YAH: SALAAM ZA POLE.
Kwa niaba yangu binafsi, na kwa niaba ya Dayosisi ninayoiongoza kwa neema, pokea salaam za pole kama Baraza, Kanisa na binafsi kwa Fr. Charles Kitima kwa tukio ovu lililofanyika na kumdhuru mtumishi wa Baraza.
Shambulio hilo si la Fr. Kitima, si la TEC, wala la Imani ya...
Mwanasiasa mkongwe nchini James Mbatia, amevunja ukimya kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Padri Charles Kitima, ambaye ameelezea pia ni baba yake mlezi wa kiroho ambapo amesema kuwa tukio hilo lililenga waziwazi kuondoa uhai wa padri huyo.
Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu...
Wataalamu wa ubashiri na nyota na pia jamii ya wana intelligensia tumeyasikia matukio haya mabaya yaloyotokea Ndani ya nchi hizi jirani.
Ikumbukwe mwaka 1998 kuliwahi kushuhudiwa mashambulio ya awali duniani ya kigaidi yanayotumia milipuko katika majengo Nairobi na Daressalaam yaliyofanywa...
Waswahili wanasema hivi;
"...ukiona mwenzio kanyolewa, basi wewe jiandae kwa kutia maji kichwa chako, maana inayofuata ni zamu yako..."
Dali zote zinaonesha kuwa vita iliyopo sasa Tanganyika ni;
Vita kati ya HAKI na UOVU...
Vita kati ya MUNGU na SHETANI - IBILISI...
Watumishi wa Mungu...
Boniface Mwabukusi. Rais na TLS ameandika kupitia ukurasa wake wa X:
"Nimemtembele Father Dr. Charles Kitima. Hakika lilikuwa shambulio baya lenye lengo la kudhulumu maisha.
Mungu ni mwema sana anaendelea vizuri.
Huu ni Ujumbe wake kwetu....
Lazima Tuwe Imara kusimamia masuala ya Msingi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimelaani Shambulio la kupangwa dhidi ya Katibu wa TEC Father Charles Kitima lililokusudia kutoa Uhai wake.
Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani hili hapa
Soma pia News Alert: - Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.