chanjo ya mifugo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa mnamo tarehe 16.06.2025 majira ya saa 21.05hrs huko katika Kijiji cha Mwamishari, Kata ya Mwamishari, Tarafa ya Kimali, Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu ilitokea ajali ambayo ilihusisha gari aina ya Scania ambalo lilikuwa...
  2. Ojuolegbha

    Chanjo ya mifugo kitaifa ni Mei

    CHANJO YA MIFUGO KITAIFA NI MWEZI MEI Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa Kati ya Mwezi Mei na Juni 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP) zimenunuliwa na zinatarajia kuchanja jumla ya ngombe 19,099,100. Aidha Jumla ya...
  3. kimsboy

    Hili la kuchanja mifugo yote nchi nzima ni la kupingwa kwa nguvu!!

    Nimeona waziri akitangaza kuna kampuni ya nje inakuja kwa ajili ya kuchanja mifugo yote inayotumiwa kwa kitoweo nchi nzima Kuanzia kuku mpaka Ng'ombe watachanjwa!! Na chanjo itakua bure Hii proposal ilipelekwa kenya eti kina Bilget wapeleke mradi wa Nyama ya maabara halafu wachanje mifugo...
Back
Top Bottom