwa kuingia kabsa Stamford Bridge...
  7. UtdProfile_

    Taarifa: Nkunku nje ya uwanja wiki 16 (miezi minne)

    🔴Leo: Chelsea imethibitisha kuwa Christopher Nkunku amefanyiwa upasuaji wa goti lake ambalo alilolipata huko Chicago. (Pre-seasons match), wakati timu hiyo ikijiandaa na Michuano ya Ligi Kuu (Premier League). 🔃Na imethibitishwa na Klabu atakuwa nje kwa wiki 16 Sawa na. Miezi Minne🤔🤔🤔.
  8. M

    Chelsea FC inachezea sana hela kwa kuwafidia makocha inayowafukuza ovyo ovyo

    Huyu kocha Graham Potter aliyefukuzwa majuzi amekuwa millionaire ghafla. Tangu Chelsea inunuliwe kutoka kwa billionare Roman Abrahamovich chini ya mwaka imeshafukuza makocha watatu Frank Lampard, Thomas Tuchel na sasa Graham Potter kabla ya mikataba yao kuisha na kuwalipa fidia ya mamilion ya...
  9. Cannabis

    Graham Potter afukuzwa kazi na klabu ya Chelsea

    Klabu ya Chelsea imetangaza kufikia maamuzi ya kumfukuza kocha Graham Potter. Nafasi ya kocha huyo itachukuliwa na Bruno Salter. Klabu hiyo ya jijini London imemshukuru kocha huyo kwa mchango alioutoa ikiwa ni pamoja na kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali katika michuano ya klabu bingwa ya...
Back
Top Bottom